Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Khalas 😂Huyu sio mtu wa konami kaka ona hapa nimeelewa mimi tuu😃😃
Karibu sanahatimae nimerudi baada ya kupitia series mbili tatu ili tuzungumze lugha moja🤗😆
asanteKaribu sana
Karibu.hatimae nimerudi baada ya kupitia series mbili tatu ili tuzungumze lugha moja🤗😆
Shukran mkuu, naruka nayo.The Murky Stream Drama
View attachment 3487227
Mimi ni mshabiki wa Roo Won, kwa hawa waigizaji ambao wanaitafuta miaka 35 ya kuzaliwa.
IkojeMs. Incognito imeanza vizuri sana, episodes 5 mpaka sahz na episode ya 6 inatoka Leo.View attachment 3488537
Ikoje hii mkuuThe Murky Stream Drama
View attachment 3487227
Mimi ni mshabiki wa Roo Won, kwa hawa waigizaji ambao wanaitafuta miaka 35 ya kuzaliwa.
Hii nilisha iposti humu, trailer yake ni konyo.
Hii ni mashine aisee, nimeshusha hizo episode 4 ila sitaki kuziangalia kwanza maana zitaniacha na njaa.Hii nilisha iposti humu, trailer yake ni konyo.
Alikuwepo kwenye 2 Weeks pia.In the memory of a truly legend, ali igiza kama kim chae woon kwenye moon embracing the sun.
View attachment 3497781
Nasubiri mzigo uishie, hata joy of life s2 ya kichina nili subiri episode ziishe maana chuma ilikuwa ya maana SanaHii ni mashine aisee, nimeshusha hizo episode 4 ila sitaki kuziangalia kwanza maana zitaniacha na njaa.