Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 897
- 1,929
Mjinga hana stori nyingi, yupo kama hajielewi hiviYule jamaa amevurugwa π
Tale of nokdu, shine or go crazy, my country.Nimeikamilisha MERCY FOR NONE & THE MANIPULATED
wow!! Nimejihisi kama niko zama zile za 2019-2013 ambapo ilikuwa ni pinnacle ya Thriller/ Action Dramas.
Kabla sijaianza Trigger nilitaka kujipumzisha kidogo na Historical Drama but nimewaza sikupata jibu la haraka. Nimeamua kuvuka bahari ya mashariki kuingia Japan.
Yes! Nimekutana na THE LAST SAMURAI STANDING. What a drama!! Nimeshazikamiliza Episodes zote 6 za Seasons 1.
Najiandaa na Trigger.
Naombeni Remmedation zaidi za mjini na Historical. Historical ikiwa na story kali hata kama haina action ni sawa, kama zipo ni good too.
Haka ka upepo ka hamu ya kakutazama drama lzm nikatumie vizuri kabla hakajakata.
Historical drama ambazo sijatazama sana kuanzia 2020 kuja mbele.Tale of nokdu, shine or go crazy, my country.
zote action za porini.
Manipulated bado episode 4, wiki ijayo zinatoka mbili na wiki inayofata mbili.Nimeikamilisha MERCY FOR NONE & THE MANIPULATED
wow!! Nimejihisi kama niko zama zile za 2019-2013 ambapo ilikuwa ni pinnacle ya Thriller/ Action Dramas.
Kabla sijaianza Trigger nilitaka kujipumzisha kidogo na Historical Drama but nimewaza sikupata jibu la haraka. Nimeamua kuvuka bahari ya mashariki kuingia Japan.
Yes! Nimekutana na THE LAST SAMURAI STANDING. What a drama!! Nimeshazikamiliza Episodes zote 6 za Seasons 1.
Najiandaa na Trigger.
Naombeni Remmedation zaidi za mjini na Historical. Historical ikiwa na story kali hata kama haina action ni sawa, kama zipo ni good too.
Haka ka upepo ka hamu ya kakutazama drama lzm nikatumie vizuri kabla hakajakata.
tears of king lee bang won ume iona, town angalia goodbye Mr black.Historical drama ambazo sijatazama sana kuanzia 2020 kuja mbele.
Mie nimetazama 2019 -1990s
Alikuwemo pia kwenye six fly dragon, na again my life.View attachment 3507058
Kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye WIND OF THE PALACE: YI SAN na mara ya mwisho kwenye A SCHOLAR WHO WALKS THE NIGHT.
apumzike kwa amani babu wa Taifa.
Yeah, mbali na hizo nilimwona kwenye Jang Hae bin, King's Doctor, Hurjun, Sang Do, Princess' Man, King 2 Heart, Queen Seon Doek, Money Flower,The King's face. Kote alitisha lilikuwa zee kali kweli kweli na misimamo mikali.Alikuwemo pia kwenye six fly dragon, na again my life.
Okay nitaitafuta.tears of king lee bang won ume iona, town angalia goodbye Mr black.
Mimi na vijana wangu kina Razorblade, na Selikavu tumesha malizana na ushiro saga, akiwa na kamuykocha ni π₯ π₯.Okay nitaitafuta.
Sikuipa attention hii ya Lee Bang Won. Na hiyo town nitaiongeza kwenye list.
Ila ukipata muda kidogo ipitie LAST SAMURAI STANDING.
Ina vibe la Six flying dragon
Hapa katikati kulikuwa na changamoto kidogo sikuweza kuishusha ila hii wiki haiishi nadondoka nayo chap.dah halafu wewe ndio wa kwanza kushare nae series, I'm nobody π₯π₯π₯.
Ruka na The Royal Gambler.Nimeikamilisha MERCY FOR NONE & THE MANIPULATED
wow!! Nimejihisi kama niko zama zile za 2019-2013 ambapo ilikuwa ni pinnacle ya Thriller/ Action Dramas.
Kabla sijaianza Trigger nilitaka kujipumzisha kidogo na Historical Drama but nimewaza sikupata jibu la haraka. Nimeamua kuvuka bahari ya mashariki kuingia Japan.
Yes! Nimekutana na THE LAST SAMURAI STANDING. What a drama!! Nimeshazikamiliza Episodes zote 6 za Seasons 1.
Najiandaa na Trigger.
Naombeni Remmedation zaidi za mjini na Historical. Historical ikiwa na story kali hata kama haina action ni sawa, kama zipo ni good too.
Haka ka upepo ka hamu ya kakutazama drama lzm nikatumie vizuri kabla hakajakata.
Yeye ni vitendo tu hataki story nyingi.Mjinga hana stori nyingi, yupo kama hajielewi hivi
Hatukuacha fursa itupite, ila tunawaongelea sana akina Kokushu Saga na Kamuykocha tunamsahau yule mzee Gentosai.Mimi na vijana wangu kina Razorblade, na Selikavu tumesha malizana na ushiro saga, akiwa na kamuykocha ni π₯ π₯.
Gentosai hafai kwa mchuzi au kurumangia, usimtaje hovyo asije ibuka ππHatukuacha fursa itupite, ila tunawaongelea sana akina Kokushu Saga na Kamuykocha tunamsahau yule mzee Gentosai.
Hahaha ume nikumbusha chizi huyo, mfalme ana biti yule.Ruka na The Royal Gambler.
Yule mzee kashindikana πGentosai hafai kwa mchuzi au kurumangia, usimtaje hovyo asije ibuka ππ
Nilicho gundua ana pigika vyema tu, Kikubwa mtaji mbio ili uka jisifie mbele ππYule mzee kashindikana π
Tayari.Ruka na The Royal Gambler.