Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Nakumbuka wakati Lee in-jwa anaulizwa kama kuna mtu ambae anamuogopa, akaelezea sifa za mtu anaemuogopa.Hahaha ume nikumbusha chizi huyo, mfalme ana biti yule.
Jamaa hata ukienda chooni ana jua 😁😂Nakumbuka wakati Lee in-jwa anaulizwa kama kuna mtu ambae anamuogopa, akaelezea sifa za mtu anaemuogopa.
Kuja kufatilia vizuri zile sifa zote ni za King Sukjong 😂
Zee zile ni noma lilinikumbusha yule binti kwenye Six flying dragonYule mzee kashindikana 😂
Anapigika yule ni kama vile yule dogo alivyompiga panga la mgongo halafu akamuachia manyoya 😂Nilicho gundua ana pigika vyema tu, Kikubwa mtaji mbio ili uka jisifie mbele 😂😁
Uhakika.Tayari.
Hii na Dong Yi zinamuelezea mfalme Suk Jong.
Dong yi ndio Historical drama yangu bora ya muda wote
Halafu anajifanya kama hamnazo 😂Jamaa hata ukienda chooni ana jua 😁😂
Mwaka huu wakorea maeamua aisee.Yeye ni vitendo tu hataki story nyingi.
Kilichokuwa kinanifurahisha zaidi mzee wala hana haraka, we kimbia uwezavyo hata hakukimbizi 😂🙌Zee zile ni noma lilinikumbusha yule binti kwenye Six flying dragon
Kokushu ana wenge bado, subiri battle ya strategist na gentosai maana ndio walikuwa wana onana.Anapigika yule ni kama vile yule dogo alivyompiga panga la mgongo halafu akamuachia manyoya 😂
Mimi nasubiri nije nione akizichapa na Kokushu 😂
Usiisahau Lobyst hapo.Mwaka huu wakorea maeamua aisee.
Waturudisha zama za Iris, City Hunter, A man Called God, nk
Namna kokushu alivyokuwa mpaka series inaishia pale nimeona kabisa mwamba akiwa serious hapigiki.Kokushu ana wenge bado, subiri battle ya strategist na gentosai maana ndio walikuwa wana onana.
ila strategist ana kaa kama vile ndio main character, ngoja battle ya naibu waziri na commander of police.
Yeah, Wakorea walikuwa kwenye ubara wao hasa kwenye Thriller & Action Drama.Usiisahau Lobyst hapo.
Labda kule alipo chinja maaskari, bokutsu ali mpelekea Moto kokushu hadi nikaona hapa hamna mtu.Namna kokushu alivyokuwa mpaka series inaishia pale nimeona kabisa mwamba akiwa serious hapigiki.
Sema sasahivi wanazingua wameanza kuhusisha sana series zinazohusu LGBTQ na nyingi ni BL.Yeah, Wakorea walikuwa kwenye ubara wao hasa kwenye Thriller & Action Drama.
Romance, Comedy, Rom-Com, Melodrama, Fantasy, family Drama hawajashuka sana
Influence ya soko la kimataifa, Ndio maana Elon Musk aliwahi kuendesha kampeni ya watu kufuta subscription kwenye Netflix kwa sababu ya kusambaza maudhui ambayo si rafiki kwa watoto mambo kama hayo LGBTQ+, Mpk kwenye katun.Sema sasahivi wanazingua wameanza kuhusisha sana series zinazohusu LGBTQ na nyingi ni BL.
Mkuu hii series inKokushu ana wenge bado, subiri battle ya strategist na gentosai maana ndio walikuwa wana onana.
ila strategist ana kaa kama vile ndio main character, ngoja battle ya naibu waziri na commander of police.
Kokushu ana wenge bado, subiri battle ya strategist na gentosai maana ndio walikuwa wana onana.
ila strategist ana kaa kama vile ndio main character, ngoja battle ya naibu waziri na commander of police.
Kokushu ana wenge bado, subiri battle ya strategist na gentosai maana ndio walikuwa wana onana.
ila strategist ana kaa kama vile ndio main character, ngo
Mkuu hii inaitwaje niitafuteKokushu ana wenge bado, subiri battle ya strategist na gentosai maana ndio walikuwa wana onana.
ila strategist ana kaa kama vile ndio main character, ngoja battle ya naibu waziri na commander of police.
last standing samurai, Japan.Mkuu hii series in
Mkuu hii series inai
Mkuu hii inaitwaje niitafute
Shukranilast standing samurai, Japan.