Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mambo yamekuwa hekaheka kila mahali aisee.
 
Umenisusa sana aisee hata kunirushia salamu ya mbali tu inatosha, nakiwa bored humu nikiingia sikuoni πŸ˜ͺ

Hii nyimbo nilikuwa nikiisikia tu sijawahi kutana na video yake full, vipi malkia wangu upo kama dada yupi humo? πŸ˜‚
 
Unakaa sana Seoul uwe unatembea unakuja huku Busan πŸ˜†
Kila wakati upo uzi wa wakorea hutembei nyuzi nyingine πŸ€¦β€β™€οΈ

Mie sifanani na dada yoyote humo na Mungu aniepushe nisije kuwa na hizo body shapes amen πŸ˜‚
 
Chakuandika kwemye hizo nyuzi zingine ndiyo sina sasa ndiyomaana nabaki huku πŸ˜‚

Amina sana hakohako kamwili ndiyo kazuri, nyama muachie ng'ombe πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Nitakuwa nakuelekeza uandike nini kwenye nyuzi zingine

Sema nyama ninazo hebu nikutumie picha uniambie mwenyewe πŸ˜‚

Sasa kwasababu tupo hapa naomba site ya kudownload kdrama manake zote nazozijua hazifanyi kazi
Kwa sasa naangalia Moon River lakini kuipata ni telegram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…