Mara ya kwanza niliishusha kupitia Nkiri ikawa haina subtittle nikaja huku kuomba msaada ila sikupata.Hii pia umeiangalia ikiwa na subtitle?
Kwa njia gani kamanda
Ulevi wetu huu
View: https://www.youtube.com/watch?v=QjRZooK6nRg
walevi wa zamani tumekumbukwa, KBS wanakuja na hii project itakapofika mwezi novemba 2026.
wanasema itakuwa ni historical drama yenye bajeti kubwa sana.
Inaitwa the great king MUNMU.
kwa aliebahatika kuangalia
dream of emperor (king's dream) ya choi soo jung,
dae jo young ya choi soo jung,
queen seondeok drama,
hata yeon gae somun (sidhani kama kuna alieiona)
mtazamaji atakuwa anarejea kwenye maeneo hayo.
hii inamzungumzia mfalme munmu (alikuwa ni mtoto wa chunchu), huyu bwana alikuja kuhitimisha safari ya kuziunganisha three kingdom (shilla, goguryeo na baekje).
ndani tutakutana na
jang hyuk - ameigiza uhusika wa general yeon gae somun wa goguryeo (history yake inafahamika),
lee hyun wook - ataigiza uhusika wa king Munmu.
Park sung woong - ataigiza uhusika wa general kim yu shin
Kim kang woo - ataigiza uhusika wa chunchu (baba yake King Munmu), huyu bwanaa alipewa heshima ya King Taejo Muyeol wa Shilla..
supporting actors
kim woo dam - uhusika wa Gye baek (historia yake inafahamika)
lee ji hoon - uhusika wa BI DAM (stori yake inafahamika)
kihistoria baada ya kufa queen seondeok, alikuja mtawala mwengine wa kike ambae aliitwa Jindeok,
baada ya kufa Jindeok ndio alikuwa CHUNCHU.
kama nitakuwa sahihi ndani ya tamthilia ya queen seondeok huyu chunchu alikuwa mtoto wa dada yake deokman.
nazungumzia kiuso wa drama
Yeon gaesomun umeipata tovuti ya NKIRI..Mara ya kwanza niliishusha kupitia Nkiri ikawa haina subtittle nikaja huku kuomba msaada ila sikupata.
Baadae nikaja kupata namna ya kudownload subtittle kupifia "subtittlecat" kisha naenda kuzipaste kwa VLC
Nifanyie maarifa nipate link ya tamthilia ya YI SAN.Mara ya kwanza niliishusha kupitia Nkiri ikawa haina subtittle nikaja huku kuomba msaada ila sikupata.
Baadae nikaja kupata namna ya kudownload subtittle kupifia "subtittlecat" kisha naenda kuzipaste kwa VLC
Lee San, Wind of the Palace.Nifanyie maarifa nipate link ya tamthilia ya YI SAN.
Nimezeeka
Underrated, moja kati ya drama bora kwa mwaka 2026 kwa mujibu wa macho yanguThriller genre: SCARECROW
Hii series ni Kali ile mbaya sema ipo underrated sana inahusu muuaji ambaye anafanya mauaji ya watoto wa kike na huwa
episode 28Ulevi wetu huu
Nadhani itakuwa na episode chache
Kama wewe umepitisha Mimi ninani nipinge ina viwango vyote story imeshiba na Kuna wakati inakuchukua mpaka wewe mtazamaji unajikuta ni sehemu ya movieUnderrated, moja kati ya drama bora kwa mwaka 2026 kwa mujibu wa macho yangu
Inabidi niichekiMADE IN KOREA SEASON 2:
Dude limerejea tena kwa wale tulioangalia season 1, pale mihimili miwili inapoamua kuonyeshana nguvu.
wahuni waliopo idara ya usalama wa taifa pamoja na waendesha mashitaka.
View attachment 3666649
Huu ndo uzuri wa wakorea wakiandaa kazi wenyewe hakuna mambo ya season 2.episode 28
Are you alive?Mousetrap…
I amAre you alive?
Mbona jamani mnanishangaza na life style yenu.
Tokea April 2025 sijakuona
mimi ni mtu wa udadisi na tafakari zisizo na msingi, If someone akishaingia katika mfumo wangu wa akili halafu ghafla akapotea huingiwa na wasiwasi.I am
Alhamdulillah
Niliona hekaheka kuingia na ma vpn
Nikawa najipakulia zangu minyama ya Apps kimya kimyaa.
Ameen Ameenmimi ni mtu wa udadisi na tafakari zisizo na msingi, If someone akishaingia katika mfumo wangu wa akili halafu ghafla akapotea huingiwa na wasiwasi.
Je ni mzima wa afya,
amepotea,
ametekwa,
matatizo ya kifamilia...
e.t.c
kama upo hai, basi ashukuriwe Mungu