Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

hizi show za music nchini korea huwa nazifuatilia sana
 

Good Deal, Hongera Zake...Hongera Babe Ila Uyu Wa Pili.
 
Fursa Izo...That's Good idea
 
OK kwa hivyo mmoja anarudi kutoka millitary activities na mwengine ndio anaingia kwenye millitary activities
Hahahahaha Wanapishana, Ndo Raha ya kuwa Na Wengi Kwaiyo Stress za Uyu kuondoka Naziamishia Kwa Uyu Anayerudi...Ila Soon Kuna Mwengine Ataongezeka Kwenye List
 
Duuh Hii Nimeipata Leo Kumbe Gummy Anatoka Na Cho Jung Suk kwa Wale Waloangalia Jealousy Incarnate Amecheza Kam Main Lead au kwenye Legend Of The Blue Sea Alikuwa Kma Ndugu Wa Mermaid Sim Chung.

Gummy Na Cho Jung-Seok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…