Rebel tamu sana sterling ndo yule aliyeact cruel romanceKuna Hii Drama Nayoangalia Now Ya Rebel, Inasemekana Ni Drama Ambayo Imeuza Sana Sana kwa Huu Mwaka Kwa Kipindi Kile Inaonyeshwa...
Mi Ndomana Kila Siku Nasema Tanzania Tungejaribu kukopi Izi Kazi Nasi Tungekuwa Mbali Sana Yaani, Wanainvest Sana Kwenye Hizi Kazi Awa Watu Yaani Mi Nimewatamani Mpka Naamua Kuenda Nao Tuuh Maana Amna Jinsi
Mmhh, hata Han huwajui umeendekeza uzembe mnoAwa Han Ndo walikuwa?
Acha usumbufu Tafuta Jumong uangalieAnhaa!!! Umerudi Sasa...Karibu
Na Tunafana kwa Uzembe eti eeehhh!?Mmhh, hata Han huwajui umeendekeza uzembe mno
Hahaa nimecheka sana ndo nimeanza kuangalia Rebel sasa nikawa najiuliza huyu mzee aliyecheza kama baba yake Gil Dong mbona sura yake sio ngeni, najaribu kukumbuka kumbukumbu haziji vizuri hadi nikaamua kugugo eti nakuta kumbe ndo yule aliyecheza City hunter daah wakorea nyoko sana...utamjua sasa kwamba ndo yule
Ndio Drama Yangu ya kwanza Kuiangalia Iyo...Acha usumbufu Tafuta Jumong uangalie
Mi Mwenyewe sikumjua Ila na dogo langu Moja Hivi naangalia Nae ndo akanishtua Kuwa ni Baba Mlezi Wa Bae wako kwenye city HunterHahaa nimecheka sana ndo nimeanza kuangalia Rebel sasa nikawa najiuliza huyu mzee aliyecheza kama baba yake Gil Dong mbona sura yake sio ngeni, najaribu kukumbuka kumbukumbu haziji vizuri hadi nikaamua kugugo eti nakuta kumbe ndo yule aliyecheza City hunter daah wakorea nyoko sana...utamjua sasa kwamba ndo yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama umetizama mbona unamsumbua Damushin mpaka anakurudisha JolbonNdio Drama Yangu ya kwanza Kuiangalia Iyo...
Labda Unielekeze Nyengine......Hahahhahhahha Ulikimbilia Wapi????
Unachanganya cruel romance wameigiza wachina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh huyo mdogo wako ana macho makali au kwa vile Ba mkwe[emoji13] [emoji13] mi mwenyewe ba mkwe wangu ila sikumtambua aisee si natafuta talakaMi Mwenyewe sikumjua Ila na dogo langu Moja Hivi naangalia Nae ndo akanishtua Kuwa ni Baba Mlezi Wa Bae wako kwenye city Hunter
Tena ya Nje Nje, Kabadirika Sana Mule Ndani Kama Siye....[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh huyo mdogo wako ana macho makali au kwa vile Ba mkwe[emoji13] [emoji13] mi mwenyewe ba mkwe wangu ila sikumtambua aisee si natafuta talaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwaenchanh-a
Watu na vipaji vyao [emoji108] [emoji108] [emoji108] nikakumbuka alivyokuwa mtata kuleTena ya Nje Nje, Kabadirika Sana Mule Ndani Kama Siye....
Mi aya Maneno Yako Bado Sunbae,Gwaenchanh-a
Sasa Kwa Mbele kule yule Dada Alokuwa First love wa Gil dong,Zile Move's na zile ngoma Zao Waliingia Darasani Kabisaa kujifunza,Watu na vipaji vyao [emoji108] [emoji108] [emoji108] nikakumbuka alivyokuwa mtata kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Umu napo anavijtuko Hatari...Watu na vipaji vyao [emoji108] [emoji108] [emoji108] nikakumbuka alivyokuwa mtata kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mama usianze tena kunisimulia maana nikishajua mbele kuna nini sichelewi kuitupia kwenye dustbinSasa Kwa Mbele kule yule Dada Alokuwa First love wa Gil dong,Zile Move's na zile ngoma Zao Waliingia Darasani Kabisaa kujifunza,
Wanajua Kutunyoosha
Ngoja aje atuanzishie program ya kutufundisha hiyo lugha maana nina mpango wa kwenda na ww koreaMi aya Maneno Yako Bado Sunbae,