makala7
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 497
- 407
Rebel tamu sana sterling ndo yule aliyeact cruel romanceKuna Hii Drama Nayoangalia Now Ya Rebel, Inasemekana Ni Drama Ambayo Imeuza Sana Sana kwa Huu Mwaka Kwa Kipindi Kile Inaonyeshwa...
Mi Ndomana Kila Siku Nasema Tanzania Tungejaribu kukopi Izi Kazi Nasi Tungekuwa Mbali Sana Yaani, Wanainvest Sana Kwenye Hizi Kazi Awa Watu Yaani Mi Nimewatamani Mpka Naamua Kuenda Nao Tuuh Maana Amna Jinsi
Sent using Jamii Forums mobile app