Natamani kuwajua wanaopewa promo na vyombo vya habarimimi nimeanza kuangalia temperature of love. ipo vizuri sana na nimevutiwa zaidi na muigizaji mkuu wa kike seo hyun jin yupo vizuri sana ukilinganisha na waigizaji wengine wa kike wa korea ambao wanapewa promo sana na vyombo vya habari.
pia nimevutiwa sana na kim jae wook hyungnim ambaye kwenye kingdom of the wind alicheza uhusika wa chubalso, natamani apewe nafasi ya muigizaji mkuu kwenye drama yoyote ile.temperature of love ipo vizuri sana na mara hii SBS tv drama awards ni balaa
Naogopa Kumtaja Maana Uchelewi Kugeuka Kama Samaki Kwa Kikaangonaomba umtaje leo nitakuunga mkono kwenye vita ya maneno
Yap amejiingiza kwenye mwili wa detective Han lakini kule mwanzoni unakumbuka alizama majini akaenda hadi kwenye gari inayoonekana ilipata ajali akawa kama analishangaa eti huyu ni mimi plus kuitwa Joon na yule dada huoni hata detective han ye mwenyewe tu uwepo wake ulikuwa na utata?hahahahaaa balaa na waafrika akili zetu zinapenda mambo mepesi tu (kwa sauti ya trump). gream reaper amejiingiza kwenye mwili wa detective Han moo gang
[emoji23] [emoji23] iweje labdaaigooooooo unapaswa umtafute jae chan ili apate kuibadilisha ndoto yako
Aigoo hata emergency couple?medical drama hazini vutii sana na ndio maana sijaitafuta hospital ship
Nakuangalia tuNaogopa Kumtaja Maana Uchelewi Kugeuka Kama Samaki Kwa Kikaango
mimi nimeanza kuangalia temperature of love. ipo vizuri sana na nimevutiwa zaidi na muigizaji mkuu wa kike seo hyun jin yupo vizuri sana ukilinganisha na waigizaji wengine wa kike wa korea ambao wanapewa promo sana na vyombo vya habari.
pia nimevutiwa sana na kim jae wook hyungnim ambaye kwenye kingdom of the wind alicheza uhusika wa chubalso, natamani apewe nafasi ya muigizaji mkuu kwenye drama yoyote ile.temperature of love ipo vizuri sana na mara hii SBS tv drama awards ni balaa
Dramas kama hizo ndio drama zangu sunbae.hizi drama zenye kunifanya niumize kichwa sana ninapoziangalia utafikiri nafanya mtihani wa hesabati bila ya kuwa na scientific calculator nitaachana nazo kuziangalia kwa sababu ninapomaliza kuzitazama hunifanya nitamani kuzirejea tena ili nipate kuzielewazaidi .Sisi waafrika hatujazoea kuumiza vichwa sana hivyo basi while you were sleeping na black drama huenda nikazipotezea. dama ya black bado kuna mambo yananichanganya hivyo basi chingus nahitaji munisaidie.
Ukiendelea kuleta ubishi namchukua huyo kwenye avatar maana namtamanigi siku nyingiHahahahahahahaha
Mi nawe Khantwe kaa Kitanda Na Godoro Atugombani Siye ...
Ila Itabidi Tuzungumze Mie Unadhani Ata Namnyemelea Basi! Wala! mi sikuwa Nampango nae kabisaaa ila Hii Black Yaleta Shida Tuuh yakutaka Kututenganisha....
Hahahahhahaha! Uku Siko Sasa Wataka Kuharibu Vibaya...Iyo roho UjueUkilea kuleta ubishi namchukua huyo kwenye avatar maana namtamanigi siku nyingi
[emoji23] ndo utulie uniachie black wanguHahahahhahaha! Uku Siko Sasa Wataka Kuharibu Vibaya...Iyo roho Ujue
Yap amejiingiza kwenye mwili wa detective Han lakini kule mwanzoni unakumbuka alizama majini akaenda hadi kwenye gari inayoonekana ilipata ajali akawa kama analishangaa eti huyu ni mimi plus kuitwa Joon na yule dada huoni hata detective han ye mwenyewe tu uwepo wake ulikuwa na utata?
[emoji23] [emoji23] basi nilikuwa nahisije...detective Han ni gream reaper aliyekuwa anatafutwa na Black aliingia kwenye mwili wa Joon oppa ndio maana hakumbuki mambo mengine yaliyotokea utotoni. Au ni Joon oppa mwenyewe alipokufa akawa gream reaper
- upo sahihi na ndio maana kwenye theory yangu nimesema inawezekana yule aliyejitupa kwenye maji ni gream reaper no 444 aliye kwenye kiwiliwili cha han moo gang ambapo kwa sasa gream reaper yule hatumii code number 444 ila anajiita black, na alipozamia kwenye maji alikutana na mtu anayefanana naye akiwa ndani ya gari,hivyo basi tukio lile kwa jinsi inavyoonekana linaelezea tukio la kufa kwa gream reaper 444 wakati huo alipokuwa ni binadamu wa kawaida . na ni kweli alikuwa anajiuliza maswali kwa nini maiti hii imefanana na mimi sasa aliyekuwa akijiuliza maswali yale ni black na si detective han moo gang.
- kama yule aliyekuwa kwenye maji ni joon oppa ina maana alikufa na kufufuka na ndipo baadae akabadilisha jina na kuitwa han moo gang?
- lakini ngoja niiangalie tena kwa umakini kwa sababu drama kama hizi zinakufanya kila wakati uwe makini
sijawahi kuiangalia naomba unisifie kwanzaAigoo hata emergency couple?
hahahahaaaaa kiwiliwili ni cha detective han moo gang ila vitendo vinafanywa na gream reaper 444 ambaye anajiita black.han moo gang tayari ameshafariki. au wewe unaonaje?Dramas kama hizo ndio drama zangu sunbae.
Kwenye While You Were Sleeping walianza vizuri mno (ep 1 &2) ila mbeleni ikawa ni mwendo wa kuota ndoto na kuzizuia/kuzi-prevent hivyo hadi sasa nimeishia ep 10 na sitarajii kuiendeleza!!
Black nayo imeanza doro/slow/kivivu ila imeanza kuipenda pale Detective Moo-Gang alipokuwa possesed!
Tena akianza kuongea ile lafudhi ya Ki-Joseon na kuleta ubishi na ubabe ndio ohooo nazidi kukodolea screen.. Hahahahaaaa!!
Black hata kama mbeleni itakuwaje siiachi.
Kwa nini nikusifie?sijawahi kuiangalia naomba unisifie kwanza
najua utakuwa umeshaiangalia kwa sababu ya choi jin hyukKwa nini nikusifie?
[emoji23] [emoji23] bebe tena naachaje kumuangalia?najua utakuwa umeshaiangalia kwa sababu ya choi jin hyuk