Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Natamani kuwajua wanaopewa promo na vyombo vya habarimimi nimeanza kuangalia temperature of love. ipo vizuri sana na nimevutiwa zaidi na muigizaji mkuu wa kike seo hyun jin yupo vizuri sana ukilinganisha na waigizaji wengine wa kike wa korea ambao wanapewa promo sana na vyombo vya habari.
pia nimevutiwa sana na kim jae wook hyungnim ambaye kwenye kingdom of the wind alicheza uhusika wa chubalso, natamani apewe nafasi ya muigizaji mkuu kwenye drama yoyote ile.temperature of love ipo vizuri sana na mara hii SBS tv drama awards ni balaa
![]()