Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

link tafadhali
 
KUTANA NA TAMTHILIA BORA ZA KITABIBU/UDAKTARI NCHINI KOREA
1.ROMANTIC DOCTOR TEACHER KIM
Doctor Kim ni Muajiriwa katika kitengo cha upasuaji nchini korea katika hospitali moja maarufu,anaamua kuondoka katika hospitali Huyo baada ya kufukuzwa kwa kile kinachodaiwa ni makosa ya kitabibu aliyoyafanya katika hospitali hiyo,Anaamua kuendelea na udaktari katika hospitali moja ndogo nje ya mji yenye uhaba wa vifaa na vifaa duni.
Hii Iko Nje Ya Korea....Nilikuwa Nahitaji Site Ya Movie Za Kihindi, Kuna Hiii Movie Ya Ae Dil Hai Mushkil Ya Ranbir Kapoor Ninaitafuta Kweli Nimejaribu Angalia YOUTUBE ILA NAKO MIZINGUO..
www.filmywap.com au pia sojuoppa.net
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…