Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

nadhani itakuwa ni kazi lakini cha kushangaza yupo kwenye kampuni kubwa sana ya muziki.
ila depression haichagui masikini wala tajiri
Mi kaniuma Dooh! Nimeumia Sana Yaani Nmi ningekuwa Korea Nhisi ningeudhulia Kama Mashawol walojikusanya..Sijajua kwa nini Huu Msiba Umeniingia Kiasi hiki...
 

Nominees Announced For 2017 MBC Drama award

drama bora ya mwaka 2017
rebel thief who stole the people
man who dies to live
hospital ship
ruler master of the mask
i am not a robot
money flower
two cops
kings love
bad thief good thief
missing 9
guardian (look out)
Enemies From the Past
Teacher Oh Soon Nam
Return of Bok Dan Ji
e.t.c
Best Comedy Character
shin sung rok (Man Who Dies to Live)
jung kyung ho (Missing 9)
kim sun ho (two cops)
kim soo mi (man who set the table)
e.t.c
Male Popularity Award
jang hyuk (money flower)
jo jung suk (two cops)
yoo seung ho ( ruler master of the mask, im not a robot)
yoon kyung sang (rebel thief who stole the people)
e.t.c
Female Popularity Award
honey lee (rebel thief who stole the people)
chae soo bin (rebel thief, im not a robot)
ha ji won (hospital ship)
kim so hyun (ruler master of the mask)
yoonA (the king loves)

 
Apo kwenye etc ni zinaendelea!?

Drama of the year mi Apo ningeipigia Rebel,Money na kings love
Female apo angechukua uyu Binti alocheza kwenye rebel na Iam not robot Ambaye kacheza pia kwenye strong delivery man
Male ningempa hyuk Oppa na yule wa kwenye rebel
 
Lete ushaidi kwamba anang'ara huko mbinguni.? Mambo mengine tusiwe tunaongea tuwe tunatulia tu.!
 
Mi kaniuma Dooh! Nimeumia Sana Yaani Nmi ningekuwa Korea Nhisi ningeudhulia Kama Mashawol walojikusanya..Sijajua kwa nini Huu Msiba Umeniingia Kiasi hiki...
Naona unalia lia sana kuhusu huyu jamaa kufariki kip kigeni hapo. Kifo ni lazima,
 
Nimevurugwa drama yangu ya Beyond the clouds nimeifuta kwa bahati mbaya,natamani hata kuvunja hii laptonga.
Pole sana mkuu, hiyo kitu niliwahi kuangalia kama epsd 2 hiv kisha nikaipotezea ngoja nikipata mda nitaichukua.
 
Hawa jamaa Roho mbaya tu, mbona BLACK hamna na ile kitu ya MELOHOLIC.
 
Very well stated noona is so proud of you....
Ni maombi yangu kuwa matamanio yako Mungu ayafanikishe. Halafu kumbuka kuwa harusi yako tutafanyia kisiwa cha jeju, embu ngoja nikazane kuomba.
 
Hapo kwenye kipengele cha Male Popularity Award Naona Ata Mtu wangu wa nguvu SONG SEUNG HEON simuoni Kabisa u serious wote ule kwenye Black alafu hayupo. Huo sasa ni utani kabisa.
 
  1. rebel thief who stole the people nimeishia episode ya 10 na anayenifanya niwe mvivu ni muigizaji mkuu yoon kyung sang namuona bado ni muigizaji anayestahili kuendelea kuigiza kama muigizaji msaidizi kama ilivyokuwa kwenye six flying dragons na faith ila nimempenda sana kim sang joon (mzee ahmogae). hata kwenye doubtful victory namuona bado hajabadilika licha ya kuwa ameigiza tena nafasi ya muigizaji mkuu. hahahahaaaaa inawezekana nina chuki naye binafsi utafikiri kanichukulia mwanamke wangu.
  2. laiti kama money flower ingelianza kuonyeshwa kuanzia mwezi wa 10 naamini ingelikuwa rahisi kushinda tunzo ya best drama. Jang hyuk na timu nzima wanafanya kazi nzuri sana, kwa sababu mpaka tarehe 30 itakuwa imefika episode ya 14
  3. kwenye majina ya wawaniaji tunzo kwa wanaume sijamuona im siwan labda kwa kuwa yupo jeshini
  4. kwangu mimi kings love ndio MBC best drama kwa mwaka 2017
  5. yoona anastahili tunzo ya best actress kwa wanawake amefanya vizuri sana kwenye kings love.
  6. ningependa jang hyuk ashinde tunzo kwa upande wa wanaume ya best actor na si yoo seung hoo wala yoon kyung san.
 
Very well stated noona is so proud of you....
Ni maombi yangu kuwa matamanio yako Mungu ayafanikishe. Halafu kumbuka kuwa harusi yako tutafanyia kisiwa cha jeju, embu ngoja nikazane kuomba.
  1. amin amin amin
  2. huko jeju itakuwa ni mwendo wa Hanbok, kimchi, magkeolli, bibimbap(mixed rice),bulgogi.
  3. na honeymoon itakuwa ni kwenye mji mpya wa song do.
  4. mtumbuizaji atakuwa ni Park hyo shin na mwanadada Ailee.
    .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…