sumu nyengine ukinywa hazileti madhara yoyote ndani ya mwili lakini hukuzidishia furaha.ila kwa jinsi episode ya 16 ilivyomalizia baada ya namo hyun naye kumfahamu kang pil joo kama ndiye jang eun cheon nategemea uhasama mkubwa sana kati ya wawili hao kwa sababu namo hyun hatokubali kuona jang bo cheon anapoteza nafasi ya kuwa mwenyekiti wa cheong A family group.Deabak! Sunbae hujui kuwa mke wa mtu sumu?
Mmmhhh! Hii kazi mie najitoa naamua kumuachia chingu yangu aminas!
Komawo.soompi ipo fans thread yake lakini mara ya mwisho kwa mashabiki kuweka taarifa ilikuwa ni november 2016.
Park Hyo Shin(박효신) Official Thread
Anhaaa! Mi Nilidhani kweli coz nimeona izi taarifa Zinasambaa.leo 9/1/2018 mtumiaji mmoja wa mtandao wa kijamii nchini korea aliweka taarifa kwenye account yake inayowahusu muigizaji gong yoo 39 (goblin drama) na jung yoo mi ya kwamba wawili hao wanatarajia kufunga ndoa na tayari wameshafanya maombi ya kufanya sherehe yao ya harusi kwenye hotel ya Shilla siku ya jana.
lakini upande wa pili Soop entertainment ambayo inawasimamia gong yoo na jung yoo mi wamekanusha taarifa hizo na wamesema watachukua hatua za kisheria kwa aliyevumisha taarifa hizo, taarifa rasmi inasema:
"We are releasing a statement regarding the rumor that’s spreading on social media and various online community sites right now. The rumors about Gong Yoo and Jung Yoo Mi are totally false. From here on out, we will be taking firm legal action against rumors and malicious comments.”
taarifa ya soop enteratinment imeendelea kusema
uvumi wa ndoa hauna ukweli wowote,gong yoo na jung yoo mi hawana undugu wowote wa kuzaliwa lakini ni kama mtu na mdogo wake.
Hii ost Mbona Sikuisikia.Lee Seok Hoon – Healing (Feat. Bubbledia)
please: kama hujawahi kufika joseon hata ukiwa umelala basi usisome
naega neol mideojulge gyesok neol anajulge
himgyeoun manheun naldeuri jinamyeon
geuttaeneun useojullae nal bomyeo useojullae
eonjenga kkumkkwo on nari ol geoya
himdeulda malhaedo dwae jogeumeun swieodo dwae
swim eopsi dallyeoogiman han neojanha
jogeum deo neujeodo dwae gakkeumeun dwireul dorabwa
naeireun deo meon gireul dallil geoya
naega neol mideojulge gyesok neol anajulge
himgyeoun manheun naldeuri jinamyeon
geuttaeneun useojullae nal bomyeo useojullae
eonjenga kkumkkwo on nari ol geoya
himdeulda malhaedo dwae jogeumeun swieodo dwae
swim eopsi dallyeoogiman han neojanha
jogeum deo neujeodo dwae gakkeumeun dwireul dorabwa
naeireun deo meon gireul dallil geoya
godoego jichin haru kkeute
amu mal eopsi neol ana jul su issneun
naega yeogi issjanha geu nuga mwora haedo
heundeullijima neon neoui gireul ga
naega algo issjanha
gati useojulge gati ureojulge
gaseume mudeodun geu mal da malhaebwa
naega deureojulge eonjenga meon husnari wa
oneureul gieokhamyeo useul su issge
lalalala lala lalalala lala
niga geotgo issneun gireul mideobwa
baadhi ya wakati huwa najiuliza hii lugha yetu ya kiswahili mashairi ya ballad song huwa haikubali?Hii ost Mbona Sikuisikia.
Apa ndo unaweza toka Machozi bila ata kuelewa inaelezea Nini.
Melody Na Izo Sauti Duuh.
Korea Wanaijua Ballads na kama Wangekuwa Wanaimba English Dunia Nzima Tungeamia Kwao.
Japo music Aichagui Lugha.
Kigongo gani hiki? Maana hawa wakorea wanataka kutusababishia kisukari kwahaya mavitu yao matamu
We mgen wa series za kikoreaYani jamani hakuna series naikubali kama BRIDAL MASK Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yani hii hata niinagalie mara kumi siichoki na ndio series iliyonifanya nipende kuangalia wakorea,, naomba kuwasilisha,,,,
Hapana sio mgeni kivilee maana nimeangalia series nyingi nyingi sema hiyo kwangu ndio ilinifanya nizame kabisaaaaaaa kwa wakoreaWe mgen wa series za kikorea
Inaitwa HwayugiKigongo gani hiki? Maana hawa wakorea wanataka kutusababishia kisukari kwahaya mavitu yao matamu
Asante sana.Ngoja niivutie bando la usiku maana huyo kijana hajawahi niangusha. Inaendelea au ipo complete?Inaitwa Hwayugi
Ndio kwanza tupo ep ya 4. Inaendelea...!Asante sana.Ngoja niivutie bando la usiku maana huyo kijana hajawahi niangusha. Inaendelea au ipo complete?
Mwezangu We Acha Tuuh Now Ndo Nipo Free kidogo ndo Nataka Niicheki Vizuri.aminas,
Chingu mrejesho wako bado naungoja.