mmhhhhhhhhhh hapana noona maamuzi yangu bado nimeyasimamia ipasavyo, mwanzo nilifikiria pia kuipotezea hii thread pendwa kwa kipindi changu chote cha likizo pendwa ila nimehisi yatakuwa ni maamuzi ya kipumbavu ambayo hayapaswi kufanywa na mjinga.Naona umerudi kwa kasi ya Vodacom 4G
Aigoooo Iyo Signature Dooh!mmhhhhhhhhhh hapana noona maamuzi yangu bado nimeyasimamia ipasavyo, mwanzo nilifikiria pia kuipotezea hii thread pendwa kwa kipindi changu chote cha likizo pendwa ila nimehisi yatakuwa ni maamuzi ya kipumbavu ambayo hayapaswi kufanywa na mjinga.
maisha yote maamuzi ya kipumbavu yanapaswa kufanywa na mpumbavu mwenyewe.
Hii kwani bado haijaisha?Park Jin Hee’s Reps And SBS Respond To “Return” Casting Reports
baada ya mwanamama go hyun jung kuchukua maamuzi ya kutokuendelea kushiriki kwenye drama ya return taarifa zilizozagaa kwenye vyombo mbali mbali vya habari siku ya jana nchini korea ni kwamba muigizaji park jin hee ndiye atakayeigiza nafasi ya go hyun jung.
lakini leo hii Elefun Entertainment ambao wanamsimamia park jin hee wameamua kutoa taarifa rasmi kuhusiana na suala hilo na kusema ya kwamba ni kweli park jin hee amepewa ofa ya kushiriki kwenye drama ya return lakini hakuna maamuzi yoyote yaliyofikiwa.
ikumbukwe ya kwamba mwezi uliopita mwanamama park jin hee alitangaza ya kwamba ni mjamzito na hivyo basi anataka kutumia muda wake zaidi kushughulika na afya yake kuliko kufanya shughuli za uigizaji.
Park Jin Hee ameshiriki kwenye drama kama vile giant, oh my geumbi, fermentation family
kivyovyote itakuwa bado hawajamaliza production ndio maana wanatafuta muigizaji mpya, au wewe unaonaje sunbae ?Hii kwani bado haijaisha?
yes my dear friendAigoooo Iyo Signature Dooh!
FIGHTING!
Huyu si yule Dada alicheza season ya jumongbaada ya takribani miaka 4 mwanadada anayejulikana kwa kina la han hye jin hatimaye amerudi tena kwenye ulimwengu wa uigizaji baada ya kukubali ofa ya kuwa muigizaji mkuu wa kike kwenye drama inayoitwa “Let’s Look at the Sunset Holding Hands" ambayo itaonyeshwa na shirika la MBC
Ni drama inayozungumzia simulizi nzuri yenye kuvutia inayowahusu wanandoa wawili ambao wanaamua kurudisha upendo wao waliokuwa nao baada ya kukabiliana na kifo (confronting the matter of death).
Nam Hyun Joo ni msichana aliyetokezea kumpenda mvulana tokea walipokuwa chuo kikuu, katikati ya maisha yao ya ndoa anaamua kuachana na mume wake na kuamua kwenda kutafuta upendo sehemu nyengine kwa ajili ya kutumia siku zake za mwisho wa uhai wake akiwa kwenye hali ya furaha na utukufu.
drama hii itakuwa ni ingizo jipya kwa mwezi Machi.
upo sahihi nje ya sanaa ni mke halali wa ki sung yueng ambaye ni mchezaji wa swansea city ya ligi kuu ya uingerezaHuyu si yule Dada alicheza season ya jumong
Kumbe upo vizuri[emoji3] [emoji3]yes my dear friend
예, 친애하는 친구
ye, chin-aehaneun chingu
Na iyo Avatar Yako Pia Lol!!!yes my dear friend
예, 친애하는 친구
ye, chin-aehaneun chingu
Naimalizia Hwarang Nipo episode ya Mwisho Nikimaliza Tuuh Narudi kummalizia Rae Won Wangu.Main Cast Shares Their Final Thoughts As They Bid Farewell To “Black Knight”
siku ya jana kupitia kituo cha KBS black knight drama ilifikia kikomo baada ya wiki takribani 10 huku episode ya 20 ikiangaliwa kwa asilimia 13.9 nchini korea, hatimae waigizaji wakuu wakapata nafasi ya kutoa mawazo yao kuhusiana na mazuri na changamoto walizokutana nazo wakati wa kazi.
kim rae won alisema:
Black knight ilikuwa ni changamoto mpya kwangu kwa sababu ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kushiriki kwenye fantasy drama na pia ni mara yangu ya kwanza kuigiza historical drama.nashukuru sana kuona mashabiki walivutiwa sana na uhusika wa moon soo hoo. Ni jambo la furaha sana kufanya kazi na waigizaji bora na sina budi kutoa pongezi zangu za dhati kwa timu nzima ya black knight kwa kuifanya black knight kuwa bora licha ya changamoto kubwa ya hali ya hewa ya baridi wakati wa kazi.
pia amewashukuru mashabiki kwa kutumia muda wao kuiangalia black knight kuanzia episode ya 1 hadi 20.
Shin Se Kyung
kiukweli ulikuwa ni uhusika mgumu sana kuigiza kwani nililazimika niigize historical na pia nilipaswa niigize uhusika wa mtu mwengine (sharon).Nawashukuru sana watazamaji kwa kumpenda jung hae ra, pia nitoe shukurani zangu kwa timu nzima kwa kazi ngumu tulioifanya kwenye hali ya hewa ya baridi kali, nimedhamiria kuchukua likizo kama alivyofanya Damushin kabla sijafikiria kufanya project nyengine.
Seo Ji Hye
niliweza kuonyesha tabia tofauti kupitia uhusika wa sharon na nashukuru sana kwa kupokea pongezi nyingi sana kutoka kwa mashabiki, nataka nitoe shukurani zangu kwa production team na pia kwa mashabiki wote waliovutiwa kuiangalia black knight drama.
Hahaaa hizi ongoing Drama kwa sasa sizitaki kabisa. Hiyo Misty na Nyenzake Cross mara ya kwanza kabisa zinawekwa niliziona ila nikazipotezea. Niko busy sana na The Immortal Yi Soon Shin.
Haha...mie nikiangalia ongoing huwa nina drama ambayo complete inanisogeza.Hahaaa hizi ongoing Drama kwa sasa sizitaki kabisa. Hiyo Misty na Nyenzake Cross mara ya kwanza kabisa zinawekwa niliziona ila nikazipotezea. Niko busy sana na The Immortal Yi Soon Shin.