Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Management.
Wasanii Wetu Hawana Ichi Kitu.

Naipenda Systems Nzima Ya Korean Entertainment, Japo Ipo na Madudu Yake Ya Kuwanyonya Wasanii Ila Wanasystem Nzuri Sana.

Nilihaidi Nitakuja Kushushu Kitu Kuhusu KPOP, Sijapata Tuuh Wasaa Ila Nitakuja Andika Siku.
 
Bogoshipo.
 
Age of warriors naomba link mkuui
 
aigoooooo kwa jinsi nilivyokuwa kilaza kwenye kufikiria hata ukiniwekea millioni 10 niandike nukuu (quotes) kumi tu tena kwa masaa 24 zenye kuendana na uhalisia wa maisha basi nitashindwa na hicho kiwango cha pesa japokuwa sijawahi kuzimiliki nitazisamehe.
omo omo omo ni kama muheshimiwa fulani umwambie kama unataka kuwa kiongozi wa maisha wa taifa hili basi uzungumze kipemba cha uingereza kwa masaa 3 bila ya kutumia lugha ya kitumbatu cha kisukuma, aigooooo uongozi atausamehe na mshahara wake wa mwisho wa mwezi huu pia ataukimbia kwa kuhofia kuambiwa ili apewe mshahara lazima azungumze kipemba cha uingereza kwa masaa 2.
ninapoangalia drama za korea hususani historical drama huwa navutiwa sana na mazungumzo yao, hahahaaaa baadhi ya wakati hutamani mtu apigwe upanga kuliko kutishwa kwa nukuu, ukiona fumbo limekupata unaishia kuguna
" mgghhhhhhhhhhhhhhhhh"
ngoja nishushe baadhi ya nukuu zilizonivutia kwenye because this is my first life drama.
  1. Cats do not have cortexes unlike humans. For cats, only the present exists; they neither have a future nor a past,thats why they dont get bored or depressed even if they have the same food for entire their daily live (so hee:because this is my first life drama)
  2. Because I’m in my twenties, my thirties, and soon to be forties. Only humans lock themselves in time.(so hee:because this is my first life drama)
  3. Only humans draw on the weakness of age, ending up spending money and emotions. That is the catastrophic disaster that man has earned in return for evolution (so hee:because this is my first life drama)
  4. Thirty or forty in age is just the same as today for cats.(so hee:because this is my first life drama)
  5. When I decided to follow my dream, I thought my life would be like walking through a dark tunnel. But I didn’t know it was going to be this dark. I didn’t know it was going to be this lonely. How much longer do I have to keep going (jung so min:because this is my first life drama)
  6. It was my first time hearing that someone needs me. Throughout my twenties, I worked hard to be a person who is needed.(jung so min:because this is my first life drama)
  7. Words are always… slower than the heart.(so hee:because this is my first life drama)
  8. i want to be snail in my next life,they will never get kicked out in the house(jung so min:because this is my first life drama)
  9. Just because you lived through yesterday doesn’t mean you know everything about today(so hee:because this is my first life drama)
  10. you don´t even know who you are , so it´s hard to know others".(so hee:because this is my first life drama)
  11. Good luck, going through this life is the first time for all of us anyways. I've forgotten for a while, this life... this moment... you only get one chance..(because this is my first life drama)
  12. Life is too long. There are too many unwanted scenes.(soo ji:because this is my first life drama)
  13. I like to see Horang smile", "I want to make her happy", "I can't live without her" What you just said all start with "I", your sentences don't start with the other person."(so hee:because this is my first life drama)
 
mimi naendelea kusubiri andiko lako linahusu kpop entertainment, hata kama ni miaka 7 nitavumilia tu.
mvumilivu hula ndizi na embe mbivu=mwaka 1910
mvumilivu hula ndizi na embe mbovu=mwaka 2018
 
mimi naendelea kusubiri andiko lako linahusu kpop entertainment, hata kama ni miaka 7 nitavumilia tu.
mvumilivu hula ndizi na embe mbivu=mwaka 1910
mvumilivu hula ndizi na embe mbovu=mwaka 2018
Endeleaa Chinguya.
Napata Tuuh Uvivu Coz Tayri Nilishaidraft Sema Nimeilia Bati Tuuh.
 
Namba 6. na 5.
Nilikuwa Nasoma Uku Nikitaka Kuona Mstari Utakaonigusa.
No.6 na 5 Unanihusu.
 
The 'triplets', a mattress advertising model
kampuni ya Lux Nine Co., Ltd inayojishughulisha na uuzaji wa magodoro (mattress) nchini korea siku ya jana (13/02/2018) imewachagua mapacha watatu (song daehan,song minguk na song manse) kuwa ndio advertising model wa biashara yao.
NB:
Aigooooo haya maisha hayapo fair kabisa, wakati wewe unawaza wapi utapata pesa ya mkate wa kula leo mwenzako kwake yeye pesa ya kutumia miaka 10 ijayo inajileta wenyewe.
mimi nadhani sisi wengine duniani tumekuja ili tumuongezee kazi malaika mtoa roho na kujaza vyoo.
hivi vitoto vinamikataba mingi ya kibiashara na bado hawajatimiza hata miaka 7, hahahahhaaa haki yao kula sana na kuvaa vizuri, maisha yao yamezungukwa na baraka na nitaendelea kuamini robo ya watu duniani ni mashabiki wa song triplets,imefika wakati mtu anaona fahari kupiga picha na song triplets kuliko kupiga picha na Trump.
halafu anatokezea kiongozi mpumbavu anasema maisha ndio haya haya nchi yoyote utakayokwenda.


 
aminas noona hii likizo yangu inanifanya niwamiss hawa wanyama watu
  1. Celebrity Pig
  2. Dog Secretary
  3. Prince Octopus
  4. CEO Bull
  5. Househusband President
  6. Great Sage Monkey
  7. zombie
 
Kuna Mmoja Kaongezeka Uyo Anaitwa Asanyeo Ye Kaingia Kwenye Mwili Wa Zombie Akataka Kumrubuni Monkey Hili Amuoe Yeye amwache Human Sam Jang.

Ni Full Vituko Ma Wang Mtaka Kuwa Deity Amekuwa Kipofu Baada Ya Kuchukua Adhabu Ya Yule Bby Wake. Uku Monkey Akimuonee Huruma Ma Wang ( Wamenichekesha Snaa Awa Wanyama Kwenye)

Uku Mapenzi Ya Octopus Kwa Pig Yakiongezeka.

Dog Nae Amekuwa Akimkubari Sana Monkey a k a Thug In Ma Wang Voice.

Vituko Vya Hwayugi Ni Mwisho..

Kuna Hii Waikiki Damushin Hakuna Mzima Kwenye Hii Drama Wote ni Manuts Yaani!
 

According to a broadcasting official on the 14th, 'Switch' is first filming in Incheon today.
The actors and crews gathered last 7 days to read the entire script.
'Switch' drama is scheduled to be broad casted first in mid-March following 'Return'.

We are supporting SWITCH. ・JKS・
The cake from FC Official of Jang Keun Suk CriJ​
 
Seriously Waikiki is crazy,scene ya mwisho ya episode ya 3 imenifanya nicheke kama kichaa dah hii drama inachekesha sana yaani full vichaa humu ndani unacheka mwanzo mwisho.
 
Seriously Waikiki is crazy,scene ya mwisho ya episode ya 3 imenifanya nicheke kama kichaa dah hii drama inachekesha sana yaani full vichaa humu ndani unacheka mwanzo mwisho.
Thanks, Sante Sana na Kila Unayemzania Mzima Kumbe Hamna Kitu.

Mi Nilijua Yule Mama Mtoto Atakuwa Afadhali Kumbe Nae Pumba Lol!

Nilichopenda Kwao Ni Jinsi Wanavyopendana,Wanavyopeana Moyo Na Kufurahi Kila Mwenzao Anapofanikiwa. Na Wanjuana Wote Mambo Yao, Ni kitu kizuri Sana Wanafanya Au Kuonyesha Licha Ya Uchizi Wao.

Kuna Kitu Najifunza Sana Kwenye Hii Drama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…