Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hongera Yao Ila Mi Ata Sijaielewa Yaani!!
 
Hyun Bin Confirmed As Male Lead In His First Drama In 3 Years
ni miaka 3 imepita tokea ashiriki kwenye drama ya Hyde, Jekyll, Me.
Hyun bin amethibitisha kushiriki kwenye drama ya Memories of the Alhambra itakayoonyeshwa na kituo cha tvN.

ni drama inayozungumzia maisha ya Yoo Jin Woo ambaye ni muhitimu wa phd fani ya engineering, pia ni CEO wa kampuni inayojishughulisha na utengenezaji wa software.
kupitia shughuli zake za kibiashara anaamua kusafiri na kuelekea kwenye mji wa granada uliopo nchini spain, baada ya mizunguko yake ya kibiashara yoo jin woo anaamua kupumzika kwenye old hostel inayomilikiwa na mwanadada Jung Hee Joo.
kama park shin hye atakubali offer ya kuigiza kwenye drama hii basi ndiye atakayeigiza uhusika wa jung hee joo.



aigooooooo HYUN BIN hajawahi kuniangusha kwenye uvaaji wa suit, huku kwetu celebrities wetu jinsi walivyokuwa hawana heshima anaalikwa kwenye tunzo anavaa nguo iliotengenezwa kwa kitenge utafikiri anakwenda camping na hawara wake.
 

nilikuwa na mipango ya kuiangalia drama ya winter sonata lakini nimeamua kubadili maamuzi yangu baada ya kusoma taarifa ya mwanadada choi ji woo kuhusiana na maamuzi yake ya kufunga ndoa wiki iliopita.
hahahahahahaaaaa sina wivu na mke wa mtu.​
huku kwetu mwanamke akivuka miaka 27 bila kuolewa anaonekana kituko.
mwanamme akivuka miaka 32 bila ya ndoa anaonekana mzee.


barua aliyoandika kwa ajili ya mashabiki wake kuhusiana na maamuzi yake ya kufunga ndoa kimya kimya kama anafukuza mwizi.

“I feel shy and nervous writing a letter for the first time in a while. It’s a bit sudden, but I have great news. I tied the knot on March 29 with someone I want to start a new life with. We held a private wedding ceremony with only our close family members in attendance. I will start a happy family with the person I love, and we will always respect each other.
“I should’ve let you guys know earlier, but I wanted to be careful because my [husband] is not a public figure. I hope you will understand and give us your blessings. I will always remember the love and support you have given me, and I will continue my career as an actress.

“Please stay healthy. Thank you, and I love you.”
kila la kheri kwenye maisha yako mapya.
 
Wakuu naombeni mnipatie link ya sehemu ambapo nitaweza kudownload series za kikorea...!!!
 
Wapendwa,
Nasikitika kuwapa taarifa kuwa sitokuwepo humu kujumuika nanyi kuanzia leo 1 April 2018.
Nawatakieni kila la kheri katika kuendeleza hiki kijiwe.

Regards,
mwanaJeseon mwenzenu,
EMPTY.
Gwenchana Gwenchana
kwa sauti ya jun ki.
iwe ni siku ya wajinga au siku ya wazembe ninapaswa niyaheshimu maamuzi yako na kama niliwahi kukukera naomba unisamehe dongsaeng.
 
Mambo, Uko Poa?
Nishaidownload Kinachoendelea Je?
 
Nona Nyota Tuuh Apa Iyo Link Naenda Ipest Wapi
 
aminas
Kabla ya kuanza kupakua episodes hakikisha unaweka sawa settings za IDM.
Gusa vile vichoro vitatu - juu kushoto, halafu tizama picha uweke hivyo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…