Haya Bwana Sun Woo tutafanyaje...vile namlenda Dr Kim daah.
Sema kumbe kweli hadi huko watalaka hawaachani[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa hivi nakosa cha kusema kuhusiana na hii episode, haki nimeishiwa maneno kabisa.
Haya ndiyo matokeo ya kuendelea kuwa na ukaribu na ex wako, Sun Woo nimevua vyeo vyote.
Nilivyokuwa natamani aishie na Dr. Kim sijui itakuwaje sasa 🤦♀️
Ila somehow nimepata releaf kwamba Da Kyung ataumia kwa kilichotokea.
Na tokea mwanzo nilipata mashaka ya wawili hawa kurudiana mwishoni, japo siwapendi pamoja as couple.
Aliyeziweka OST kuendana na yale matukio katisha sana [emoji1430][emoji1430][emoji1430]
aminas
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi kumbe na wewe unampenda Min Hyu Seo? Yani natamani angekuwa rafiki yangu [emoji30][emoji30]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uwii naomba ending yao isiwe this toxic couple kurudiana wataniudhiii
Sent from my iPhone using JamiiForums
nimeshaiangalia
teh teh teh
umeshakuwa addicted....
mambo ni mengi kiupande wangu kwa sasa (itabidi tupitishe uvumilivu wa kibabe, muda wa kujiunga internet umebadilika
Msaada wa link ya huko telegramuni kama hutojaliMkuu unaonaje ukamalizia ile drama ya dae jo yeong, ulifika ep ya sita tu! Kwa heshima na taadhima! Kule telegram
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa bonge la series naipataje coz cjaimaliza aiseeempress ki
the great queen of seedok(decoman)
mkuu mbona kama sometimes downloads zinapotea huko dramania app yaani inaonyesha zinadownload halafu hazionekani?Si mdownload kupitia dramanice
mkuu mbona kama sometimes downloads zinapotea huko dramania app yaani inaonyesha zinadownload halafu hazionekani?