Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 502
- 1,337
Mkuu endeleza kuturushia King Dae Jo Yeong kule telegram, kwa heshima na taadhima!
Si mdownload kupitia dramanice
mkuu mbona kama sometimes downloads zinapotea huko dramania app yaani inaonyesha zinadownload halafu hazionekani?
Jaribuni na hapa (Telegram Channel), Series zote za 2020 zipo hapa Free Korean DramasIngekua hatupati shida na hiyo dramanice tusingehangaika kuomba turushiwe! na mkuu anayeturushia huko telegram angekua na majibu km haya basi asingepata shida kuanzisha lili group la telegram!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeimaliza "Shine or Go Crazy"
na sasa nimeianza "Shin Don"
Hii shine or go crazy nilijivutaga sana kuangalia, kila nikiangalia episode ya kwanza sieelewi kabisa nafunika. Siku nimeangalia Fated to love you ndio nikajua imechezwa na Jang Hyuk nilirudi kwa spidi ya jet nikiangalia mwanzo mpaka mwisho, nilijuata muda niliopotezaKuna movies ukizimaliza unatakiwa uchukue likizo fupi kwanza kisha uangalie nyingine maana kwa uzuri wake unaweza ichukia inayofatia. "Shin don" sijawahi kuiona,nimepata akiba ya kuangalia.shukrani. Ila shine or go crazy nzuri sana
Hii shine or go crazy nilijivutaga sana kuangalia, kila nikiangalia episode ya kwanza sieelewi kabisa nafunika. Siku nimeangalia Fated to love you ndio nikajua imechezwa na Jang Hyuk nilirudi kwa spidi ya jet nikiangalia mwanzo mpaka mwisho, nilijuata muda niliopoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona siioni hiyo ya mb chin ya 180? Mimi natumia 300 na kuendelea[emoji24]Nadhani world of the married imeifanya isitawale sana huko korea. Ila kinachofurahisha ina mb chache(chini ya 180)hivyo nyepesi kuvuta
Mbona siioni hiyo ya mb chin ya 180? Mimi natumia 300 na kuendelea[emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nielekeze jaman daaah maana mm nachoka huku[emoji2363]Naongelea The king and eternal monarch kule kissassian ndo ipo hizo mb 170 naivuta taratibu mpaka iishe
Korean drama haizid 350 ukivuka hapo ujue umekosea step
pengine video quality ni kubwa (480 or 1080)
ShukranNenda play store vuta uc mini browser(hii haisumbui kama kubwa yake) ukishaipata ingia humo kisha google kissiassian.sh ingia humo tafuta drama uipendayo. Kama jaribio anza kwanza kuivuta uc min browser kisha uje uulize swali lingine
Naongelea The king and eternal monarch kule kissassian ndo ipo hizo mb 170 naivuta taratibu mpaka iishe
Korean drama haizid 350 ukivuka hapo ujue umekosea step
Labda kama ni za biashara mkuu. Lakini kama ni kuangalia kisha kufuta HD ya gb 2 ya nini sasa
UC browser New Version inasumbua sana sasa hiivi natumia IDM ingawa siwezi kupakua Drama za Kissasian kupitia hiyo IDMNenda play store vuta uc mini browser(hii haisumbui kama kubwa yake) ukishaipata ingia humo kisha google kissiassian.sh ingia humo tafuta drama uipendayo. Kama jaribio anza kwanza kuivuta uc min browser kisha uje uulize swali lingine
hahaha Usinivunje moyo tafadhali, maana jana nilijaribu kuitazama ndani ya DK 20 nikachoka kuangalia movie siku nzima, Leo nimeanza na Money Game( ni tamu kweli kweli).Kuna movies ukizimaliza unatakiwa uchukue likizo fupi kwanza kisha uangalie nyingine maana kwa uzuri wake unaweza ichukia inayofatia. "Shin don" sijawahi kuiona,nimepata akiba ya kuangalia.shukrani. Ila shine or go crazy nzuri sana
"While YOU Were Sleeping" umeionaje?Upo kama mie nilipokua naichukulia poa while you were sleeping ila nilipokosa vya kuangalia na nimeshaivuta nilijishangaa kuipita drama tamu kama ile
"While YOU Were Sleeping" umeionaje?
UC browser New Version inasumbua sana sasa hiivi natumia IDM ingawa siwezi kupakua Drama za Kissasian kupitia hiyo IDM