Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hiyo vincenzo jikaze ukifika ep ya 3 uje hapa,
Yani ni nzuri mno mno uyo Song Joo ki so wa mchezo mchezo.

Humo kila mtu star hadi njiwa- INZAGHI
Hii ID Kama Naijua Ivyi Alishawah Kuepogi Umu Akawa Anasumbua Hivyi Hivyi Sijui Niyeye.

INZAGHI Kaua Wameamua Kuwapa Wanyama Nao Nafasi Kama Navyoona Paka Kwenye Mouse.
 
Aisee
 
Hii ID Kama Naijua Ivyi Alishawah Kuepogi Umu Akawa Anasumbua Hivyi Hivyi Sijui Niyeye.

INZAGHI Kaua Wameamua Kuwapa Wanyama Nao Nafasi Kama Navyoona Paka Kwenye Mouse.
Na Mimi nishaipata wacha nipitie hivi


Hahahaha yani nimependa kila actor ana play big role Kwa episode yake. Nampenda Yule dada kama jini anaongega pembeni mwenyewe [emoji1787][emoji1787]
 
Annyeong Chingu.

Tax Driver ndo Nataka Itazama.

Law School Nayo ni πŸ”₯.
waendeleaje professor kim eun suk na darasa lako la civil code/law, mbona wamuogopa mtuhumiwa atembeae akiwa uhuru bwana lee man ho.
==========
Taxi driver inanikumbusha balaa la the fiery priest, ukihitaji kulipiziwa kisasi kwa sababu ya madhila unayofanyiwa bonyeza button ya blue kwenye game yako then tutakusaidia.
===========
Ramadhan kareem
 
Ramadhan Kareem Na Kwako Pia.

Bwana Lee Man Ho Naona Kabeba Tabu Kubwa Ka Civil Law ni Kwamba Alikua Anasoma Ndani Ya Gereza Aje Awatesa Watu akitoka Au ni Nini!

Na Uncle Kauliwa Na Mwanae Kweli Mbona Mambo Ya Mouse Haya.

Tax Driver Nayo Ni Cheche.

Mwaka Huu Korea Wameamu Na Aina Hizi Za Drama.
 
Na Mimi nishaipata wacha nipitie hivi


Hahahaha yani nimependa kila actor ana play big role Kwa episode yake. Nampenda Yule dada kama jini anaongega pembeni mwenyewe [emoji1787][emoji1787]
Haha haha Na Macho Yake Anavyoyazungusha Matendo Yake Anaonekana Nae Si Mzima Ile Nyumba Sidhan Kama Kuna Mzima Vincenzo Alikuja Vizuri Ona Naye Sasa Kaharibika.
 
Mkuu hii The flower in prison ni nzuri?
 
Well nasikia hii ni scenario iliyopo sasa Korea kuhusu mbakaji na hukumu ya Muda mfupi ndo maana na kwenye mouse wame dedicate kuhusiana na hili tukio.
 
application ilikuwepo ila ni mbovu. unaweza pata website za kudownload ambazo ni:-
1. kissiassian.sh
2.dramacool9..co
3.dramanice.movie

link zake


Msaaada app ya kushusha Korean dram
 
Hivi kuna drama moto moto Kama #PENTHOUSE..

June naona parefu Sana...Sijui nn ktaendelea Logan lee Ni kweli kafa KWA bomu lile[emoji29]
Bae rooNa sijui watakuwa pamoja. Na seok hoon?
Huyu rafiki wa mr Baek( joo dan dae) Ni story nyingine tena[emoji848]
Kuna tetesi cast inaweza badilika hivi Ni kweli?
Mi naona wakifanya hivo wataharibu kwakweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…