Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hi drama kiupande wangu ipo na cast wazur na maadhari nzuri Ila story imekaa kibongo movie, like seriously mpangilio wa matukio inabid ujifanye hamnazo ili uinjoy makasiriko
 
Dong Yi ndio series yangu bora ya muda wote. Hiyo Dae jang gum( Jewel) naipenda sana. Yi san navutiwa na story yake pia
 
Yule dobi aliipunguza vipimo anzia urefu wa mikono hadi upana wake maana suti ilikua inamtosha vyema vicenzo angalia alipotua airport ila baada ya kufuliwa haikumtosha mikono mifupi na urefu wa koti hadi upana vyote vimepungua akasingizia ni suti feki ndo maana ilipofuliwa ikapungua
Hahaha mimi sikuelewa pale hivi nini kilitokea?
 
innocent dependat acha dharau kwa wenzio kuwaita wapuuzi kisa hujapenda recommendations zao.

una ujinga sana kijana kutaka kulazimisha unachoamini ndicho wote wakifate.

umebadili jina ila bado una ujinga ule ule wa kujiona bora kuliko wengine
Alafu kuna wapuuzi wanaisifia "vincenzo" na kuipa promo kubwa kumbe ni utopo mtupu. MOUSE na PENTHOUSE ndio drama kali
 
Naona walikua katika ule mgomo alouandaa baba mtu Kwa kuwatumia wapangaji.

Ep ya 8 kila nikiiikumbuka nacheka Bado.
 
mmmh hii drama ni nzuri ila imenibidi niishie episode ya tatu ndipo nilipoishia kuvuta. maana kuna u gay humo halafu ndio wahusika wakuu. Boring
Yani naomba nisikutane nazo hichi ndo kilichopunguza mapenzi na drama za wazungu

Kuna moja nilichek kwenye ongoing "nobleman ...wedding" kuchungulia comment ndo kujua wanaitwaga BL sijui, sijataka kujikera.
 
Hee makubwa...kwa nini alifanya hivyo sasa. Ujue mimi nilishangaa, dobi na tape measure wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…