Wanajali vitu vidogo ila wanapata hasara kubwamaisha ya uhalisia hawaweki makeup kila wakati, sijui umenielewa?
maisha ya uhalisia hawaweki makeup kila wakati, sijui umenielewa?
Kwa mimi Best korean Drama yangu ya all Time ni jumong ,hila kwa mwaka huu nlizoangalia best of the bestKama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
Ni impact ya ongoingNahitaji maombi
1.its okay to be okay
2.mr sunshine
3.100 days
4.queen for seven days
5. While you were sleeping
6. Dong yi
7. King the destiny changer
8. One night spring
9. The world of married
10.River where the moon rises
N.k
Yaaaaan hizi zote nmeshindwa malizia ep za mwsho sijui shida ni nini[emoji85][emoji85]au ndo impact za kufatilia ikiwa ongoing
Daaah hiyo ya 1 na 2 nilikua naisubiria ep km chizi,alosto ilikua mbaya lkn nmeshindwa malizia ep za mwsho kabsa.Ni impact ya ongoing
Mi nlishangaa crash landing on you sikuiona kali hahahha nimetizama juzi juzi tu.
Yan hapo 1&2 nataka nizishushe nirudie nilizipenda sana
River Na inwoo alikuja kufanya kazi nzuri. Mi ilinlkata moto baadae nikaendelea na nliona Bora wa pili.Daaah hiyo ya 1 na 2 nilikua naisubiria ep km chizi,alosto ilikua mbaya lkn nmeshindwa malizia ep za mwsho kabsa.
Hiyo river where the moon rises,wamebadilisha main actor imekua kosa.
Kama ndo ivi ngoja nijitahid kusubiria mpk ziishe kabsa.
Ngoja nijaribuRiver Na inwoo alikuja kufanya kazi nzuri. Mi ilinlkata moto baadae nikaendelea na nliona Bora wa pili.
Mwisho wa it's okay uko so satisfying jitahid
Dong Yi nilipoteza muda wangu tu.Nahitaji maombi
1.its okay to be okay
2.mr sunshine
3.100 days
4.queen for seven days
5. While you were sleeping
6. Dong yi
7. King the destiny changer
8. One night spring
9. The world of married
10.River where the moon rises
N.k
Yaaaaan hizi zote nmeshindwa malizia ep za mwsho sijui shida ni nini[emoji85][emoji85]au ndo impact za kufatilia ikiwa ongoing
nimejaribu na imenisaidia lakini roho mkononi (mtandao ulikuwa unaigia na kutoka, full hasira).Jaribu kuangalia airtel *148*88# kisha 3 kisha 6. Hope sitawahiwa kama halotel sina hamu nao walipoondoa unlimited faster kule kwa application yao
nimejaribu na imenisaidia lakini roho mkononi (mtandao ulikuwa unaigia na kutoka, full hasira).
Nilitumia usiku mzima (saa 6 hadi 11 alfajiri) kupakua episode 15 za mouse drama (480 hd)
Airtel sitoijaribu tena kwa hili eneo nilipo.
nimekoma
πππ€Kwa wale niliowatag sehemu flani hukoo kuhusu bando la usiku mnisamehe tu halotel walitoa faster. Ila saiv wamerudisha kwa menu yao japo ni ile ile gb 5 kwa 1500.
itabidi tubadilishane locationsPole huku nilipo ipo fasta sana episode 16 zinashuka ndani ya saa moja. Natamani waweke unlimted
πππ€
kifurushi chetu cha kujidai nyakati za usiku, mchana wanakupa GB 3 kwa shilingi 2000/=
itabidi tubadilishane locations
teh teh teh
nimeangalia, wameondoa kifurushi cha GB 3 kwa wikiumeangalia na halopesa?maana kuna ofa nzuri kule kwa wiki
Naitamani mother of mine dramaLife is beautiful episode 63 family drama
Naitamani mother of mine drama
kikwazo ni hizo episode zake kuwa ni nyingi sana
episodes 108.