kdrama_masters
Member
- Oct 16, 2020
- 92
- 196
Mm kuangalia drama ya zaman,kwanzia mavaz,set na muda matukio yanavyoenda hua sielew kabisaNimetizama dream high ya 2011 nikafeel unachokisema nimeishia ep ya 2 tu. Nadhan arrogance ya HYe mi, imechangia.
Nimepata musical drama nzuri "imitation" Ila iko aired once in a week[emoji52]
Endless love niliion mwaka 2016 coz ilitoka 2014Vipi kuhusu ENDLESS LOVE ya mwaka 2017?
Yeah , nilitaka kumaanisha kuwa mimi niliiona 2017Endless love niliion mwaka 2016 coz ilitoka 2014
Hahahaj Mpe na Emperor wang gun ina Episode 200, mie nilitumia miezi 11 kuitazama, wakati Daemusin alitumia miaka 2.Wewe waweza kuwa miongoni mwa watazamaji wachache na wa kipekee katika ulimwengu wa tasnia ya drama sababu kuna idadi kubwa ya watu siku hizi wanaopenda kuangalia drama fupifupi. Wakianza kuangalia asubuhi, usiku unasakwa mzigo mpya wa kuangaliwa kesho yake. Kwa wiki moja tu mtu anaweza kumaliza hata drama 10 au zaidi.
Vijana wana msemo wao wanasema "kasi ya 4G".
Drama ndefu hasa historical ambazo ni nzuri mtafute mtu mmoja anayeitwa Lee Byung-hoon. Huyu mzee ame-direct miongoni mwa drama kali za historical ambazo zimepata kukubalika sana katika tasnia.
Miongoni mwa hizo drama alizohusika huyo mzee ambazo kwangu ni nzuri na pia ni ndefu ni hizi hapa tano:
1) Lee San (Yi San) ya mwaka 2007 ambayo ina 77 episodes.
2) Dong Yi ya mwaka 2010 yenye 60 episodes.
3) The Flower in Prison ya mwaka 2016. Ina 51 episodes.
4) Horse Doctor ya mwaka 2013 yenye 50 episodes.
Bila kusahau ya tano; Jewel in the Palace ya mwaka 2003 yenye 54 episodes. Kama ni shule, basi hii ni chekechea maana kupitia drama hii, kuna list ndefu sana ya wadau ulimwenguni walioanza kuwa wapenzi wa Korean historical drama na utamaduni wa Korea kwa ujumla.
Nina imani kuwa hizi tano zitakidhi haja yako!
Asante my dear,nimeshaangalia ni nzuri sana,sasa nataka nianze na mr queenonlyalvira Maelezo Yake Na Haya Apa Mami.
Hizi hapa historical ndefu na za kitambo unazotakaHahahaj Mpe na Emperor wang gun ina Episode 200, mie nilitumia miezi 11 kuitazama, wakati Daemusin alitumia miaka 2.
Weekend hii nitamalizia The Age Of Warriors ina episode 158, na nina mpango wa kusaka Series ya zamani nzuri na ndefu. Yeyote anaweza kushare, najua Daemusin ulinipa Assignments zako nyingi tangu 2019 na sasa ni siku chache au masaa machache nitakupa outcome. Lakini nipotayari kupokea zingine.
We mkali nimekubali,nimepata historical ndefu za kuangaliaHizi hapa historical ndefu na za kitambo unazotaka
Story set Baekje
Ballad of Seodong (Song of the prince)55 ep
Gyebaek 36 ep
King Legend 60 ep
Set Guguryeo
Dae Jo Yeong 134 ep
Jumong 88 ep
Ja Myung Go 39 ep
Kingdom of wind 36 ep
Yeon Gae Somun 100 ep
Dream of the emperor 75 ep
Gwang Gaeto the Coqueror 92 ep
Set Silla
Dream of the emperor 75 ep
Emperor of the sea 51 ep
Queen Seondeok 62 ep
Set Joseon
War of flowers 50 ep
Dae Jang Geum 54 ep
Dong Yi 60 ep
Flower of the Prison 51 ep
The Great King Sejong 86 ep
Immortal Admiral Yisan 104 ep
Insu the Queen mother 60 ep
Jang Geum's dream 52 ep
Jeong Do jeon 50 ep
King and I 63 ep
Horse doctor 50 ep
Merchant of the Gaekju 41 ep
Six flying dragons 50 ep
Jing birok: Memoir of Imjin war 50 ep
Thank u and your welcomeWe mkali nimekubali,nimepata historical ndefu za kuangalia
Mkuu wewe upo kama mimi kuna siku nilipakua Autumn in my heart (sina hakika kama jina lipo hivi). Aisee nilimuona Song Seung Heon wa miaka ile kwa kweli hakunivutia hata kidogo na drama nzima niliona inaboaYeah najua drama za zMani zilikua nzuri mno lakin mm kumuona So Ji Sab jinsi alivyokua kijana wakati nmezoea kumona saiv kweny Phantom,it's kinda weird for me.Drama hata iwe nzur kiasi gani kama imeigizwa chini ya miaka ya 2010 i cant watch it
Asante mkuu, Hapo Gogryeo ni Yeon Gae Somun, pekee ambayo sijaiona, na sijui nitaipataje maana nilishajaribu kuitafuta Dramacool sikuipata.Hizi hapa historical ndefu na za kitambo unazotaka
Story set Baekje
Ballad of Seodong (Song of the prince)55 ep
Gyebaek 36 ep
King Legend 60 ep
Set Guguryeo
Dae Jo Yeong 134 ep
Jumong 88 ep
Ja Myung Go 39 ep
Kingdom of wind 36 ep
Yeon Gae Somun 100 ep
Dream of the emperor 75 ep
Gwang Gaeto the Coqueror 92 ep
Set Silla
Dream of the emperor 75 ep
Emperor of the sea 51 ep
Queen Seondeok 62 ep
Set Joseon
War of flowers 50 ep
Dae Jang Geum 54 ep
Dong Yi 60 ep
Flower of the Prison 51 ep
The Great King Sejong 86 ep
Immortal Admiral Yisan 104 ep
Insu the Queen mother 60 ep
Jang Geum's dream 52 ep
Jeong Do jeon 50 ep
King and I 63 ep
Horse doctor 50 ep
Merchant of the Gaekju 41 ep
Six flying dragons 50 ep
Jing birok: Memoir of Imjin war 50 ep
Afadhali ikiwa historicalMm kuangalia drama ya zaman,kwanzia mavaz,set na muda matukio yanavyoenda hua sielew kabisa
Kwanza mavaz,mazingira na lugha vinakukat mzukaMkuu wewe upo kama mimi kuna siku nilipakua Autumn in my heart (sina hakika kama jina lipo hivi). Aisee nilimuona Song Seung Heon wa miaka ile kwa kweli hakunivutia hata kidogo na drama nzima niliona inaboa
Kaka kwny historical inaonekana uko poa sanaAsante mkuu, Hapo Gogryeo ni Yeon Gae Somun, pekee ambayo sijaiona, na sijui nitaipataje maana nilishajaribu kuitafuta Dramacool sikuipata.
Shilla sijabakiza
Josoen ni Drama 5 tu, Horse Doctor, Merchant Garkju, Admiral Yi Su Sin, War of Flowers and Queen Mother
Hee mimi hainifai....hata hivyo sikuwa na mpango wa kuitazamaVagabond ukiwa na kichwa panzi huwezi kuielewa kabisa inahitaji umakini sana.
HahahaHee mimi hainifai....hata hivyo sikuwa na mpango wa kuitazama
waendeleaje kimajukumu na harakati zako za kila siku za maisha?Hahahaj Mpe na Emperor wang gun ina Episode 200, mie nilitumia miezi 11 kuitazama, wakati @Daemusin alitumia miaka 2.
Weekend hii nitamalizia The Age Of Warriors ina episode 158, na nina mpango wa kusaka Series ya zamani nzuri na ndefu. Yeyote anaweza
mimi na wewe tushamalizana kitambo, unachojaribu kukifanya kwa sasa ni kujiondolea kwa makusudi maarifa niliyokupatia kwa nguvu ya fikra zangu.najua Daemusin ulinipa Assignments zako nyingi tangu 2019 na sasa ni siku chache au masaa machache nitakupa outcome. Lakini nipotayari kupokea zingine.
Huko ndio kwenye uwanja wa NyumbaniKaka kwny historical inaonekana uko poa sana