Alaa kumbe.. kwa hiyo Airtel inafanya kazi vizuri tu kama ttcl?
Ukiconnect nchi yoyote inafaa? Una kuna nyingine ni nzuri zaidi?kwa upande wangu airtel inakubali kupitia pitia mitandaoni ila nadownload kwa kutumia ttcl naona ndo ipo faster
Ukiconnect nchi yoyote inafaa? Una kuna nyingine ni nzuri zaidi?
Ok ahsante. Ngoja niendelee kujaribu. Maana imekubali Canada ila ukienda kubrowse inagomanchi yoyote tu. ikikuzingua unahamia nyingine mpaka utakapoipata ile utakayoona inafaa.
Ok ahsante. Ngoja niendelee kujaribu. Maana imekubali Canada ila ukienda kubrowse inagoma
Imekubali tayari nimeshusha episode moja. Time unaongezea wapi?Mwanzo mgumu ila ukishaizoea ukua unajua dakika hii kuna kasi na dakika ile haipo.
Imekubali tayari nimeshusha episode moja. Time unaongezea wapi?
Imekubali tayari nimeshusha episode moja. Time unaongezea wapi?
Hii drama nilikuwa nairuka round hii nimeamua niicheki aisee nzuri sana il hii episode ya 5 very heartbreaking [emoji24]
Melodramas ni nzuri ila za miaka ya nyuma ni nzuri zaidi tena upate zenye episodes 20+ hata 50 kuna moja hiyo ya Jung Il Woo na Uee nimetoka kuimaliza inaitwa Golden Rainbow nayo very touching View attachment 2027330
Passionate Loveinaitwaje? Napenda family dramas zipo vizuri mno
Passionate Love
Imejidisconnect...sikuangalia nimepewa time gani inaonekana ndio imeisha. Ukisubiri iishe si utahangaika tena kuunganisha? Halafu mimi eti siamini kama mb haziendi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umepewa time kama hii au?View attachment 2027326Kama ni hii basi ni nyingi sana kuisha kwenyesaa tatu saa nne huko. Unaweza kubonyeza hapo add time japo ni mara chache mno kukuletea tangazo ili kuongeza time. huwa nasubiri iishe kisha naconnect upya
Imejidisconnect...sikuangalia nimepewa time gani inaonekana ndio imeisha. Ukisubiri iishe si utahangaika tena kuunganisha? Halafu mimi eti siamini kama mb haziendi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
GOLDEN RAINBOW, niliiangalia 2017 ilikuwa ni drama nzuri sana.Kikubwa nilipenda mtiririko wake wa matukio na story yake.Hii drama nilikuwa nairuka round hii nimeamua niicheki aisee nzuri sana il hii episode ya 5 very heartbreaking [emoji24]
Melodramas ni nzuri ila za miaka ya nyuma ni nzuri zaidi tena upate zenye episodes 20+ hata 50 kuna moja hiyo ya Jung Il Woo na Uee nimetoka kuimaliza inaitwa Golden Rainbow nayo very touching View attachment 2027330
Angalia I'M SORRY,I LOVE YOU utaipenda pia.Hii drama nilikuwa nairuka round hii nimeamua niicheki aisee nzuri sana il hii episode ya 5 very heartbreaking [emoji24]
Melodramas ni nzuri ila za miaka ya nyuma ni nzuri zaidi tena upate zenye episodes 20+ hata 50 kuna moja hiyo ya Jung Il Woo na Uee nimetoka kuimaliza inaitwa Golden Rainbow nayo very touching View attachment 2027330
Ukiwa na mb kwa line ya Airtel zinaenda labda mpka ziishe ndo utumieImejidisconnect...sikuangalia nimepewa time gani inaonekana ndio imeisha. Ukisubiri iishe si utahangaika tena kuunganisha? Halafu mimi eti siamini kama mb haziendi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe itakua umeunga alaf laini inabando inatakiwa uwe na MB 000Imejidisconnect...sikuangalia nimepewa time gani inaonekana ndio imeisha. Ukisubiri iishe si utahangaika tena kuunganisha? Halafu mimi eti siamini kama mb haziendi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nishacheki kitambo hiyo,kuna A Thousand Days Promise hiyo nayo dah touching sana na episodes 5 za mwisho wale wanaolizwaga na dramas sijui kama iliwaacha salama.Angalia I'M SORRY,I LOVE YOU utaipenda pia.
Wakorea wapo vizur sana kwenye swala la kuziteka hisia za mtazamaji, kuna muda hadi unatamani upate ziara ya Korea kusini ili ukawaone tu.Nishacheki kitambo hiyo,kuna A Thousand Days Promise hiyo nayo dah touching sana na episodes 5 za mwisho wale wanaolizwaga na dramas sijui kama iliwaacha salama.
Sent using Jamii Forums mobile app