Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakuu huu uzi umepoa sana sikuizi no update, no information about ongoing and unreleased projects, what's the problem?

Au bando kupanda ndo sababu ??
 
Wakuu huu uzi umepoa sana sikuizi no update, no information about ongoing and unreleased projects, what's the problem?

Au bando kupanda ndo sababu ??
[emoji23][emoji23][emoji23] sema huenda ubize ila updates zipo za kutosha tumetoka kutazama The King's Affection Episode ya 16 hapa huku narukia Idol The Coup maana mimi ni fanboy sana
 
Wakati naandika ile comment sikutaka kumlenga mtu moja kwa moja, ila kiuhalisia nilimaanisha wewe mkuu kwasababu umekuwa mzito sana kuonekana humu ilihali kule kwenye jukwaa la MAN UTD nakuona sana, kwahiyo nikawa najiuliza kulikoni?


Natumia kuwa umeamua kupumzika tu, ila swala la kuuacha huu ulimwengu moja kwa moja sidhani, anyway pamoja na yote uliyosema unapopata update zozote usisite kututembelea huku.
 
Utarudi tu. Samahani lakini kama komenti yangu ni ya kukatisha tamaa.... mimi kuna wakati huwa napitisha hata mwaka bila kufuatilia wakorea ingawa lengo langu Mimi huwa ni kupumzika tu kulingana na mambo nayokuwa nayo kwa wakati huo. Cha kureplace kdrama sijaona bado maana wengine pombe hatunywi, hatuendi klabu, hatuna ma- baby kwa hiyo starehe yangu pekee ni hi na usingizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naombeni niachweee nitaangalia kdrama hadi nitakapoona mwenyewe moyo wangu hautaki ila si kwa kujilazimisha kuacha
 
Yeah ni kweli kama baada ya kazi huna burudani nyingine kama pombe n.k basi drama ndio mahala pake.Ila dah Wakorea sio watu wazuri aisee[emoji23][emoji23]
 
Khantwe nimefurahi kusikia hauna baby so nakuomba niwe baby wako nikuliwaze na nikufariji kipindi Cha uzuni na karaha nafikiri ukinipa moyo wako kwangu nitakusaidia kwa namna fulani kupunguza ugonjwa wa Korean drama
 
Chimera naikubali Sana ila yule dada alikuwa adopt huko marekani nimevutiwa nae Sana anajua kuigiza kingine zaidi ni pisi Kali ile mbaya
Unavyonambia Kam ni shoga yangu Yule kwamba naweza kukuunganisha[emoji23]

Naitizama kivivu story yake imeanza kama mouse au Awaken, Ila ntaendelea nayo tu. Nimemaliza ep ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…