Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mzee vpn gani hiiMapema tu tunasonga na kitonga nishapakua episodes kama 7 za mb chacheView attachment 2138164
Upo sahihi kuwa drama zote mbili zinafanana kimaudhui, lakini unapaswa ufahamu hii Taejong lee bang won ni period historical drama.Nami ndiyo naichek sema story ni ile ile kama six flying dragons yaani unaangalia unajua kabisa master poeun atakufa hiv na master sambong naye atafanya hivi [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Kweli mfano mimi serie yoyote ya BAE SUZY na LEE SEUNG GI (wawe pamoja au mmoja wapo) lazima niiangalie...Nimeachana nayo..hata main actor na actress hawakunivutia nahisi imechangia mimi kuichoka mapema
Usisahau SOJU😄Wakorea kwenye kumbukumbu za Marehemu wao huwa wanajipinda full misosi kuwatengea wapendwa wao. Sasa akina sie huku hicho kitu hakipo,kama kweli Marehemu wanarudi kula ile misosi wa kwetu hapa watakua wanateseka sana kwa njaa.
Usisahau SOJU😄
Kuna hii spidi ya Ha..Spidi ya wire tun cheki juu pale
Ila nabadilisha badilisha servers maana haziko stable but at least napata mbs za kudownload za kununua zinabaki za kuperuzi tuView attachment 2145084
Mie natumia uc zote lwa wakati mmoja kisha nimeset kudownload episode 6 kwa wakati mmoja piaKuna hii spidi ya Ha..View attachment 2145206
Hiyo kubwa ni ipi sijaijua nielekezeUkitaka uione speed vizuri tumia na ile uc browser kubwa hio ina maringo(ukitoka nje ya browser inasimama kudownload)ila inaonyesha speed yake. Karibu ndani young lady and gentleman [emoji23][emoji23]
Mie natumia uc zote lwa wakati mmoja kisha nimeset kudownload episode 6 kwa wakati mmoja pia
Hiyo kubwa ni ipi sijaijua nielekeze
[emoji23][emoji23][emoji23]Asikwambie mtu kitonga kitamu[emoji16]View attachment 2145738
Asikwambie mtu kitonga kitamu[emoji16]View attachment 2145738
Lazimisha inakubaliDaah saiv zamu yangu kuisoma namba wiretun imekataa kwa tigo,airtel hadi ttcl
Lazimisha inakubali
Noma sana mzeeKuna hii spidi ya Ha..View attachment 2145206
Hii vpn ganiAsikwambie mtu kitonga kitamu[emoji16]View attachment 2145738
Mimi TTCL kadri siku zinakwenda inagonga spidi sanaDaah saiv zamu yangu kuisoma namba wiretun imekataa kwa tigo,airtel hadi ttcl
Mimi TTCL kadri siku zinakwenda inagonga spidi sana
Night kali spidi inagonga hadi 2.5Mps