Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yu babi naye kumbe kashaliwa kichwa na yumi
 
Watu wengi bado hawajamove on kutoka kwa Woong.... What's so great about him[emoji57][emoji57][emoji57] This is Babi's error [emoji3577][emoji3577][emoji3577] Na mimi ndio president wa Babi's club[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787] vile woong ni handsome kuliko Babi alafu very humble basi tu kukosa hela akakosa kujiamini
Yani we Prezidaa ndo unanikata maini na hako katoto kanachokua swayed na vitoto vyenzie

Tizama sex scene za woong na Babi hata lust cell alikua analiamsha kila muda[emoji2957][emoji16]
 

Yan kimoi nimeshusha ma episide za 230 huko alaf sura zinashake shake

Nkiri irud tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Woong ni handsome kuliko Babi?? Unaongea kitu gani wewe, Unategemea nini kwa mtu ambaye prime cell yake ni pride cell? Kuwa swayed kitu gani bwana, hayo ni mambo ya kawaida kwenye long distance relationship [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kweli lust kwa Babi alipooza sana aisee sikutegemea nilikuwa nategemea kuona vijimambo vyake.
 
Halafu unaweza kuamini aliyeingiza sauti ya lust ni mdada eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Woong for life[emoji1787]

Sasa eti wanamleta park bo gum kuwa soonrook(mume wa yumi) hapo nitakua swayed kwakweli
 
Woong for life[emoji1787]

Sasa eti wanamleta park bo gum kuwa soonrook(mume wa yumi) hapo nitakua swayed kwakweli
Yaani mimi wakitaka niwasamehe mume wa Yumi wamlete well known actor sio wamuokote nani kutoka sitimbi huko[emoji16][emoji16]
 
Muhuni yuleee anaweza had kuamsha yangu hahahahah akianza vile viuno hahah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu babi hawakutuonyesha lust cell wake maa na wa Woong tulimuona, akipandisha mashetani vumbi linatimka, hakukaliki. Ndio niliona tofauti ya mwanamke na mwanaume linapokuja hilo suala....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu babi hawakutuonyesha lust cell wake maa na wa Woong tulimuona, akipandisha mashetani vumbi linatimka, hakukaliki. Ndio niliona tofauti ya mwanamke na mwanaume linapokuja hilo suala....

Anawaka moto hadi akili haifanyi kazi Yumi alikua achomoi zile amsha amsha... huku mpaka aanze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…