Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Msaada kwa wanaojua series za kikorea kali zaid nikimaanisha nzuri zaid ila na pendelea zziwe za mjini zisizo za action au history most na prefer za romance , fantasy, melody and comedy au medical drama pia napendelea drama za mijini sio kijijini naomba mnitajie majina kwa wanaozifahamu
 
sema Hizi movies zipo predictable alafu zina endings mbaya sana most of the movies
 
Tafuta Love me a
Again
 
sema Hizi movies zipo predictable alafu zina endings mbaya sana most of the movies
Kwenye swala la kuwa predictable am not quite sure lakini naungana na wewe kwenye kuisha vibaya

nyingi zinaisha kwa masikitiko sijui kwanini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…