Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

The silent sea ila wakorea bana hawapitwi nao wameigiza kwenda ulimwengu wa juu nje ya dunia. Ndugu wadau msipitwe na huu uhondo japo sijaumaliza ila nimevutiwa na episode mbili nilizozicheki
Hawa jama wanajua kutengeneza story ila technology inawaangusha editing zao ni zero kabisa
 
The silent sea ila wakorea bana hawapitwi nao wameigiza kwenda ulimwengu wa juu nje ya dunia. Ndugu wadau msipitwe na huu uhondo japo sijaumaliza ila nimevutiwa na episode mbili nilizozicheki
Hata muvi ya Alienoid (ya Kikorea) inahusisha aliens
Nilifurahi kuona finally aliens wameona nchi nyingine ya kuvamia tofauti na USA[emoji28][emoji28]
 
Wee ni wakiume au wakike?
 
Series kali za madetective 1. Tell me what you saw 2. Mouse 3. Beyond evil 4, again my life
Mwaka huu hawajaproduce serial killers drama tofauti na Decoy/Bait..

Tell me what you saw itabaki kuwa drama bora sana upande wa serial killers/psychopath

Mouse ilijawa na twist nyingi sana
 
Pamoja kiongozi , ngoja niishi mazo hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…