Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii inaweza kuwa kati ya hizi GIANT au EAST EDEN, jaribu kusoma synopsis ya hizi drama huenda ikawepo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy Easter. Karibuni ndugu zangu wakazi wa Seoul ya Bongo. Tujumuike kuufinya ubwabwa.

Pasaka ya mwaka huu tamu sana maana Dae mzenji atakosa sababu ya kuninyima mwaliko wa IDD
Kwanza badilisha font, wengine macho yetu yamezowea maandishi madogo.

Daemushin ameshakufa ndani ya JF.

Akushindae kwa tonge mshinde kwa kutowea, leo ni mwezi 18 ramadhan kama hujui, bila ya shaka wajua kifuatacho after ramadhan.

Usimcheke mamba kabla ya kuvuka mtoo.

Sikukuu yajaa!!!!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…