imenibidi nirudi PM nithibitishe hiki ulichokiandika.
kumbe ilikuwa July 2017, nimebaki kucheka peke yangu mfano wa kichaa kwa hayo majibu yangu.
yaani nilikuwa kama nalazimishwa kuchati nawe,
siku zinakimbia sana mfano wa kombora la kinzhal
😛😛😛
nimeyapokea maua yako.
shukrani,
ahsante sana,
Mungu azidi kutubariki kwa sote mpaka dakika ya mwisho ya upumuaji wetu.
tulipokoseana tusameheane.
Ameen
na niliyasoma hivo hivo ulihisi mimi ni wasojulikana sijui
Lakin isingekia hivyo, ingekua bado naomba omba movie.
Sikuwa naifahamu jinsia yako,[emoji1488][emoji1488] Ameen
[emoji1787] na niliyasoma hivo hivo ulihisi mimi ni wasojulikana sijui
Lakin isingekia hivyo, ingekua bado naomba omba movie.
Thanks,Hizo nilishaziangalia ni nzuri ila niliipenda zaidi flower in prison kama hujaiangalia waweza kuiweka kwenye list yako pia. Dae ni mwalimu wa wengi ila kwenye kukupa episode 200
Nimebakiza kuwafuata kwenye music wa wakorea,huko bado hapajanivutaSio kufunga bali kufungua baada ya kuidownload, dramafire application. Ina rangi ya kahawia na D herufi kubwa na f
Thanks,
Numbisa tumetoka mbali sana, cha kushangaza umekuja kuwa mlevi kiasi wa korea entertainment mwaka 2023.
Leo hii unafuatilia variety show,
Umekuwa mlevi wa family drama
Waendelea kunishangaza.
Huyu mwamba husika wake umeoneshwa kidogo kwenye drama yaNilikuwa nimemiss drama za kibabe kama hizo, huyo mwamba naomba asizeeke maana hawa watoto wetu mabishoo sana.
Imagine eti kwenye historical drama unamkuta Prince ni shoga?!!!! Anyway wazee kama hawa wakiingilia kazi hakuna kinachoharibika.
Kituo cha habari cha KBS nawakubali maana kwenye historical wako vizuri mno wakifuatiwa na MBC. Kazi hiyo itoke mapema tu.
Uhusika wa huyu mwamba ulioneshwa kidogo kwenye drama ya The Iron Empress ( Empress Cheonchu)chuma kinaitwa Goryeo-Khitan War.
A story of King Hyeonjong of Goryeo and Commander-in-Chief Gang Gam-Chan (Choi Soo-Jong). They unite the people of Goryeo to one and lead a war against Khitan.baada ya miaka 10 hatimaye choi anarudi tena katika maisha ya periodic historical drama, huyu bwana yeye haogopi changamoto na miaka yake 60 ya kuzaliwa.
Na sasa umekuwa kaka mkuu humu ndani.mwaka 2015 (disemba)nilipojiunga humu JF hata mimi nilikuwa na fikra kama za kwako ila siku ya kwanza tu kuandika comment ndani ya thread hii nikagundua ya kwamba napaswa kujifunza zaidi upande wa historical.
nilikutana na gwiji anaitwa juan moses, mwenyewe alijipa cheo cha balozi wa goguryeo.
baada ya hapo nikaamua kwenda deep zaidi na zaidi kwa lengo la kujifunza.
jifunze uelimike, usipende tu kuandika au kuzungumza hata kama jambo huna ufahamu nalo
Namlaumu talnam na vishawishi vyake,inashangaza nimeanza ulevi mbaya wa variety wakati nilisema humu sitaziangalia nisije wajua kwa undani nikawachoka
🤣🤣 Soon itabidi tushee picha, ilinimfahamu mwalimu Dae, nisijenikawa nafundishwa na mzimu wa Jumongshukrani sana brother tusiejuana kisura.
tumekuwa pamoja kwa takribani miaka mitano na bado tutaendelea kuwa pamoja kwa kheri na fanaka telee
Hii bakora naweza kusema sijaiangalia kwa sababu nilifika episode ya 9.Kifupi hii drama ni mzuri mno. Halafu vita ikipoa ni mahaba + siasa then inamaliza na Vita ya moto kwelikweli.
Kazi hii Indiandaliwa na KBS2( 2008-09) Ila kwa mara ya kwanza niliitazama 2012, kisha nikairudia 2020.
Mwaka ujao🤣🤣 Soon itabidi tushee picha, ilinimfahamu mwalimu Dae, nisijenikawa nafundishwa na mzimu wa Jumong
Kaimalizie hii kazi, halafu muda huo tunajiandaa kupokea kazi ya Khitan Goryeo War DramaHii bakora naweza kusema sijaiangalia kwa sababu nilifika episode ya 9.
Ngoja nijiandae kuishusha.
Nitafanya hivyoKaimalizie hii kazi, halafu muda huo tunajiandaa kupokea kazi ya Khitan Goryeo War Drama
Sasa si mfungo kabisa huo!!Mwaka ujao
Sikuwa naifahamu jinsia yako,
Halafu ilikuwa unafukuza mwizi kimya kimya.
[emoji1787][emoji1787] kimya kimya
Leo umekuwa muandikaji mashuhuri
🫕🫕🫕
Namlaumu talnam na vishawishi vyake,
Sijui mwenzetu anamtumia kalimanzila kutoka wapi.
Amewezaje kukushawishi, ndio swali ninalojiuliza
Tukutane June ndani ya King The Land View attachment 2624386
Yoona nampenda sana [emoji7][emoji7]Yoona na Junho?
Shida ya yoona ni kama Soyoung sijui (girls generation)
Bado sijaelewa uigizaj wao
Au wagen wagen bado