Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

imenibidi nirudi PM nithibitishe hiki ulichokiandika.
kumbe ilikuwa July 2017, nimebaki kucheka peke yangu mfano wa kichaa kwa hayo majibu yangu.
yaani nilikuwa kama nalazimishwa kuchati nawe,
siku zinakimbia sana mfano wa kombora la kinzhal
😛😛😛

nimeyapokea maua yako.
shukrani,
ahsante sana,
Mungu azidi kutubariki kwa sote mpaka dakika ya mwisho ya upumuaji wetu.
tulipokoseana tusameheane.

[emoji1488][emoji1488] Ameen

[emoji1787] na niliyasoma hivo hivo ulihisi mimi ni wasojulikana sijui
Lakin isingekia hivyo, ingekua bado naomba omba movie.
 
emoji1488.png
emoji1488.png
Ameen

emoji1787.png
na niliyasoma hivo hivo ulihisi mimi ni wasojulikana sijui
Lakin isingekia hivyo, ingekua bado naomba omba movie.

[emoji1488][emoji1488] Ameen

[emoji1787] na niliyasoma hivo hivo ulihisi mimi ni wasojulikana sijui
Lakin isingekia hivyo, ingekua bado naomba omba movie.
Sikuwa naifahamu jinsia yako,
Halafu ilikuwa unafukuza mwizi kimya kimya.

Leo umekuwa muandikaji mashuhuri
🫕🫕🫕
 
Hizo nilishaziangalia ni nzuri ila niliipenda zaidi flower in prison kama hujaiangalia waweza kuiweka kwenye list yako pia. Dae ni mwalimu wa wengi ila kwenye kukupa episode 200
Thanks,
Numbisa tumetoka mbali sana, cha kushangaza umekuja kuwa mlevi kiasi wa korea entertainment mwaka 2023.

Leo hii unafuatilia variety show,
Umekuwa mlevi wa family drama

Waendelea kunishangaza.
 
😂😂😂😂inashangaza nimeanza ulevi mbaya wa variety wakati nilisema humu sitaziangalia nisije wajua kwa undani nikawachoka

Nilianza kwa kuzidownload dramania mara paap nikaona comment humu ikitaja dramafire nikatoa boko la mwaka😂😂😂😂eti nika download application ya dramafire google
Sio kufunga bali kufungua baada ya kuidownload, dramafire application. Ina rangi ya kahawia na D herufi kubwa na f
Nimebakiza kuwafuata kwenye music wa wakorea,huko bado hapajanivuta
Thanks,
Numbisa tumetoka mbali sana, cha kushangaza umekuja kuwa mlevi kiasi wa korea entertainment mwaka 2023.

Leo hii unafuatilia variety show,
Umekuwa mlevi wa family drama

Waendelea kunishangaza.
 
Nilikuwa nimemiss drama za kibabe kama hizo, huyo mwamba naomba asizeeke maana hawa watoto wetu mabishoo sana.
Imagine eti kwenye historical drama unamkuta Prince ni shoga?!!!! Anyway wazee kama hawa wakiingilia kazi hakuna kinachoharibika.
Kituo cha habari cha KBS nawakubali maana kwenye historical wako vizuri mno wakifuatiwa na MBC. Kazi hiyo itoke mapema tu.
Huyu mwamba husika wake umeoneshwa kidogo kwenye drama ya
chuma kinaitwa Goryeo-Khitan War.

A story of King Hyeonjong of Goryeo and Commander-in-Chief Gang Gam-Chan (Choi Soo-Jong). They unite the people of Goryeo to one and lead a war against Khitan.
baada ya miaka 10 hatimaye choi anarudi tena katika maisha ya periodic historical drama, huyu bwana yeye haogopi changamoto na miaka yake 60 ya kuzaliwa.
Uhusika wa huyu mwamba ulioneshwa kidogo kwenye drama ya The Iron Empress ( Empress Cheonchu)
empress-cheonchu-e99e1071-bb08-4631-a9b8-559eedc5ad6-resize-750.jpeg


Uhusika wa Gang Gam Chan ulichezwa na mzee wetu mbabe huyu Lee Deok-Hwa
23AEXKMBLH7RBW7T72RN7IJSWQ.jpg

Bonge moja la kazi halafu kuna muhuni anaitwa Choi Jae Sung kavaa uhusika wa Gang Jo, jamaa anapiga mikuki kama hazimtoshi. Jamaa baada ya kumua mfalme ndio chanzo cha Khitan kuanzisha vita iliyomfanya Gang Gam Chan Shujaa.
149001018_L.jpg


Dadeki hii kazi ni ya moto mno, kuna vita ya kibabe mno ilipigwa hapo ndani. Hahah ilinikumbusha Vita ya Yeodongseong ambapo Hoyan walipokuja kuivamia Gogryeo, unajua Dam Doek alichomfanya Murong Bao.

Kifupi hii drama ni mzuri mno. Halafu vita ikipoa ni mahaba + siasa then inamaliza na Vita ya moto kwelikweli.
Kazi hii Indiandaliwa na KBS2( 2008-09) Ila kwa mara ya kwanza niliitazama 2012, kisha nikairudia 2020.

 
mwaka 2015 (disemba)nilipojiunga humu JF hata mimi nilikuwa na fikra kama za kwako ila siku ya kwanza tu kuandika comment ndani ya thread hii nikagundua ya kwamba napaswa kujifunza zaidi upande wa historical.
nilikutana na gwiji anaitwa juan moses, mwenyewe alijipa cheo cha balozi wa goguryeo.

baada ya hapo nikaamua kwenda deep zaidi na zaidi kwa lengo la kujifunza.
jifunze uelimike, usipende tu kuandika au kuzungumza hata kama jambo huna ufahamu nalo
Na sasa umekuwa kaka mkuu humu ndani.
 
Kifupi hii drama ni mzuri mno. Halafu vita ikipoa ni mahaba + siasa then inamaliza na Vita ya moto kwelikweli.
Kazi hii Indiandaliwa na KBS2( 2008-09) Ila kwa mara ya kwanza niliitazama 2012, kisha nikairudia 2020.
Hii bakora naweza kusema sijaiangalia kwa sababu nilifika episode ya 9.

Ngoja nijiandae kuishusha.
 
Nimetulia hapa kwa muuza kahawa kutoka makunduchi....

Kuna vizee vina miaka 60 kwenda mbele wanafuatilia tamthilia ya jeraha na zahanati ya kijiji.

jinsi wanavyosimuliana nimebaki na mshangao.

Ray anazidi kuwa mweupe
Theya amekuwa libonge fulani.

Waigizaji kumbe na wao hawazeeki,
Nilifikiri ni walimu pekee wasiozeeka
 
Sikuwa naifahamu jinsia yako,
Halafu ilikuwa unafukuza mwizi kimya kimya.
[emoji1787][emoji1787] kimya kimya

Leo umekuwa muandikaji mashuhuri
🫕🫕🫕

Ubaya wa vitu vizuri unashindwa kukaa navyo rohoni unajikuta ushaongea

Basi nikawa sipitwi na my watchlist[emoji16] na sijaulizwa
 
Namlaumu talnam na vishawishi vyake,
Sijui mwenzetu anamtumia kalimanzila kutoka wapi.

Amewezaje kukushawishi, ndio swali ninalojiuliza

Miimi tenaa
Wakati nae ananiongezea mzigo wa variety

[mention]Numbisa [/mention] na [mention]Alhadidy [/mention] wamenitambulisha kwenye za kupika na dating, mwenyew nlifatilia zangu za musical sanasana[emoji26]
 
Back
Top Bottom