talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
imenibidi nirudi PM nithibitishe hiki ulichokiandika.
kumbe ilikuwa July 2017, nimebaki kucheka peke yangu mfano wa kichaa kwa hayo majibu yangu.
yaani nilikuwa kama nalazimishwa kuchati nawe,
siku zinakimbia sana mfano wa kombora la kinzhal
😛😛😛
nimeyapokea maua yako.
shukrani,
ahsante sana,
Mungu azidi kutubariki kwa sote mpaka dakika ya mwisho ya upumuaji wetu.
tulipokoseana tusameheane.
[emoji1488][emoji1488] Ameen
[emoji1787] na niliyasoma hivo hivo ulihisi mimi ni wasojulikana sijui
Lakin isingekia hivyo, ingekua bado naomba omba movie.