Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
![]()
Come & Hug Me...On Going Drama Iko Vizuri Sana Ila Kama Una Moyo Mwepesi Machozi Yaweza Kukutoka Ni Kati Ya Drama Ninazo Angalia Sasa.
Labda Tuseme Wenzetu Wanajitahidi Kuelezea Maisha Yao Kiuhalisia Zaidi, Japo Wanaigiza Lakini Wanayaonyesha Maisha Yao Kupitia Sanaa Yao, Leo Hii Wengine Tumeifahamu Korea Kupitia Sanaa/kazi Zao, Tumeanza Ata Kufahamu Baadhi ya Maneno Yao Wanayotumia Kila Siku Kupitia Sanaa Yao, Vinywaji Wanavyotumia,Vyakula Vyao, Mavazi Yao Na Historia Yao,
Yote Haya Tumeyafahamu Kupitia Maigizo Yao, Sisi Ni Kipi Tunakitangaza Chakwetu Kupitia Maigizo Yetu!?
Teena bongo movie juisi moja (glass) watakunywa siku mbili hata wiki nzima.wakinywa kidogo na maongezi,director anasema cut,wanaenda badili nguo hapo tunaonyeshwa baada ya wiki wapo hapo hapo wakinywa juisi na maongezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na pombe wakorea wanakunywa za kikweli kweli ila kwetu mwendo wa kujaza maji chupa za bia
nimechelewa kumtakia heri ya kuzaliwa kaka yangu ambaye hatuna uhusiano wowote wa kindugu na hata kibahati mbaya Ahn Jae-Hyeon.
1/07 ametimiza miaka 31.
May 20, 2018. ametimiza miaka miwili ya ndoa pamoja na mke wake kuh ye sun (geum jan di wa boys over flower.)
mahusiano yao ya kimapenzi yalizaliwa rasmi walipokutana kwenye drama ya BLOOD mnamo mwaka 2015.
waliamua kutoa sadaka fedha zao ambazo walikusudia kuzitumia kwa ajili ya honeymoon.
mungu azidi kuwajaalia baraka na furaha kwenye ndoa yao.
kuh ye sun anamzidi mume wake kwa miaka 3.
![]()
Hahahahah Hana Uzoefu Kama Wewe!
Kwaiyo Wote Ao Wanaishi Nyumba Moja?
Hahahahaha,![]()
your house helper dramayour house helper fighting
- nasubiri kesho episode ya pili iwekwe subtitles ndipo nianze kuiangalia drama hii.
- nadhani atakuwa anafanya kazi kwenye nyumba tofauti
- huu utani amekufundisha nani?
하하하 하아아하하하 하아아
habari za mwaka mmoja dada yangu,Jamani nawapendaaaaa [emoji7][emoji7][emoji7]
Blood hadi leo ninayo na naipenda japo inatisha.
😛😳🙄🙁😉🙂Hahahahaha,
Umenifundisha Wewe
😛😳🙄🙁😉🙂
kwa mara ya kwanza nimeishiwa maneno ya kukujibu na itabidi nikupe mji
umewahi kuangalia scholar's who walk the night drama?
😛😳🙄🙁😉🙂
kwa mara ya kwanza nimeishiwa maneno ya kukujibu na itabidi nikupe mji
umewahi kuangalia scholar's who walk the night drama?
park hyo shin = the day
mr sunshine drama ost 1
kwa msaada wa professor google
The spring was beautiful even in the cruel sunshine.Every wind stops
The petals bloom red on the bloody field
It is always green to cover me on an endless long night.
A broken dream will leave again
The day that longing will be allowed
Without roughness
I will call you.
My difference is you and me.At the end of this life
Maybe I will not come
Asleep
I will call you.
I will close my eyes to the fate of each other.
Every wind stops
The day that longing will be allowed
Without roughness
I will call you.
On my dry seaAt the end of this life
Maybe I will not come
Asleep
I will call you.
The Red Sun
A faraway dream
I will not forget
At the end of this life
The day that eventually becomes one
I have pain in my splendor.
They will call it green.
Hahahaha, Leo Umeamkia Nyumbani Kweli??Lee Min Ki And Seo Hyun Jin Confirmed To Star In “The Beauty Inside” Drama Remake
july 9, imethibitishwa ya kwamba lee min ki na mwanadada seo hyu jin ndiyo watakuwa waigizaji wakuu wa drama inayoitwa the beauty inside ambayo itaonyeshwa na kituo cha JTBC.
The beauty inside ni remake ya popular 2015 romantic comedy film ambayo pia jina lake inaitwa the beauty inside.
ni drama ambayo itaelezea hadithi nzuri ya kimapenzi kati ya mwanadada Han Se Gye ambaye ni muigizaji maarufu sana nchini korea (A- actress) ambaye hutumia wiki moja ya kila mwezi kwa ajili ya kubadilisha mfumo wake wa kimaisha kwa kutumia mwili wa mtu mwengine.
Seo Do Jae ni mvulana mashuhuri sana ambaye anasumbuliwa na tatizo la prosopagnosia (tatizo la kutokutambua sura za watu wengine).
![]()
- nilimpenda lee min ki kwenye because this is my first life drama, muonekano wake ni wa kawaida sana ukilinganisha na celebrities wengineo lakini alichotuonyesha kwenye drama ilikuwa ni performance ya hali ya juu sana zaidi ya muonekano jambo lililopelekea hata dada yangu aminas ajutie kutokana na kitendo chake cha kuipuuzia wakati bado inaendelea kuonyeshwa na tvN. ilikuwa ni moja kati ya best rom comedy drama kwa mwaka 2017.
- seo hyu jin nilimpenda mnoo kwenye temperature of love drama japokuwa nimeshindwa kuimalizia mpaka leo, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kumuona kwenye TV, ni msichana mwenye urembo wa kawaida sana ukilinganisha na wengineo ila ni muigizaji hodari sana dhidi ya wengineo. kwa ajili yake ananifanya niwe nakirudia kiporo changu cha romantic doctor teacher kim kadri ninapopata nafasi, kuna mganga mmoja ameniambia njia pekee ya huyu mdada kuwa wa kwangu ni kukutana naye kwenye maisha ya kuzimu. mpumbavu sana yule mganga ndio maana kwa upumbavu wake aliamua kuizuia risasi kwa mwili wake na kilichomkuta .......................
![]()
nimejikuta nazitafuta tena hizi nukuu (quotes) ziniliwaze, si munajua tena nilishindwa kupata taarifa ya kwenda kuzipokea ndege zetu siku ya jana kwa sababu sikutembelea JF siku nzima, jamani ndege zimependezaaaaaaa? lakini kwa nini huyu designer ameshindwa kuzipaka rangi hiii au huko kwao hakuna, lakini rangi kitu gani ahjummaaa?
omo omo omo munataka niseme rangi kitu gani bwana niende haja kubwa na ndogo segerea.
sidanganyiki nitaondoka na choo changu kama supreme commander kim jong un
- mnyama paka ni tofauti na binadamu kwa sababu hana neo cortex kwenye ubongo na ndio maana hajisiki bored, hajisikii kukosa hamu ya kula hata kama utamlisha chakula hicho hicho kwa kipindi cha mwaka mzima,katu paka hatokwambia nimechoka kula sembe kwa sababu paka haangalii wakati uliopita (past), wala wakati ujao (future) ila anachojali zaidi ni wakati wa sasa (lee min ki = nam se hee)
- nilitimiza miaka 20, 30 na muda si mrefu nitatimiza miaka 40, ni binadamu peke yake ndiye anafungwa na nyakati na kujikuta kila mara yupo kwenye harakati za kupambana na wakati. (lee min ki = nam se hee).
- kwa umri huu nilionao ni mara yangu ya kwanza kumsikia mtu akiniambia nakuhitaji, nimeishi miaka 30 bila ya kuwa na mtu wa karibu anayehitaji kuwa na mimi (yoon ji ho).
- japokuwa umeishi siku ya jana kwa furaha na amani haimaanishi ya kwamba unajua kila kitu kinachohusu siku ya leo.
- najaribu kujifikiria, katika maisha yangu sijawahi kuwa mshambuliaji hatari kama thierry henry, muda wote nimekuwa nikijilinda mwenyewe na kurudi nyuma kila wakati na kushindwa kujaribu kwenda mbele,sijawahi kuwa na hamasa ya kwenda mbele zaidi, nadhani mimi ni mlinzi nisiyekuwa na uzoefu.(yoon ji ho).
- mpaka muda huu nimeshashindwa kwenye vita ya kupigania maisha haya, ila ngoja niendelee kujaribu kupambana (yoon ji ho).
- mara zote mahusiano yana gharama, ianweza ikawa ni fedha, wakati au hisia (nam se hee)
- ni mambo matatu tu ndiyo ninayoyajali na kuyaheshimu zaidi kwenye maisha yangu, nyumba yangu, paka wangu na mimi mwenyewe (nam se hee)
- si kila mtu ana haki ya kufanya kile anachokidhamiria kukifanya tokea mwanzo, isipokuwa wale waliofanikiwa tu ndio wanahaki ya kufanya kile wanachokihitaji kukifanya, watu kama sisi tuna haki ya kufanya kile tunachoambiwa tufanye tu (gye yong seok)
- unatakiwa uwe na nguvu na maarifa ya kumtongoza kila mtu, la si hivyo hutakuwa na uwezo wa kumtongoza yoyote yule, kwani siku hizi kutongoza ni mashindano.(woo soo ji)
- ndoa ni kitu kinachozuia uhuru wa mtu, kwenye maisha haya ya siku hizi umuhimu pekee wa ndoa ni kuendeleza mfumo wa urithi wa vinasaba, ndio maana sipendi kufunga ndoa (nam se hee)
- baadhi ya wanawake ni wa ajabu sana kwa sababu huwa hawasemi kile wanachokihitaji moja kwa moja mpaka ataje mwanamme,inakuwa ni vigumu sana kiupande wetu na wakati mwengine inakuwa ni furaha sana kiupande wetu, mwisho wa siku wanaume tunakuwa kama vichaa(ma sang goo)
- upweke huja pale unapokuwa na muda (woo soo ji)
- dunia hii usipokuwa na pesa kitu pekee unachoweza kukifanya ni kulala kama maiti, huwezi kutimiza ndoto yoyote hata kama upo usingizini.(woo soo ji)
- hivi kwani ukiwa na mume wa ndoa ndio huwezi kuwa na boyfriend?(yeon bok nam)
- nimesema nahitaji kulala na wewe ila sijasema nahitaji nikutongoze (woo soo ji)
- sasa nimejua kwa nini watu huependelea kwenda ufukweni pindi wanapokuwa na stress, ni kwa sababu ukiwa ufukweni unafanikiwa kuuona moyo wako (nam se hee)
- mapenzi na ndoa ni vitu viwili tofauti (woo soo ji)
- wewe ni kama Mac OS kwangu mimi kwa sababu ni toleo jipya na unavutia, najisikia faraja ninapokuwa na wewe ila bado nahisi ugumu kwenye maisha kwa sababu bado naikosa Window OS.kwa kutumia uwiano Mac OS inavutia sana machoni mwangu lakini Window OS bado naendelea kuikumbuka jinsi ilivyoundwa (won seok)
- tarehe 9/12/2017/ nilitimiza miaka 56 na kila inapofika siku yangu ya kuzaliwa humuomba mungu anijaalie niwe na maisha bora yenye furaha lakini cha kushangaza bado vyuma vinaendelea kukaza, nitakapotimiza miaka 58 nitamuomba mungu anijaalie niwe na maisha magumu na yenye dhiki isiopimika huenda mungu akanigeuzia kibao na kunipa maisha bora (wananchi wa tanzania= povu naruhusu).