Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ms125.jpg

Hii Nayo Soon Itaongezeka Kwenye List.
 
Labda Tuseme Wenzetu Wanajitahidi Kuelezea Maisha Yao Kiuhalisia Zaidi, Japo Wanaigiza Lakini Wanayaonyesha Maisha Yao Kupitia Sanaa Yao, Leo Hii Wengine Tumeifahamu Korea Kupitia Sanaa/kazi Zao, Tumeanza Ata Kufahamu Baadhi ya Maneno Yao Wanayotumia Kila Siku Kupitia Sanaa Yao, Vinywaji Wanavyotumia,Vyakula Vyao, Mavazi Yao Na Historia Yao,

Yote Haya Tumeyafahamu Kupitia Maigizo Yao, Sisi Ni Kipi Tunakitangaza Chakwetu Kupitia Maigizo Yetu!?

Umemaliza yote [emoji1487][emoji1487][emoji1487]

Sisi tunakopi Magharibi ambako nako hatuwezi,hovyohovyo tu.
 
Teena bongo movie juisi moja (glass) watakunywa siku mbili hata wiki nzima.wakinywa kidogo na maongezi,director anasema cut,wanaenda badili nguo hapo tunaonyeshwa baada ya wiki wapo hapo hapo wakinywa juisi na maongezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na pombe wakorea wanakunywa za kikweli kweli ila kwetu mwendo wa kujaza maji chupa za bia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimechelewa kumtakia heri ya kuzaliwa kaka yangu ambaye hatuna uhusiano wowote wa kindugu na hata kibahati mbaya Ahn Jae-Hyeon.
1/07 ametimiza miaka 31.
May 20, 2018. ametimiza miaka miwili ya ndoa pamoja na mke wake kuh ye sun (geum jan di wa boys over flower.)
mahusiano yao ya kimapenzi yalizaliwa rasmi walipokutana kwenye drama ya BLOOD mnamo mwaka 2015.
waliamua kutoa sadaka fedha zao ambazo walikusudia kuzitumia kwa ajili ya honeymoon.
mungu azidi kuwajaalia baraka na furaha kwenye ndoa yao.
kuh ye sun anamzidi mume wake kwa miaka 3.
c6663181-0a44-489b-81de-b551886e4303.jpg

Jamani nawapendaaaaa [emoji7][emoji7][emoji7]
Blood hadi leo ninayo na naipenda japo inatisha.
 
Hahahahah Hana Uzoefu Kama Wewe!

Kwaiyo Wote Ao Wanaishi Nyumba Moja?
05_1_s_1.thumb.jpg.3751f01195b1ce4c854803ee1af56793.jpg

your house helper drama​
  • nasubiri kesho episode ya pili iwekwe subtitles ndipo nianze kuiangalia drama hii.
  • nadhani atakuwa anafanya kazi kwenye nyumba tofauti
  • huu utani amekufundisha nani?
your house helper fighting
하하하 하아아하하하 하아아
 
Hahahahaha,
Umenifundisha Wewe
 
Joo Sang Wook And Lee Min Jung To Reunite For First Time In 4 Years In New Drama
SBS’s new weekend drama “Fate and Fury” (literal translation) has confirmed the two actors as its leads. This will mark their first drama together in four years, since “Cunning Single Lady.”
Directed by Jung Dong Yoon, “Fate and Fury” is described to be a realistic, authentic melodrama that takes place present-day and explores the desperate love of four people who fall into an inescapable trap due to the rage that tinges their fateful romances.
Joo-Sang-Wook-Lee-Min-Jung.jpg

Joo Sang Wook recently starred in TV Chosun’s “Grand Prince,” for which he received much praise, while Lee Min Jung will be making a comeback two years after the end of “Please Come Back, Mister.” She is said to have chosen this production because she wants to take on a new challenge as an actress.
“Fate and Fury” is set to air sometime in November with 20 episodes planned.

NB:
Lee Min Jung ndiye mke halali wa Lee Byung Hun.
Lee+Byung+Hun+Lee+Byung+Hun+Rhee+Min+Jung+yuBmirDRv5Cl.jpg
 
Ha Ji Won To Come Back In Spy Thriller Drama
On July 5, it was confirmed that Ha Ji Won would play the lead role in the upcoming drama, “Prometheus.”

Ha Ji Won will play an intelligence officer that goes on an undercover mission for the denuclearization of North Korea. Known for her acting and action, as well as her one-of-a-kind charisma, Korea’s representative actress Ha Ji Won and the drama “Prometheus” are gathering expectations for pioneering a new spy movie that cannot usually be found in Korean dramas.
A source from the “Prometheus” production staff said, “Actress Ha Ji Won has been confirmed to play the role of Chae Eun Seo, an intelligence officer who leads Team 2 towards North Korea. From even the beginning stages of the production of the drama, we made the character while thinking of Ha Ji Won, so her image remains intact in the character. We ask for the support and interest of the viewers.”

With the foothold of the current state of international affairs that has seen denuclearization starting to begin with the 2018 North Korea–United States and South Korea–North Korea summits, “Prometheus” is a drama that comes from the idea of central scientists that deal with denuclearization. The North Korean scientists are sent overseas but disappear while being repatriated during the process of denuclearization.

The “Prometheus” production staff continued, “We worked on the planning and scriptwriting of the drama for around two years. Casting for actors that fit the characters well is in progress. We hope people will look forward to the cast line-up on top of the great casting of Ha Ji Won for ‘Prometheus.’ We will work hard to introduce a solid and new drama.”
“Prometheus” is scheduled to air at the end of the year, while more actors in the cast line-up will be announced one by one.
Ha-Ji-Won.jpg

tokea mwaka uliopita hii drama imekuwa ikipigiwa promo na leo ndio anatangazwa muigizaji mkuu wa kwanza.
achana na IRIS, ATHENA na drama nyengine zenye mandhari ya upelelezi hii drama itakuwa ni balaa.
niliwahi kusoma taarifa ya kwamba KBS ambalo ndio shirika kuu la habari nchini korea kama ilivyo TBC nchini kwetu wametenga budget inayokadiriwa kufikia won billion 30 ambazo ni wastani wa billioni 60 za kitanzania kwa ajili ya drama hii na itajumusiha waigizaji wa nchi tofauti.
KBS plans blockbuster spy action drama Prometheus for 2018 » Dramabeans Korean drama recaps
na zaidi ya nchi tano zitatumika kama ni film location
daebak bila ya kusahau June 28. 2018 ha ji won ametimiza miaka 40.
happy birthday noona
muda si mrefu utakuwa ahjummaaaaaa.
 
1.jpg

daebak daebak daebak
mr sunshine drama
park hyo shin
a.k.a the king of ballad ataimba ost kwenye drama ya mr sunshine na wimbo huo unatarajiwa kuachiwa rasmi siku ya jumapili
wimbo unaitwa the day.
dah ni muda mrefu sijaisikia sauti yake kupitia ost drama.
 
Lee Min Ki And Seo Hyun Jin Confirmed To Star In “The Beauty Inside” Drama Remake
july 9, imethibitishwa ya kwamba lee min ki na mwanadada seo hyu jin ndiyo watakuwa waigizaji wakuu wa drama inayoitwa the beauty inside ambayo itaonyeshwa na kituo cha JTBC.
The beauty inside ni remake ya popular 2015 romantic comedy film ambayo pia jina lake inaitwa the beauty inside.
ni drama ambayo itaelezea hadithi nzuri ya kimapenzi kati ya mwanadada Han Se Gye ambaye ni muigizaji maarufu sana nchini korea (A- actress) ambaye hutumia wiki moja ya kila mwezi kwa ajili ya kubadilisha mfumo wake wa kimaisha kwa kutumia mwili wa mtu mwengine.
Seo Do Jae ni mvulana mashuhuri sana ambaye anasumbuliwa na tatizo la prosopagnosia (tatizo la kutokutambua sura za watu wengine).
Lee-Min-Ki-Seo-Hyun-Jin.jpg

  • nilimpenda lee min ki kwenye because this is my first life drama, muonekano wake ni wa kawaida sana ukilinganisha na celebrities wengineo lakini alichotuonyesha kwenye drama ilikuwa ni performance ya hali ya juu sana zaidi ya muonekano jambo lililopelekea hata dada yangu aminas ajutie kutokana na kitendo chake cha kuipuuzia wakati bado inaendelea kuonyeshwa na tvN. ilikuwa ni moja kati ya best rom comedy drama kwa mwaka 2017.
  • seo hyu jin nilimpenda mnoo kwenye temperature of love drama japokuwa nimeshindwa kuimalizia mpaka leo, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kumuona kwenye TV, ni msichana mwenye urembo wa kawaida sana ukilinganisha na wengineo ila ni muigizaji hodari sana dhidi ya wengineo. kwa ajili yake ananifanya niwe nakirudia kiporo changu cha romantic doctor teacher kim kadri ninapopata nafasi, kuna mganga mmoja ameniambia njia pekee ya huyu mdada kuwa wa kwangu ni kukutana naye kwenye maisha ya kuzimu. mpumbavu sana yule mganga ndio maana kwa upumbavu wake aliamua kuizuia risasi kwa mwili wake na kilichomkuta .......................
%25E0%25B8%258B%25E0%25B8%25B5%25E0%25B8%25A3%25E0%25B8%25B5%25E0%25B9%2588%25E0%25B8%25A2%25E0%25B9%258C%25E0%25B9%2580%25E0%25B8%2581%25E0%25B8%25B2%25E0%25B8%25AB%25E0%25B8%25A5%25E0%25B8%25B5%25E0%25B8%258B%25E0%25B8%25B1%25E0%25B8%259A%25E0%25B9%2584%25E0%25B8%2597%25E0%25B8%25A2%2BBecause%2BThis%2BIs%2BMy%2BFirst%2BLife.jpg

nimejikuta nazitafuta tena hizi nukuu (quotes) ziniliwaze, si munajua tena nilishindwa kupata taarifa ya kwenda kuzipokea ndege zetu siku ya jana kwa sababu sikutembelea JF siku nzima, jamani ndege zimependezaaaaaaa? lakini kwa nini huyu designer ameshindwa kuzipaka rangi hiii au huko kwao hakuna, lakini rangi kitu gani ahjummaaa?
omo omo omo
munataka niseme rangi kitu gani bwana niende haja kubwa na ndogo segerea.
sidanganyiki nitaondoka na choo changu kama supreme commander kim jong un

  1. mnyama paka ni tofauti na binadamu kwa sababu hana neo cortex kwenye ubongo na ndio maana hajisiki bored, hajisikii kukosa hamu ya kula hata kama utamlisha chakula hicho hicho kwa kipindi cha mwaka mzima,katu paka hatokwambia nimechoka kula sembe kwa sababu paka haangalii wakati uliopita (past), wala wakati ujao (future) ila anachojali zaidi ni wakati wa sasa (lee min ki = nam se hee)
  2. nilitimiza miaka 20, 30 na muda si mrefu nitatimiza miaka 40, ni binadamu peke yake ndiye anafungwa na nyakati na kujikuta kila mara yupo kwenye harakati za kupambana na wakati. (lee min ki = nam se hee).
  3. kwa umri huu nilionao ni mara yangu ya kwanza kumsikia mtu akiniambia nakuhitaji, nimeishi miaka 30 bila ya kuwa na mtu wa karibu anayehitaji kuwa na mimi (yoon ji ho).
  4. japokuwa umeishi siku ya jana kwa furaha na amani haimaanishi ya kwamba unajua kila kitu kinachohusu siku ya leo.
  5. najaribu kujifikiria, katika maisha yangu sijawahi kuwa mshambuliaji hatari kama thierry henry, muda wote nimekuwa nikijilinda mwenyewe na kurudi nyuma kila wakati na kushindwa kujaribu kwenda mbele,sijawahi kuwa na hamasa ya kwenda mbele zaidi, nadhani mimi ni mlinzi nisiyekuwa na uzoefu.(yoon ji ho).
  6. mpaka muda huu nimeshashindwa kwenye vita ya kupigania maisha haya, ila ngoja niendelee kujaribu kupambana (yoon ji ho).
  7. mara zote mahusiano yana gharama, ianweza ikawa ni fedha, wakati au hisia (nam se hee)
  8. ni mambo matatu tu ndiyo ninayoyajali na kuyaheshimu zaidi kwenye maisha yangu, nyumba yangu, paka wangu na mimi mwenyewe (nam se hee)
  9. si kila mtu ana haki ya kufanya kile anachokidhamiria kukifanya tokea mwanzo, isipokuwa wale waliofanikiwa tu ndio wanahaki ya kufanya kile wanachokihitaji kukifanya, watu kama sisi tuna haki ya kufanya kile tunachoambiwa tufanye tu (gye yong seok)
  10. unatakiwa uwe na nguvu na maarifa ya kumtongoza kila mtu, la si hivyo hutakuwa na uwezo wa kumtongoza yoyote yule, kwani siku hizi kutongoza ni mashindano.(woo soo ji)
  11. ndoa ni kitu kinachozuia uhuru wa mtu, kwenye maisha haya ya siku hizi umuhimu pekee wa ndoa ni kuendeleza mfumo wa urithi wa vinasaba, ndio maana sipendi kufunga ndoa (nam se hee)
  12. baadhi ya wanawake ni wa ajabu sana kwa sababu huwa hawasemi kile wanachokihitaji moja kwa moja mpaka ataje mwanamme,inakuwa ni vigumu sana kiupande wetu na wakati mwengine inakuwa ni furaha sana kiupande wetu, mwisho wa siku wanaume tunakuwa kama vichaa(ma sang goo)
  13. upweke huja pale unapokuwa na muda (woo soo ji)
  14. dunia hii usipokuwa na pesa kitu pekee unachoweza kukifanya ni kulala kama maiti, huwezi kutimiza ndoto yoyote hata kama upo usingizini.(woo soo ji)
  15. hivi kwani ukiwa na mume wa ndoa ndio huwezi kuwa na boyfriend?(yeon bok nam)
  16. nimesema nahitaji kulala na wewe ila sijasema nahitaji nikutongoze (woo soo ji)
  17. sasa nimejua kwa nini watu huependelea kwenda ufukweni pindi wanapokuwa na stress, ni kwa sababu ukiwa ufukweni unafanikiwa kuuona moyo wako (nam se hee)
  18. mapenzi na ndoa ni vitu viwili tofauti (woo soo ji)
  19. wewe ni kama Mac OS kwangu mimi kwa sababu ni toleo jipya na unavutia, najisikia faraja ninapokuwa na wewe ila bado nahisi ugumu kwenye maisha kwa sababu bado naikosa Window OS.kwa kutumia uwiano Mac OS inavutia sana machoni mwangu lakini Window OS bado naendelea kuikumbuka jinsi ilivyoundwa (won seok)
  20. tarehe 9/12/2017/ nilitimiza miaka 56 na kila inapofika siku yangu ya kuzaliwa humuomba mungu anijaalie niwe na maisha bora yenye furaha lakini cha kushangaza bado vyuma vinaendelea kukaza, nitakapotimiza miaka 58 nitamuomba mungu anijaalie niwe na maisha magumu na yenye dhiki isiopimika huenda mungu akanigeuzia kibao na kunipa maisha bora (wananchi wa tanzania= povu naruhusu).
 
Song Hye Kyo And Park Bo Gum Confirmed To Star Together In New Drama
july 9, production company inayojulikana kwa jina la Bon Factory wamethibitisha ya kwamba waigizaji hao watashiriki kwenye drama ianyoitwa boyfriend.
ni stori itakayozungumzia maisha ya mwanadada cha soo hyun ambaye kwenye maisha yake hakuwahi kuwa na uhuru wa kufanya jambo analolihitaji kulifanya kutokana na shinikizo la wazazi wake ambao ni wanasiasa wenye ushawishi mkubwa sana, mwisho wa siku analazimishwa kufunga ndoa na mwanamme amabaye anatazamiwa kuwa mrithi wa makampuni yenye kuendeshwa kwa mfumo wa conglomerate (chaebol) na baadae wanaamua kuachana.
Song-Hye-Kyo-Park-Bo-Gum1.jpg

Cha Soo Hyun maisha yake yanabadilika baada ya kukutana na mwanaume wa seoul anayeitwa Kim Jin Hyuk na ukaribu wao wanajikuta wakiwa ni wapenzi.
Bon Factory ndio kampuni inayoisimamia drama ya whats wrong with secretary kim na kwa sasa wapo kwenye mazungumzo ili kutafuta uwezekano wa drama hiyo kuonyeshwa na kituo cha tvN.
song hye kyo anamzidi park bo gum kwa miaka 12.
song joong ki na park bo gum ni marafiki wa karibu sana.​
project ya mwisho kwa mwanadada song hye kyo ni descendent of the sun na kwa upande wa park bo gum ni love in the moonlight.
 
park hyo shin = the day
mr sunshine drama ost 1

kwa msaada wa professor google
The spring was beautiful even in the cruel sunshine.
The petals bloom red on the bloody field
It is always green to cover me on an endless long night.
A broken dream will leave again​

Every wind stops
The day that longing will be allowed
Without roughness
I will call you.

At the end of this life
Maybe I will not come
Asleep
I will call you.​

My difference is you and me.
I will close my eyes to the fate of each other.
Every wind stops
The day that longing will be allowed
Without roughness
I will call you.

At the end of this life
Maybe I will not come
Asleep
I will call you.​
On my dry sea
The Red Sun
A faraway dream
I will not forget

At the end of this life
The day that eventually becomes one
I have pain in my splendor.
They will call it green.​
 
Jang-Dong-Gun-Park-Hyung-Sik-1.jpg

suit season 2 pleaseeeeeeee
  1. hakuna chochote kikubwa utakachokifanya kama utaruhusu mtu mwengine akupangie cha kufanya katika jedweli lako la maisha.wewe mwenyewe unapaswa ushikilie vizuri kadi yako na ucheze mchezo unaoupenda bila ya shinikizo kutoka upande wowote.kwa nini uyaruhusu maisha yako yawe kama mbwa mzembe anayebweka ovyo?
  2. unapaswa uwaage wale wote wanaokukimbia na pia unapaswa uwakaribishe wale wote wanaokufuata kwenye maisha yako.ni vigumu sana kutamka neno kwaheri lakini baadhi ya wakati inakupasa ulitamke kama unavyotamka neno mama,unapoacha watu wengine wakukimbie tafsiri yake ni kwamba unaruhusu watu wengine waje kwenye maisha yako, huwezi jua ni yupi atabaki kwenye upande wako milele.
  3. usipofahamu maana ya maumivu, utawezaje kujua maumivu ya wale walio karibu yetu?maumivu unayokumbana nayo ni moja kati ya njia inayomfanya mwanadamu abadilishe mtazamo wake wa maisha
  4. utapata maumivu yatakayokufanya ukate tamaa,ila unapaswa uvumilie na uwanze upya, si unajua tena muda ndio hutibu majeraha yote.
  5. maisha unayoishi hayatokuelekeza njia unayotaka kwenda, kinachobadilisha maisha yako sio coincidence ila ni chaguo lako mwenyewe.
 
park hyo shin = the day
mr sunshine drama ost 1

kwa msaada wa professor google
The spring was beautiful even in the cruel sunshine.
The petals bloom red on the bloody field
It is always green to cover me on an endless long night.
A broken dream will leave again​
Every wind stops
The day that longing will be allowed
Without roughness
I will call you.

At the end of this life
Maybe I will not come
Asleep
I will call you.​
My difference is you and me.
I will close my eyes to the fate of each other.
Every wind stops
The day that longing will be allowed
Without roughness
I will call you.

At the end of this life
Maybe I will not come
Asleep
I will call you.​
On my dry sea
The Red Sun
A faraway dream
I will not forget

At the end of this life
The day that eventually becomes one
I have pain in my splendor.
They will call it green.​

Nipe Mrejesho Basi Wa Hizi 2 Zilizoonyeshwa
 
Lee Min Ki And Seo Hyun Jin Confirmed To Star In “The Beauty Inside” Drama Remake
july 9, imethibitishwa ya kwamba lee min ki na mwanadada seo hyu jin ndiyo watakuwa waigizaji wakuu wa drama inayoitwa the beauty inside ambayo itaonyeshwa na kituo cha JTBC.
The beauty inside ni remake ya popular 2015 romantic comedy film ambayo pia jina lake inaitwa the beauty inside.
ni drama ambayo itaelezea hadithi nzuri ya kimapenzi kati ya mwanadada Han Se Gye ambaye ni muigizaji maarufu sana nchini korea (A- actress) ambaye hutumia wiki moja ya kila mwezi kwa ajili ya kubadilisha mfumo wake wa kimaisha kwa kutumia mwili wa mtu mwengine.
Seo Do Jae ni mvulana mashuhuri sana ambaye anasumbuliwa na tatizo la prosopagnosia (tatizo la kutokutambua sura za watu wengine).
Lee-Min-Ki-Seo-Hyun-Jin.jpg

  • nilimpenda lee min ki kwenye because this is my first life drama, muonekano wake ni wa kawaida sana ukilinganisha na celebrities wengineo lakini alichotuonyesha kwenye drama ilikuwa ni performance ya hali ya juu sana zaidi ya muonekano jambo lililopelekea hata dada yangu aminas ajutie kutokana na kitendo chake cha kuipuuzia wakati bado inaendelea kuonyeshwa na tvN. ilikuwa ni moja kati ya best rom comedy drama kwa mwaka 2017.
  • seo hyu jin nilimpenda mnoo kwenye temperature of love drama japokuwa nimeshindwa kuimalizia mpaka leo, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kumuona kwenye TV, ni msichana mwenye urembo wa kawaida sana ukilinganisha na wengineo ila ni muigizaji hodari sana dhidi ya wengineo. kwa ajili yake ananifanya niwe nakirudia kiporo changu cha romantic doctor teacher kim kadri ninapopata nafasi, kuna mganga mmoja ameniambia njia pekee ya huyu mdada kuwa wa kwangu ni kukutana naye kwenye maisha ya kuzimu. mpumbavu sana yule mganga ndio maana kwa upumbavu wake aliamua kuizuia risasi kwa mwili wake na kilichomkuta .......................
%25E0%25B8%258B%25E0%25B8%25B5%25E0%25B8%25A3%25E0%25B8%25B5%25E0%25B9%2588%25E0%25B8%25A2%25E0%25B9%258C%25E0%25B9%2580%25E0%25B8%2581%25E0%25B8%25B2%25E0%25B8%25AB%25E0%25B8%25A5%25E0%25B8%25B5%25E0%25B8%258B%25E0%25B8%25B1%25E0%25B8%259A%25E0%25B9%2584%25E0%25B8%2597%25E0%25B8%25A2%2BBecause%2BThis%2BIs%2BMy%2BFirst%2BLife.jpg

nimejikuta nazitafuta tena hizi nukuu (quotes) ziniliwaze, si munajua tena nilishindwa kupata taarifa ya kwenda kuzipokea ndege zetu siku ya jana kwa sababu sikutembelea JF siku nzima, jamani ndege zimependezaaaaaaa? lakini kwa nini huyu designer ameshindwa kuzipaka rangi hiii au huko kwao hakuna, lakini rangi kitu gani ahjummaaa?
omo omo omo
munataka niseme rangi kitu gani bwana niende haja kubwa na ndogo segerea.
sidanganyiki nitaondoka na choo changu kama supreme commander kim jong un

  1. mnyama paka ni tofauti na binadamu kwa sababu hana neo cortex kwenye ubongo na ndio maana hajisiki bored, hajisikii kukosa hamu ya kula hata kama utamlisha chakula hicho hicho kwa kipindi cha mwaka mzima,katu paka hatokwambia nimechoka kula sembe kwa sababu paka haangalii wakati uliopita (past), wala wakati ujao (future) ila anachojali zaidi ni wakati wa sasa (lee min ki = nam se hee)
  2. nilitimiza miaka 20, 30 na muda si mrefu nitatimiza miaka 40, ni binadamu peke yake ndiye anafungwa na nyakati na kujikuta kila mara yupo kwenye harakati za kupambana na wakati. (lee min ki = nam se hee).
  3. kwa umri huu nilionao ni mara yangu ya kwanza kumsikia mtu akiniambia nakuhitaji, nimeishi miaka 30 bila ya kuwa na mtu wa karibu anayehitaji kuwa na mimi (yoon ji ho).
  4. japokuwa umeishi siku ya jana kwa furaha na amani haimaanishi ya kwamba unajua kila kitu kinachohusu siku ya leo.
  5. najaribu kujifikiria, katika maisha yangu sijawahi kuwa mshambuliaji hatari kama thierry henry, muda wote nimekuwa nikijilinda mwenyewe na kurudi nyuma kila wakati na kushindwa kujaribu kwenda mbele,sijawahi kuwa na hamasa ya kwenda mbele zaidi, nadhani mimi ni mlinzi nisiyekuwa na uzoefu.(yoon ji ho).
  6. mpaka muda huu nimeshashindwa kwenye vita ya kupigania maisha haya, ila ngoja niendelee kujaribu kupambana (yoon ji ho).
  7. mara zote mahusiano yana gharama, ianweza ikawa ni fedha, wakati au hisia (nam se hee)
  8. ni mambo matatu tu ndiyo ninayoyajali na kuyaheshimu zaidi kwenye maisha yangu, nyumba yangu, paka wangu na mimi mwenyewe (nam se hee)
  9. si kila mtu ana haki ya kufanya kile anachokidhamiria kukifanya tokea mwanzo, isipokuwa wale waliofanikiwa tu ndio wanahaki ya kufanya kile wanachokihitaji kukifanya, watu kama sisi tuna haki ya kufanya kile tunachoambiwa tufanye tu (gye yong seok)
  10. unatakiwa uwe na nguvu na maarifa ya kumtongoza kila mtu, la si hivyo hutakuwa na uwezo wa kumtongoza yoyote yule, kwani siku hizi kutongoza ni mashindano.(woo soo ji)
  11. ndoa ni kitu kinachozuia uhuru wa mtu, kwenye maisha haya ya siku hizi umuhimu pekee wa ndoa ni kuendeleza mfumo wa urithi wa vinasaba, ndio maana sipendi kufunga ndoa (nam se hee)
  12. baadhi ya wanawake ni wa ajabu sana kwa sababu huwa hawasemi kile wanachokihitaji moja kwa moja mpaka ataje mwanamme,inakuwa ni vigumu sana kiupande wetu na wakati mwengine inakuwa ni furaha sana kiupande wetu, mwisho wa siku wanaume tunakuwa kama vichaa(ma sang goo)
  13. upweke huja pale unapokuwa na muda (woo soo ji)
  14. dunia hii usipokuwa na pesa kitu pekee unachoweza kukifanya ni kulala kama maiti, huwezi kutimiza ndoto yoyote hata kama upo usingizini.(woo soo ji)
  15. hivi kwani ukiwa na mume wa ndoa ndio huwezi kuwa na boyfriend?(yeon bok nam)
  16. nimesema nahitaji kulala na wewe ila sijasema nahitaji nikutongoze (woo soo ji)
  17. sasa nimejua kwa nini watu huependelea kwenda ufukweni pindi wanapokuwa na stress, ni kwa sababu ukiwa ufukweni unafanikiwa kuuona moyo wako (nam se hee)
  18. mapenzi na ndoa ni vitu viwili tofauti (woo soo ji)
  19. wewe ni kama Mac OS kwangu mimi kwa sababu ni toleo jipya na unavutia, najisikia faraja ninapokuwa na wewe ila bado nahisi ugumu kwenye maisha kwa sababu bado naikosa Window OS.kwa kutumia uwiano Mac OS inavutia sana machoni mwangu lakini Window OS bado naendelea kuikumbuka jinsi ilivyoundwa (won seok)
  20. tarehe 9/12/2017/ nilitimiza miaka 56 na kila inapofika siku yangu ya kuzaliwa humuomba mungu anijaalie niwe na maisha bora yenye furaha lakini cha kushangaza bado vyuma vinaendelea kukaza, nitakapotimiza miaka 58 nitamuomba mungu anijaalie niwe na maisha magumu na yenye dhiki isiopimika huenda mungu akanigeuzia kibao na kunipa maisha bora (wananchi wa tanzania= povu naruhusu).
Hahahaha, Leo Umeamkia Nyumbani Kweli??
 
Back
Top Bottom