Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nami ndiyo naichek sema story ni ile ile kama six flying dragons yaani unaangalia unajua kabisa master poeun atakufa hiv na master sambong naye atafanya hivi [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Upo sahihi kuwa drama zote mbili zinafanana kimaudhui, lakini unapaswa ufahamu hii Taejong lee bang won ni period historical drama.

kwa maana ni project iliyodeal zaidi ni historical events za uhalisia ukilinganisha na six flying dragons.

Si ajabu humo ndani baadhi ya episode zinasongeshwa kwa simulizi na mtangazaji.
 
Nimeachana nayo..hata main actor na actress hawakunivutia nahisi imechangia mimi kuichoka mapema
Kweli mfano mimi serie yoyote ya BAE SUZY na LEE SEUNG GI (wawe pamoja au mmoja wapo) lazima niiangalie...
NilianZa na My girlfriend is gumiho, kang chi gu family book, startup, vagabond ,mouse na nategemea kuangalia mungu akijalia Anna(upcoming ya bae suzy dec 2022)
 
Spidi ya wire tun cheki juu pale

Ila nabadilisha badilisha servers maana haziko stable but at least napata mbs za kudownload za kununua zinabaki za kuperuzi tu
InShot_20220310_040639531.jpg
 
Ukitaka uione speed vizuri tumia na ile uc browser kubwa hio ina maringo(ukitoka nje ya browser inasimama kudownload)ila inaonyesha speed yake. Karibu ndani young lady and gentleman 😂😂
Mie natumia uc zote lwa wakati mmoja kisha nimeset kudownload episode 6 kwa wakati mmoja pia
 
Ukitaka uione speed vizuri tumia na ile uc browser kubwa hio ina maringo(ukitoka nje ya browser inasimama kudownload)ila inaonyesha speed yake. Karibu ndani young lady and gentleman [emoji23][emoji23]

Mie natumia uc zote lwa wakati mmoja kisha nimeset kudownload episode 6 kwa wakati mmoja pia
Hiyo kubwa ni ipi sijaijua nielekeze
 
Back
Top Bottom