Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Namalizia viporo vyangu kisha nianze na mpya ,sasa napiga 3 kwa pamoja.

*Joseon Gunman
*Slave hunters
*Dae Jo Young

Joseon Gunman naelekea mwishoni niliichukulia poa ila sasa ndio inanipa mzuka wa kuisongesha ,no series Kali sana.
 
Song ill Gook(Jumong)mwishoni mwa mwaka huu anaweza kuachia kigongo jipya.
IMG_20231114_214631.jpg
 
Empress Chunchu niliwahi kuona trela kuna amsha amsha za kivita tele ,vipi ipo vizuri ?
 
Dae Jo Young ni kali zaidi alafu kuna chuma kipya Korea - Khitan War hatari sana.
Namalizia viporo vyangu kisha nianze na mpya ,sasa napiga 3 kwa pamoja.

*Joseon Gunman
*Slave hunters
*Dae Jo Young

Joseon Gunman naelekea mwishoni niliichukulia poa ila sasa ndio inanipa mzuka wa kuisongesha ,no series Kali sana.
 
Ndani ya November

Family drama

Meant to be episode 120(complete)

Reality show

Brother Ramyeon
 
Ndani ya November

Family drama

Meant to be episode 120(complete)

Reality show

Brother Ramyeon
 
Back
Top Bottom