Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mzuri umemcheki kwenye drama ipi ukavutiwa naeOya wanangu nichangieni nauli nikaonane na
Mtoto Seol In-A namuelewa vibaya huyu bintii [emoji7]
Uko unaangalia Twinkling water melon?Oya wanangu nichangieni nauli nikaonane na
Mtoto Seol In-A namuelewa vibaya huyu bintii [emoji7]
Karibu zote mkuuuNi mzuri umemcheki kwenye drama ipi ukavutiwa nae
[emoji1][emoji1]Oya wanangu nichangieni nauli nikaonane na
Mtoto Seol In-A namuelewa vibaya huyu bintii [emoji7]
Umejuaje aseeUko unaangalia Twinkling water melon?
Kwa sababu ndio drama yake mpya. Ipo kwenye watchlist... fantasy drama ndio vitu zanguUmejuaje asee
ipi iliyokubamba zaidiKaribu zote mkuuu
Nimechungulia hapa nimwkuta, usisahau feedback niongeze kwenye list nikitoka za maporini
Wale wamejitenga na Dunia hakuna anayejua mambo yao kabisaHivi Korea ya wakina Kiduku kuna waigizaji na series maarufu ?
Namalizia viporo vyangu kisha nianze na mpya ,sasa napiga 3 kwa pamoja.
*Joseon Gunman
*Slave hunters
*Dae Jo Young
Joseon Gunman naelekea mwishoni niliichukulia poa ila sasa ndio inanipa mzuka wa kuisongesha ,no series Kali sana.
Kumbe yule dogo alikuwa anagombewa kwenye Slave Hunters ndiye mjukuu wa huyu Crown prince "mchele mchele" wa kwenye "My dearest"
Meant To Be niliishia 53 soon naendelea nayoNdani ya November
Family drama
Meant to be episode 120(complete)
Reality show
Brother Ramyeon