Kwa Wasabato, Bikira Maria ni Mama Mtakatifu, Aliyekula Chakula kutoka kwa Mwenyezi Mungu, aliyebarikiwa kuliko wote, aliyetuzalia mwokozi wetu!

Kwa Wasabato, Bikira Maria ni Mama Mtakatifu, Aliyekula Chakula kutoka kwa Mwenyezi Mungu, aliyebarikiwa kuliko wote, aliyetuzalia mwokozi wetu!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Mama yetu Mtakatifu Bikira Maria ndiye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo/Nabii Issa

Ndiye mbarikiwa pekee anayekubalika na Wakiristo.na Waislamu

Ndiye Mbarikiwa pekee aliyekula chakula kilichotoka mbinguni kwa kutolewa na Mungu wetu Mkuu

Ndiye Mbarikiwa pekee aliyezaa mtoto bila kuingiliwa na Mwanaume

Mchana mwema wenye baraka tele

Nimeweka nukuu hapo chini:



Wakati wowote Zakariya alipomtembelea katika patakatifu, alikuwa akipata riziki pamoja naye. Akasema, Ewe Mariamu, haya yanatoka wapi kwako? Akasema: Inatoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu humruzuku amtakaye bila hesabu

Whenever Zakariyya visited her in the sanctuary, he would find provisions with her. He said," O Mary, from where does this come for you?" She said," It comes from Allah. Allah provides whomever He wishes without any reckoning”.
 
Ubarikiwe sana kiongozi kwa bandiko hili

nawewe uwe na mchana mwema
 
Hakika, na tena huyu mama, wakati YESU halikua hama mpango wa kufanya muujiza, alimfuata akamwambia mwanangu, mvinyo umekata na wadau wana kiu ya mvinyo, YESU alitii na akawapa watu mvyinyo mzuri zaidi .

Huyu mama ata kama una mavanga vanga mengi na YESU hataki kukusikiliza, hakika akimfuata YESU ATA MSIKILIZA

BIKIRA MARIA MUOMBEZI WA WAKOSEFU, UTUOMBEE SASA NA SAA YA KUFA KWETU AMINA.
 
Back
Top Bottom