Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
hivi huwa ni ngumu kiziwi kusikia alarm ya asubuhi?Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana.
Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi matatizo yote ya nchi hii yatakwisha.
Kwa mfano, wengi wa watu wa Chadema wanaamini serikali chini ya CCM ndio inafanya matukio ya utekaji na uuaji. Si sahihi. Sio rahisi mtu kama Samia kuwa na ujasiri ndani ya moyo wake wa kuamuru watu watekwe na kuuwawa. Lakini hana uwezo wa kuzuia hili. Hili kundi lime-ingilia sana serikali, kwa kutumia wastaafu na walio kazini, kiasi kwamba ndilo linaamua mambo yote haya. Hakuna anaeweza kupinga wala kuzuia - hata Samia mwenyewe.
Kundi hili limeingilia si serikalini tu, bali hata vyombo vya sheria kama mahakama, Polisi na hata Uslalama wa Taifa. Wanachotaka ndicho kinakuwa.
Sasa ni wakati Watanzania kuanza kutambua kwamba nchi ina adui mmoja mkubwa sana, mwenye nguvu za utajiri na uwezo mkubwa, na adui huyo si CCM wala Chadema - ni Wanamtandao.
Tanzanians, stop being blind - unite to face your common enemy, Wanamtandao!
Polepole nadhani bado hajatambua kuwa si juu ya Samia kuamua nini kifanyike, na yeye anaambiwa nini afanye. Hapo ndio tatizo lipoSuala la Polepole lillitakiwa Kutuunganisha wote kupambana na wanamtandao Rais wa nchi kusema ana boss wake ni aibu sana ndo Maana Magufuli alikua anasema sipangiwi
Polepole nadhani bado hajatambua kuwa si juu ya Samia kuamua nini kifanyike, na yeye anaambiwa nini afanye. Hapo ndio tatizo lipo Siku hizi kuna spika za kuchaji kuna vipaza sauti za kuchaji na kurekodi inatakiwa iandaliwe strategy ya kurekodi sauti kuelewa wanamtandao wakina na nani kwa jinsi wanavyotafuna nchi unaenda kupeleka vijijini ndani ndani wasio jua Kiswahili mnarekodi kwa lugha za kwao hapo wananchi wote wakijua adui yao basi
Unajua, kabla ya kuwa raisi, Samia alikuwa mdada mmoja mtundu mtundu hivi, wa kuvaa suruali na hana habari na kuvaa mitandio. Alikuwa mtu wa story sana na kinywaji mtapiga nae kwa sana tu. Wale walioshiriki zile marathon za kutafuta maoni ya katiba mpya watakueleza undani wake. Sasa swali la kujiuliza ni moja; Wanamtandao wamemshika pabaya kiasi kwamba hawezi kufurukuta?Na ndo adui wa Taifa kwa ujumla Asante sana
Sidhani kama kuna ukweli hapa.Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana.
Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi matatizo yote ya nchi hii yatakwisha.
Kwa mfano, wengi wa watu wa Chadema wanaamini serikali chini ya CCM ndio inafanya matukio ya utekaji na uuaji. Si sahihi. Sio rahisi mtu kama Samia kuwa na ujasiri ndani ya moyo wake wa kuamuru watu watekwe na kuuwawa. Lakini hana uwezo wa kuzuia hili. Hili kundi lime-ingilia sana serikali, kwa kutumia wastaafu na walio kazini, kiasi kwamba ndilo linaamua mambo yote haya. Hakuna anaeweza kupinga wala kuzuia - hata Samia mwenyewe.
Kundi hili limeingilia si serikalini tu, bali hata vyombo vya sheria kama mahakama, Polisi na hata Uslalama wa Taifa. Wanachotaka ndicho kinakuwa.
Sasa ni wakati Watanzania kuanza kutambua kwamba nchi ina adui mmoja mkubwa sana, mwenye nguvu za utajiri na uwezo mkubwa, na adui huyo si CCM wala Chadema - ni Wanamtandao.
Tanzanians, stop being blind - unite to face your common enemy, Wanamtandao!
Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana.
Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi matatizo yote ya nchi hii yatakwisha.
Kwa mfano, wengi wa watu wa Chadema wanaamini serikali chini ya CCM ndio inafanya matukio ya utekaji na uuaji. Si sahihi. Sio rahisi mtu kama Samia kuwa na ujasiri ndani ya moyo wake wa kuamuru watu watekwe na kuuwawa. Lakini hana uwezo wa kuzuia hili. Hili kundi lime-ingilia sana serikali, kwa kutumia wastaafu na walio kazini, kiasi kwamba ndilo linaamua mambo yote haya. Hakuna anaeweza kupinga wala kuzuia - hata Samia mwenyewe.
Kundi hili limeingilia si serikalini tu, bali hata vyombo vya sheria kama mahakama, Polisi na hata Uslalama wa Taifa. Wanachotaka ndicho kinakuwa.
Sasa ni wakati Watanzania kuanza kutambua kwamba nchi ina adui mmoja mkubwa sana, mwenye nguvu za utajiri na uwezo mkubwa, na adui huyo si CCM wala Chadema - ni Wanamtandao.
Tanzanians, stop being blind - unite to face your common enemy, Wanamtandao!
Unaongelea vipindi tofauti. Kwanza wakati huo wanamtandao hawakutishiwa na katiba kiasi hicho.Sidhani kama kuna ukweli hapa.
Kujaribu kutenganisha CCM (chama dola) na hao unaowaita "wanamtandao" inaweza kuwa aina ya njozi (illusion) ili kujipa faraja kiaina tu (convenience).
Mwaka 2014, Kikwete alibanwa na wanamageuzi akafikia hatua ya kukubali marekebisho ya katiba yafanyike. Ikaundwa Tume ya Warioba iliyokuja na mapendekezo yake. Pendekezo kubwa lilikuwa kupunguza au kurekebisha madaraka ya Rais ili kuwe na uwanja sawa wa kisiasa kati ya CCM na vyama vingine vya siasa, na kiutendaji kati ya muhimili wa serikali, dola na mihimili ya bunge na mahakama. Kwamba Rais atimize majukumu yake akizingatia katiba na sheria za nchi kikamilifu.
Kulitokea mtafaruku mkubwa sana ndani ya CCM. Wengi walifikia hatua ya kudai "kofia" ya uRais wa JMT itenganishwe na ile ya Mwenyekiti wa CCM kwa vile waliona Kikwete kalegea sana na kupwaya kiasi cha kuweza kupelekea chama kumfia mikononi mwake. Hawakuwa tayari kabisa kuona dola ikitenganishwa na CCM wala madaraka ya Rais na Mwenyekiti wa CCM yakirekebishwa. Aidha, hawakutaka kuona Muungano "ukilegezwa". Hao wana CCM huwezi kuwaita wote wanamtandao. JK ndiye anayetambulika kama "mwanamtandao". Lakini ndiye aliyekuwa akishambuliwa na wana CCM wengi kwa kule tu kujaribu kuruhusu mageuzi kuimarisha haki na usawa nchini.
Magufuli alipoingia madarakani 2015, masuala ya katiba na tume huru ya uchaguzi akayatupilia mbali na kutumia vyombo vya dola moja kwa moja kuiimarisha CCM na kudhoofisha upinzani. Wana CCM wakamshangilia sana kama "mkombozi" wao aliyewanusuru na fedheha za siku kwa siku na kuwawezesha kuvaa kijani zao hadharani bila hofu ya kuzomewa. Ulinzi wa polisi ulikuwa ukiwahakikishia kutozomewa na magwanda yao 24hrs! Magufuli hakuwa mwanamtandao. Lakini alikamata dola na nyenzo zake kisawa sawa na akazitumia kama alivyotaka. Iwe kudhibiti bureau de change au kusomba korosho au kujenga majengo ya serikali, au ...
Sasa kama kweli unaamini nje ya "wanamtandao", CCM wanaweza kukubaliana na NRNE ya CHADEMA, kila la heri.
na kubwa lao ni huyu Muajemi,Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana.
Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi matatizo yote ya nchi hii yatakwisha.
Kwa mfano, wengi wa watu wa Chadema wanaamini serikali chini ya CCM ndio inafanya matukio ya utekaji na uuaji. Si sahihi. Sio rahisi mtu kama Samia kuwa na ujasiri ndani ya moyo wake wa kuamuru watu watekwe na kuuwawa. Lakini hana uwezo wa kuzuia hili. Hili kundi lime-ingilia sana serikali, kwa kutumia wastaafu na walio kazini, kiasi kwamba ndilo linaamua mambo yote haya. Hakuna anaeweza kupinga wala kuzuia - hata Samia mwenyewe.
Kundi hili limeingilia si serikalini tu, bali hata vyombo vya sheria kama mahakama, Polisi na hata Uslalama wa Taifa. Wanachotaka ndicho kinakuwa.
Sasa ni wakati Watanzania kuanza kutambua kwamba nchi ina adui mmoja mkubwa sana, mwenye nguvu za utajiri na uwezo mkubwa, na adui huyo si CCM wala Chadema - ni Wanamtandao.
Tanzanians, stop being blind - unite to face your common enemy, Wanamtandao!
akiondoka huyu ni kama tutakuwa tumeshinda pa kubwa sana,Muajemi hawezi fanikisha mipango yote bila kupata support toka kwa Wana CCM,ni Sawa na wezi wa kura katika chaguzi kule Zanzibar, Wazanzibar hushirikiana na Watanganyika,lakini katika kujitoa kwenye lawama huwapa Watanganyika lawama kna kubwa lao ni huyu Muajemi,akiondokahuyu ni kama tutakuwa tumeshinda pa kubwa sana,
Sijui mwelekeo wako na malengo yako hasa.Unaongelea vipindi tofauti. Kwanza wakati huo wanamtandao hawakutishiwa na katiba kiasi hicho.
NkweliKuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana.
Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi matatizo yote ya nchi hii yatakwisha.
Kwa mfano, wengi wa watu wa Chadema wanaamini serikali chini ya CCM ndio inafanya matukio ya utekaji na uuaji. Si sahihi. Sio rahisi mtu kama Samia kuwa na ujasiri ndani ya moyo wake wa kuamuru watu watekwe na kuuwawa. Lakini hana uwezo wa kuzuia hili. Hili kundi lime-ingilia sana serikali, kwa kutumia wastaafu na walio kazini, kiasi kwamba ndilo linaamua mambo yote haya. Hakuna anaeweza kupinga wala kuzuia - hata Samia mwenyewe.
Kundi hili limeingilia si serikalini tu, bali hata vyombo vya sheria kama mahakama, Polisi na hata Uslalama wa Taifa. Wanachotaka ndicho kinakuwa.
Sasa ni wakati Watanzania kuanza kutambua kwamba nchi ina adui mmoja mkubwa sana, mwenye nguvu za utajiri na uwezo mkubwa, na adui huyo si CCM wala Chadema - ni Wanamtandao.
Tanzanians, stop being blind - unite to face your common enemy, Wanamtandao!
We NTU kuna kitu unajua, hyaani mulemule....Sidhani kama kuna ukweli hapa.