Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #61
Kama umemuona huyo 2Proud Club Billicanas ambayo ilizinduliwa na Bozi Boziana wewe nawe una ukubwa gani?Sugu AKA 2proud original bongofleva mzee wa mistali, first time loooong fukkkkcccnn time nilimwona Bilicanas miaka ile nikiwa bongo, humu tusije tukawa tunabishana na watoto waliozaliwa 90's or 2000,s maana hamuwezi kumuelewa sugu......hivi wale jamaa waliopiga kukuru kakara wako wapi siku hizi
Tuliocheza disco Mbowe hotels, Pool side na seven floor tusemeje Sasa? Wakati tukienda Picnic Rungwe ocean huyo May alikuwa kwao shuleni Mbeya day.
Wakati huo kutoka Mwenge mpaka Bagamoyo tulitumia mpaka Masaa manne kufika Badeco beach kwa ubovu wa barabara.