harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
Kwa uelewa wangu mdogo that is a "cry for help" kuna mambo ndani yake yanafurukuta anajifariji kwa jinsi hiyo au ndani yake liko ombwe anajaribu kulijaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii isikudanganye, waja wana IDs nyingi, mpya na za kitambo.JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2021
Kama kuna mtu aliumia Sugu kudhurumiwa ubunge basi ni pamoja na Mimi.
Anayekuchukia hawezi kukwambia ukweli hata siku moja, atakuacha uharibikiwe.
Sugu napenda arudi mjengoni, asipojirekebisha anapigwa uwanjani mchana kweupe kwa kura halali.
Dr Mwakyembe aliulizwa swali la kuudhi tu na mjinga mjinga mmoja, jibu lake tu lilitosha wapiga kura kumnyoosha.
Asante mkuu kwa kuliona hilo, huku ndio kumpenda mtu na kumtakia mema.Hilo jambo hata mimi nimeliona na halifurahishi. Ana uwezo mzuri sana wa kusemea hoja za wananchi kwa style inayopendeza na hana woga, hayo mambo ya matambo kwenye kundi la masikini na wasio ajira hayawezi kumjenga kisiasa bali ni utoto.
Hataki kuacha, basi na siasa aachane nazo.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Uzi wa ajabu sana huu, kama wewe unamuona Sugu mbaya kwa kuwaringishia wengine utajiri wake mitandaoni, mimi namuona ana wa-inspire vijana tupambane ili tufikie pale alipofika yeye.
Muandiko wa mtu unatosha kumtambulisha mtu mwenyewe.Hii isikudanganye, waja wana IDs nyingi, mpya na za kitambo.
Weka ushahidiSugu aliwasaliti wenzake vinega kwenye ile movement yao ya antivirus. Akachukua mil 30
Sugu ni mtu wa hovyo sana
Mwambie na akae kutulia huyu mke mdogo wa kenani kihongosiHii isikudanganye, waja wana IDs nyingi, mpya na za kitambo.
Age ni number tu na takataka tu! Cheki usivyojua kuandika eti ukosowaji ndiyo nini?Muandiko wa mtu unatosha kumtambulisha mtu mwenyewe.
Kwenye huu uzi Watoto wengi wamenishambulia Mimi ni Uvccm wakati wengine hata uchaguzi wa 2010 walikuwa wananyonya wala si wapiga kura sisi tulikuwepo humu kuhakikisha majizi ya Ccm tunayaondowa madarakani na ajenda hiyo haijawahi kubadirika licha ya kina Mzee Mwanakijiji kutusaliti uchaguzi wa 2015.
Tatizo la vijana wengi wa Chadema ni wakosowaji wazuri lakini hawapo tayari kuona viongozi wa Chadema wanakosolewa pale wanapokwenda ndivyo sivyo basi utaitwa Uvccm wakati una umri wa Baba yake, Uvccm mwisho ni miaka 35, kuniita Uvccm ni matusi hata ningekuwa Mimi ni Ccm.
Oohhh boy.Age ni number tu na takataka tu! Cheki usivyojua kuandika eti ukosowaji ndiyo nini?
Nilitamani sana siku moja nipite hotel Desderia nimuungishe Mwana lakini bahati mbaya timing za safari zangu zote huwa nalazimika kulala Iringa mjini, Mbeya huwa napita tu juu kwa juu kuelekea Sumbawanga.Nikienda Mbeya huwa napenda kukaa pale hotelin kwake Desderia nabalizi ki ji upepo cha ule mfereji.
Jitahidi siku ufike pale pana mazingira mazuri na tulivu sana. Amejitahidi kupaweka vizuri.Nilitamani sana siku moja nipite hotel Desderia nimuungishe Mwana lakini bahati mbaya timing za safari zangu zote huwa nalazimika kulala Iringa mjini, Mbeya huwa napita tu juu kwa juu kuelekea Sumbawanga.
PUNGUZA MAJUNGUSugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.
Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.
Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.
Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.
Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.
Nimemaliza.
Erythrocyte
Ni aibu mtoto wa kiume kutumia neno "bhana"Mi simo bhana!
Kwaheri!
Nilikuwa naongea na mtoto wa kikeNi aibu mtoto wa kiume kutumia neno "bhana"