Kwa watumishi wa Mungu Joel na Munalove

Pole sana kwa kuamini kuwa waimbaji wa nyimbo za gospel ni watu wachaMungu......refer to Rose,Mbasha F,Bahati Bukuku,Gozbat......hao ni vielelezo halisi vya kuni za motoni.
Hahahaaaaaa......kuni tena mkuu???!!
 
Faragha hadi kwenye msiba. Acheni kutetea ujinga nyie,
Mtu kanywa bapa kalewa nyie mnamtetea eti ni maji! Maji yanalevya?
 
Hichi kitendawili walahi
 
iv cox kumbe upogo na huku
 
Faragha hadi kwenye msiba. Acheni kutetea ujinga nyie,
Mtu kanywa bapa kalewa nyie mnamtetea eti ni maji! Maji yanalevya?
Kwani faragha mipaka yake ni ipi? Kama hakutaka makamera Nadhani ni maamuzi binafsi na wala haihusiani na utumishi wake.
 
Hawa ni wasanii wa nyimbo za injili.
Usanii na wokovu ni vitu viwili tofauti. Unaweza ukawa msanii na kuimba nyimbo za injili na hujawahi kuzaliwa upya katika ufalme wa Mungu au kinyume chake. Wengi wa tunaowaita wasanii wa injili ni wafanya biashara ya injili tofauti ilivyofahamika kuwa kumwimbia Mungu ni huduma ya moyo kwa hiari (good faith)
 
Joel alienda Nairobi kwa show kazi Zake za uimbaji na sio kumsindika Muna kuuguza, Muna alivoona Joel anakazi Nairobi ndo akaamua kusafiri na mtoto Nairobi awe karibu na baby na inasemekana hyo mtoto natumika kutoa ushuhuda majukwaani Joel akiwa ana perform NB MBONA HAWASEMI MTOTO ALIKUA ANATIBIWA HOSPITAL GANI HUKO KENYA???
 
Mm nina mifano ya watu waliliojifanya wameokoka. Baadae wanatongoza waumini wao na kulala nao pasipo ndoa. Wengine wanashauri mtu aachane na mchumba wake ili yeye achukue mzigo utasikia huyo uliye nae sio chaguo la Mungu.tusidanganyane hakuna mkamilifu duniani.aliweza Yesu.binadamu asilimia kubwa tunatenda dhambi Na kujificha kujifanya watakatifu.
 
Unalolisema ni la kweli kabisa mkamilifu ni Mungu tu, hata Biblia inasema hakuna ambaye hafanyi dhambi.
 
Tatizo leni ni kuamini kila anayemtaja au anayeimba YESU ni mchaMungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…