Kwa watumishi wa Mungu Joel na Munalove

hahahahaha buraza utapata tabu sana(in Kamanda Muroto Voice) kama unaamini hao watumishi wanamtumikia Mungu.......hao wanatumikia miili yao hahahaha
Yani Joel kaangukia kwa Muna hahahaha aiseee dunia ina mengi.......Joel Buraza chunga afya yake na hilo fagio la wegeni
 
nacho fahamu mimi kila kitu ni mtumishi wa Mungu! Hata wabaya kwa wakati wa mabaya, nao pia ni watumishi wa Mungu!
 
Mtumishi wa Mungu anatakiwa kujihusisha vipi katika mahusiano ya kimapenzi? Au shida ni kuwa tu na muna?
Mimi mbona sielewi mara ameolewa kwa ndoa, mara mtoto wa commando kipensi, mara mpenzi wake wa sasa ni joel mwimba gospel sasa which is which hapa

Kwa wanaosema Joel hana hatia hapa wanabugi, kama madai ya kwamba yupo kwenye mahusiano na huyu mama jamaa amejichanganya sana.
Mwimbaji wa gospel unatakiwa uwe very strict kwenye masuala ya mahusiano, huwezi kuanzisha mahusiano na mama kama huyo maswali yatakuwa mengi mno juu yako, mama mwenye historia ya mabwana lukuki halafu mtu mzima wewe kijana tena muimba gospel unafuata nini

Hata kama joel alitongozwa na hili limama angekataa tu, kwani kitu gani bwana, gospel sio kazi ya kutafutia umaarufu wala wanawake ni utumishi wa Mungu.

Joel Lwanga Ukatubu
 
Brother uko serious kweli kwamba amri ya usizini inefutwa kwenye amri 10 za Mungu?

Kweli hizi ni nyakati za mwisho, hata uki***** utatetea ni haki yako ku*****.
Mtumishi wa Mungu awe na Mpenzi?!! Mtumishi wa Mungu ni kipenzi cha wanakondoo wooote. Ila maisha ya mtumishi hutawaliwa na uwazi zaidi ili kujiepusha na kadhia zinazoifarakanisha jamii.
 
Mchungaji Joel kawa faru Joni, anatembeza rungu kwa kwenda mbere...

kwa hali hii...najiuliza,vile vidada
'vigumu' vya kilokole watakuwa 'wanapata tabu sana..' kwenye anga zake
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia baada ya kujutenga na Wema na baada ya mwanawe kuumwa mguu, Muna alifanikiwa sana kujitenga na drama za mjini na pia alisema ameokoka je ikiwa ni kweli aliweka nadhiri ya kubadirika bado hakustahili kupendwa na Joel?

Utumishi ina maana kutokuwa na hisia za mapenzi kwa mwakondoo wako hata pale ambapo kanuni za kimaadili zinaruhusu?

Sasa kama hatakiwi kuwa na Muna kisa tu historia ya Muna kimaadili haipendezi, wokovu au kuokoa kuna maana gani? Yaani japo Muna aliokoka bado alitakiwa kuendelea kuhukumiwa kwa historia yake? (Hapa sijagusia hili linaloendelea sasa maana linaleta maswali kuhusu wokovu wake maana huenda alikuwa kwenye drama ila Joel angejuaje kuhusu yajayo)
 
Nasonga kwa stimu na ndoto kede,Dini Biashara tutafanyaje? Kama "Nabii" Mwingira kazaa na Mke wa mtu ndio iwe muimba kwaya tu ambae hana hata elimu ya biblia?
Ulidhibitisha wapi kama mwingira kazaa na mke WA mtu au ndo story za magazeti? Mbona wat mnapenda kushadadia vitu vya kusikia?
 
Pole sana kwa kuamini kuwa waimbaji wa nyimbo za gospel ni watu wachaMungu......refer to Rose,Mbasha F,Bahati Bukuku,Gozbat......hao ni vielelezo halisi vya kuni za motoni.
Kuna kengine ni kashoga kaliwahi nisumbua sana.
 
Kuna watu wanawashwawashwa juu ya huu msiba
 
Siyo tu mtu mzima bali mke wa mtu, wanaomtetea Joel wajitazame vyema. Mtumishi wa Mungu kutembea na mke wa mtu Muna love ni uzinzi.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…