Kwa watumishi wa Mungu Joel na Munalove


Unauhakika mbona unasikiliza stori upande mmoja siku hizi mnakuwaje watu ngoja muna yaishe na yeye atoe ya moyoni hapo ndio tutajua
 
Kila kitu duniani kuna orijino na feki....hivyo basi wapo waimbaji wa Injili orijino na feki,waongozwao na Roho wa Mungu ndio wanaofahamu orijino na feki, maana Mungu huwajulisha yote.
 
Iwekwe kodi kwenye mitandao ya kijamii vijana hawana kazi za kufanya kushinda inst, whatsap na twiter wakikosa jero la bando ndiyo wanaanza kuilaumu serikali
Mkuu kama unatafuta umaarufu just go to hell, mind your own business kuna mtu unamnunulia bando hapa?
 
Waimbaji gospel ni kama bongo fleva hawana tofauti yoyote
 
Hivi huyu mtoto amefanya nini sana hadi anashika Headline kwenye ulimwengu wa udaku?
 
Hahhahahaaaaa. Ambavyo unamtetea jamani
Hela shida kuzipata na mtu anakutesa umpe hela mtoto akifariki ati si wako! Huyo anayekufunua hadi unampa mtoto Kwanini asikupe hela ya kumtunza na kumtibia! Mnauziiiiiii na cosovo kamkomesha
 
Hela shida kuzipata na mtu anakutesa umpe hela mtoto akifariki ati si wako! Huyo anayekufunua hadi unampa mtoto Kwanini asikupe hela ya kumtunza na kumtibia! Mnauziiiiiii na cosovo kamkomesha
Sasa kwani ukizika maiti ndo inakua nini? Maugomvi mengine hayana maana yanahitaji mmoja ajishushe kuepusha kuchoreshana
 
Hahahhaha wameumia sana lakini wao wakikataa mimba ni sawa au wakiwaletea wake zao watoto ni sawa.... Muna kawanyoosha.
Kama rula vile....[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wamevurugwa hatariii!!
 
Inaonyesha huyo jamaa bado anampenda mke wake. Ila mke kama alisha move on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…