Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Hilo tumbo ni kawaida tu huwa linaacha kuuma akifikisha miezi 3,wala halina dawa hasa hasa unamsaidia tu kupunguza maumivu kwa kumfanyia massage ya tumbo, unaweza kuwa unamkunja miguu umemlaza chali miguu unaifanya kama anaendesha baiskeli unaikunja huku inagusa tumbo lake hii inamfanya ajikamue kutoa hewa na maumivu yanapungua, au pia unamlaza na tumbo huku unampiga piga mgongo kwa ubapa wa kiganja inasaidia sanami na mtoto ana miezi 2 anasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara wanaitaga mchango ameshatumia dawa za kienyeji na dawa za hospital pia kama mafuta ya samaki hofu yangu ni juu ya haya mafuta samaki wanavyodai wataalamu husababisha kifafa kwa watoto na kingine amebadili utalatibu wake wa kulala anaweza lala mchana zaidi ya masaa 8 na uck 5 yalio baki ni kukesha uck nawezaje kumzoesha kulala uck kuliko mchana ananichosha sana kila cku kutoboa
Ni kweli. Wa kwangu alikuwa hivi hivo hadi kitovu kinakuja juu. Dr akaniambia nimcheki hadi miezi mitatu.Hilo tumbo ni kawaida tu huwa linaacha kuuma akifikisha miezi 3,wala halina dawa hasa hasa unamsaidia tu kupunguza maumivu kwa kumfanyia massage ya tumbo, unaweza kuwa unamkunja miguu umemlaza chali miguu unaifanya kama anaendesha baiskeli unaikunja huku inagusa tumbo lake hii inamfanya ajikamue kutoa hewa na maumivu yanapungua, au pia unamlaza na tumbo huku unampiga piga mgongo kwa ubapa wa kiganja inasaidia sana
Yap miezi mitatu huwa linapoa walau hakuna haja Ya kumpa mtoto madawa madawaNi kweli. Wa kwangu alikuwa hivi hivo hadi kitovu kinakuja juu. Dr akaniambia nimcheki hadi miezi mitatu.
Sikumpa dawa, zaidi nilikuwa namfanyia masaji kdg kdg kwa mafuta ya nazi.
Na kweli alipoingia tu miezi mitatu akawa yupo fresh na kitovu chake kimerudi vizuri.
Mtoto ana umri gani? Unampa vyakula vya makopo? Mama ni mtumiaji wa vipodozi na makeups? Mtoto anapata maji ya kunywa ya kutosha?Jamani naombeni msaada.mwanangu mara ya pili anpimwa anaambiwa damu chafu.anatoka vipele hasa wakati wa joto.sasa hospital wanampima full blood picture wanasema tatizo ni mchafuko wa damu.sasa msaada mwenye ujuzi w hili tatizo
ana mwaka mmoja na miezi9'mama yake c mtumiaji makeup kbisaa.vyakula anakula vya kawaida tu sema asubuh ni uji wa ulezi au maziwa mchana mhanganyiko na anakula vizuri sana.hakatai kul hata kidogo.maji anakunywa sana.hata akiamka asubuh tu kutoka kitandani anadai maji na tumemshamzoea so tunmuwekea maji mezani usiku 'akiamka asubuh anamimina anakunywa hata nusu grassMtoto ana umri gani? Unampa vyakula vya makopo? Mama ni mtumiaji wa vipodozi na makeups? Mtoto anapata maji ya kunywa ya kutosha?
Basi naomba nisifanye guess work kwenye mwili na afya ya mtoto naamini tuna wataalam wengi watakuja na suluhisho sahihi zaidiana mwaka mmoja na miezi9'mama yake c mtumiaji makeup kbisaa.vyakula anakula vya kawaida tu sema asubuh ni uji wa ulezi au maziwa mchana mhanganyiko na anakula vizuri sana.hakatai kul hata kidogo.maji anakunywa sana.hata akiamka asubuh tu kutoka kitandani anadai maji na tumemshamzoea so tunmuwekea maji mezani usiku 'akiamka asubuh anamimina anakunywa hata nusu grass
yaaan ili tatizo linanichanganya mno.mara ya tatu wanampa dawa zilezile na kumpima damu tu.sasa nashindwa elewa kama ni serious problem au ni kawaida tu.maan dogo anapata homa kali 'anatapika.sema kwa kua ni mtundu anakua mchangmfu tu.ila hii hali kama mzazi inanipa wasiwasi mno.Basi naomba nisifanye guess work kwenye mwili na afya ya mtoto naamini tuna wataalam wengi watakuja na suluhisho sahihi zaidi
Naomba ujaribu hospital za wahindi posta na kariakoo wanaweza kuwa na dawa zao mimi nina moja lakini sijui kama ni recommended kwa umri huo subiri nitakuwa dar next week tuoneyaaan ili tatizo linanichanganya mno.mara ya tatu wanampa dawa zilezile na kumpima damu tu.sasa nashindwa elewa kama ni serious problem au ni kawaida tu.maan dogo anapata homa kali 'anatapika.sema kwa kua ni mtundu anakua mchangmfu tu.ila hii hali kama mzazi inanipa wasiwasi mno.
kwa mwanangu iligoma kabisa akipata kwikwi ni mpaka apate usingizi ndo inaisha.Ni kweli hii ya kiuzi hata kwa watu wazima inafanya kazi
kwel Mtani. maana tumebaki kuzungumzia mada zingine tuWengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki
Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii maalum ya watoto
Kumlea mtoto tangu kutungwa kwa mimba mpaka kuzaliwa na hatimaye kulelewa mpaka kuvuka kile kipindi cha hatari si jambo dogo. Changamoto ni nyingi hasa na zingine hatujui jinsi ya kuzitatua lakini tukiwa na hii mada hapa jukwaani tutashirikishana na kujuzana mengi kwa haraka na uhakika zaidi.
Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo havihitaji daktari au ufumbuzi wake ni kama huduma ya kwanza kabla hujapata usaidizi mwingine. HII NI TOFAUTI NA JF DOCTO.
Kwa mfano, ufanyeje;
-Mtoto anapolialia
-Mtoto anapopata gesi tumboni
-Mtoto anapopaliwa kila akila chochote
-Mtoto anaposhtuka shtuka usiku na kulia sana nk k
Hatari zimnyemeleazo mtoto;
-Umeme
-Maji
-Moto
-Mwanga wa Tv
-Simu, mawimbi yake
-Vyombo na vitu mbalimbali
-Madawa na vipodozi nk nk
Hii ni mada pana yenye mambo mengi mno.
Kwa mfano kitunguu saumu ni tiba kwa mtoto anayelia na kushtuka usiku, Kijiko cha asali ni tiba kwa mtoto anayekohoa mfululizo (ukiacha kifua na mafua), Vitu kama mahirizi ya kiunoni na mkononi havimsaidii mtoto, Muda mwingi kumvalisha mtoto nguo nyingi humsababishia nimonia n.k.
Mambo ni mengi...
IKIWAPENDEZA ITAKUWA NI MADA MAALUM YA WATOTO..
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha..!
Nimelazimika kukimbilia huku mara moja tuelimishane kuhusu hili
Kuna mdau kaweka Post ya kutafuta shule ya boarding kwa mwanae wa miaka mitatu
Sijui amepata masahibu gani ila nimeumizwa mno na hili jambo
Ni wazi tuna Changamoto za malezi na mahusiano lakini vyovyote viwavyo tusiwaache watoto wadogo kwenye uangalizi wa mlezi tena shule moja kwa moja
Unaweza ukampeleka day care ili jioni uweze kumuona na kumfuatilia maendeleo na mwenendo wake, bado anahitaji uangalizi joto na hata upendo na uwepo wa mzazi hii humjengea afya ya akili kitu ambacho ni muhimu sana kwa maisha yake ukubwani
Watoto wengi wenye tabia za ajabu walikosa ukatibu na malezi sahihi ya wazazi udogoni
Mshana Jr tafadhali jibu issue hiyo. Ni muhimu kwani nina mtoto wangu alinyolewa nywele mpaka sasa ni miezi kama sita hazijaota. Ni sehemu ndogo kichwani iliyonyolewa siyo rahisi kwa mtu aliyembali kuiona hiyo sehemu. Nashukuru saana ukitia neno. AhsanteniKuna mdau Kauliza juu ya mtoto kuamka asubuhi kanyolewa nywele, mjibu tafadhali, utatusaidia wengi, maana nami nimekumbwa na hilo kwa mwanangu
Hii inauma sana!mwanangu ana 4yrs anaondoka asubuhi namfwata saa tisa basi wale watoto wanaobaki wanawaambia wezao wanaoondoka nataka twende wote kwenu na ni wimbo wa kila siku! Wanakosa mambo mengi sana simshauri mtu kumpeleka mtoto mdogo boarding mimi nilishasema hadi afike angalau kidato cha kwanza.Nimelazimika kukimbilia huku mara moja tuelimishane kuhusu hili
Kuna mdau kaweka Post ya kutafuta shule ya boarding kwa mwanae wa miaka mitatu
Sijui amepata masahibu gani ila nimeumizwa mno na hili jambo
Ni wazi tuna Changamoto za malezi na mahusiano lakini vyovyote viwavyo tusiwaache watoto wadogo kwenye uangalizi wa mlezi tena shule moja kwa moja
Unaweza ukampeleka day care ili jioni uweze kumuona na kumfuatilia maendeleo na mwenendo wake, bado anahitaji uangalizi joto na hata upendo na uwepo wa mzazi hii humjengea afya ya akili kitu ambacho ni muhimu sana kwa maisha yake ukubwani
Watoto wengi wenye tabia za ajabu walikosa ukatibu na malezi sahihi ya wazazi udogoni
Hizo hazitakaa ziote, ila Usiwe na hofu kwakuwa zilichukuliwa kwa mwanao kwenda kufanya kazi mahali pengine na hakuna madhara yatakayompata mwanao nitakuja na post kamili kuhusu hili next weekMshana Jr tafadhali jibu issue hiyo. Ni muhimu kwani nina mtoto wangu alinyolewa nywele mpaka sasa ni miezi kama sita hazijaota. Ni sehemu ndogo kichwani iliyonyolewa siyo rahisi kwa mtu aliyembali kuiona hiyo sehemu. Nashukuru saana ukitia neno. Ahsanteni