Jitahidi kubadilisha Shika na foronya ya mtu kila Siku ikiwezekana katika bed ya mtoto, pia hakikisha nguo alizovaa Jana na kulalia asivae Tena usiku unaofuata.....Mwnangu analia sana usiku akilalamika uso wote kuwasha.akiamka asubuhi kwenda shule yupo safi.kwa sasa anasoma drs la ii,nimempeleka hospital amechekiwa wanasema hana tatizo..taf..sijui nifayeje.cc Mhshana jr
Vinatengenezwa wapi hivi? Binafsi huwa siamini saana hivi vitu vyenye chemicals je hakuna mbadala wake? Kwa mfano tukisisitiziana kuhusu fresh juice matunda puddings vyakula asili vyenye kufaa mtoto maji safi na salama..!?Kwa wazazi kuna virutubisho ambavyo vinasambazwa na wizara ya Afya na vimethibitishwa vimeandikwa BORESHA VIRUTUBISHI HUBORESHA CHAKULA KWA VITAMINI NA MADINI vinasambazwa kwa gharama nafuu sana nia ni kuboresha Afya za watoto chini ya miaka mitano pia nimeona hata wagonjwa wa magonjwa ya muda mrefu wanapewa wameelekeza paketi moja iwekwe kwenye chakula kilichopoozwa kila baada ya siku moja kwa watoto na paket mbili kwa watu wazima nilivikuta katika kliniki ya watoto hospitali ya serikali na pia nilisikia tangazo redioni na wanasema ni vizuri kwani vyakula tunavyowapa watoto havina virutubishi vya kutosha na pia ufyonzwaji wake ni duni ,wazazi tufuatilie ili tupate manufaa maana upatikanaji wa vitamini na madini kwenye lishe za kila siku umekua duni,nimewahi ona pia kwenye maduka ya madawa wanauza kwa gharama nafuu
Ni zile pakiti za njano zenye virutubisho wanazopewa watu wenye magonjwa makubwa kama km cancer na ukimwi?Hii ni changamoto hivi virutubisho mimi nilivipata kliniki hapa kwety na vimeenea sana na wameeleza kuwa tuendelee kuwapa watoto vitu fresh lakini namna ya upatikanaji wa hivyo vitu namna vilivyolimwa havizuii kupata kemikali pia kuhusu kufyonzwa wanasema kuwa system ya mtoto kupata kila kitu kupitia chakula nayo ni dhaifu lakini akipata hivi inasaidi hapa naona kimetengenezwa Manisha Pharmo Plast Pvt.Ltd Umbergaon-396 171.Gujarat,India nitaangalia namna ya kutuma picha ila vimo kwenye pharmacy nyingi sana siku hizi.Chakula fresh bado ni muhimu sana ila kutokana na changamoto za upishi wa vyakula hivyo,ulaji wa watoto nk Wametuletea hii product.
Tatizo langu kubwa ni kwa hao suppliers nina allergy na hao watu na huu ni mtazamo wangu binafsi na jinsi niionavyo serikali yangu na mambo ya commissionNdiyo zile ila mlengwa wa kwanza wanasema ni mtoto chini ya miaka mitano na matangazo yake wanatangaza kwa ajili ya watoto lakini wasambazaji ukiwa unaomba wanauliza kwa ajili ya mtoto au mtu mzima ndio nimejifunza kuwa hata watu wazima wenye magojwa ya muda mrefu wanapewa paketi mbili kila baada ya siku moja
Tuko poa Alhamdulillah. Changamoto tu za ulezi haziepukiki. TunapambanaUnaendeleaje na wanangu huko?
Asante sana kwa hiliNi kweli tunashirikishana mtu mwenye uhitaji afuatilie na atapewa elimu atasoma kuna vipeperushi,ataamua kumpatia mtoto au kujitahidi kwenye vyakula vinavyopatikana mimi napenda vyakula asilia upatikanaji wake nao ni changamoto,suala lingine ni muda maana wazazi wengi ni watafutaji maandalizi ya vyakula hv yanakua sahihi tukiwaacgia wasaiduzi kuandaa?ukiangalia na changamoto za ukuaji watoto na upungufu wa vitamini na madini ambayo inasababisha watoto wengi kudhoofika inabidi kujitoa kwa dhati kabisa kuangalia namna bora ya kumsaidia mtoto ambayo hapa sasa ni uchaguzi wa mzazi,mlezi na wote wanaozunguka mtoto huyu kuchukua jukumu la kuhakikisha mtoto anakua vema
Hii ni changamoto hivi virutubisho mimi nilivipata kliniki hapa kwety na vimeenea sana na wameeleza kuwa tuendelee kuwapa watoto vitu fresh lakini namna ya upatikanaji wa hivyo vitu namna vilivyolimwa havizuii kupata kemikali pia kuhusu kufyonzwa wanasema kuwa system ya mtoto kupata kila kitu kupitia chakula nayo ni dhaifu lakini akipata hivi inasaidi hapa naona kimetengenezwa Manisha Pharmo Plast Pvt.Ltd Umbergaon-396 171.Gujarat,India nitaangalia namna ya kutuma picha ila vimo kwenye pharmacy nyingi sana siku hizi.Chakula fresh bado ni muhimu sana ila kutokana na changamoto za upishi wa vyakula hivyo,ulaji wa watoto nk Wametuletea hii product.