Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

....teh teh teh teh..na sie wenye mitala sheikh mbona tumekuza!
...au ndo ni kwa rehema na neema!
 
Kwa uzoefu Wangu ni kuanzia miezi sita

Wadau maji ni uhai. Kiukweli mimi huwa napingana sana na wazazi au walezi wasiowapa wattoto wachanga maji ya kunywa. Hata wao huwa wanasikia kiu maana maziwa ya mama ni chakula, mtu anakulaje chakula bila maji?

Nadhani wengi wanaogopa kuwapa watoto wao maji kutokana na maandaliz yasiyo safi. Mie wa kwangu alianza kunywa maji baada ya siku 2 tangu kuzaliwa mpaka sasa ana 12yrs, Ni mtoto mwenye afya na hajawahi kulazwa kwa ajili ya homa kali alipokuwa mdogo mpaka sasa.

Ushauri wangu ingawa mie sio Dr. Maji ni muhimu kwa watoto ila zingatia usafi sana, hii husaidia mtoto kutopungukiwa maji mwilini pindi apatapo homa.
 
Mi sioni kama kuna shida sababu asilimia kubwa ya maziwa ni maji ndo mana yapo in liquid form.Madoctar sidhani kama wanakosea wanaposema wasipewe hadi miezi sita.Mi mwanangu kanywa maji akiwa na miezi sita sikuona kama alipata tatizo lolote.Waje wataalamu zaidi.
 
Ukweli, huwa inazuiwa kupewa maji kuhofia usafi wa maji na vyombo pia, mi mwenyewe nilianza kumpa maji akiwa na mwezi
 
naombeni msaaada nina mtoto wa miaka miwili sasa nilimzaa kwa opresheni je ni mda gan mzur unafaa kwa kubeba mimba nyingine na je kuna uwezekano wa kuzaa mara ya pili bila opresheni?naombeni majibu asanteni
 
Asante kwa hili
 
naombeni msaaada nina mtoto wa miaka miwili sasa nilimzaa kwa opresheni je ni mda gan mzur unafaa kwa kubeba mimba nyingine na je kuna uwezekano wa kuzaa mara ya pili bila opresheni?naombeni majibu asanteni
Kama upasuaji wa kwanza ulienda vizuri hakuna shida...mwisho wa mimba za operation ni nne japo kuna baadhi hupiga mpaka tano
Kwa uzoefu Wangu ni kwamba kama ukishaanza na operation basi itakuwa hivyo hivyo kwa mimba zitakazofuatia BTW binafsi napenda kukushauri usubiri kidogo
 
Mwenzangu kuuchunguza muhimu. Pamoja na kuangalia kama anasimama vizuri.

Mwenyewe nikimsafisha mara utaona kadindisha, sijui huwa kinaonaga raha. Lol
Hahaha utakuwa unamtekenya wewe si bure BTW ni muhimu sana kumchunguza mtoto kwenye hilo eneo
 
naombeni msaaada nina mtoto wa miaka miwili sasa nilimzaa kwa opresheni je ni mda gan mzur unafaa kwa kubeba mimba nyingine na je kuna uwezekano wa kuzaa mara ya pili bila opresheni?naombeni majibu asanteni
Miaka miwili mbona kiasi hapo mama. Biashara asubuhi, ni vyema kupata watt wako ukiwa bado na mda, nafasi na nguvu ya kulea.

Kuhs kuzaa kawaida not advisable. Ni juzi tu nimetoka kuongea na Dr kaniambia sio advisable japo wengine hujidai kujaribu.
 
Duuh nilikuwa hata sijui mwee, so ukishazaa kwa operation ndo utaendelea kuzaa kwa operation tu?
 
Aiseeeee kulea kazi, hasa twins!!
Inafika kipindi unatamani kulia.

Ahsante kwa mada nzuri, naifatilia kwa karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…