Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Na kama ni wale identical twins ni shida zaidi hasa kwenye kuumwa lazima akianza mmoja akipona tu mwenzake anapokea

Yes, wangu ni Identical, mmoja akilia mwingine nae analia, ukimkataza mmoja kitu mwngn anaanza kukifanya, kula wale wote kwa pmj, kubebwa, wabebwe wote kwa pmj, loooh!
 
Yes, wangu ni Identical, mmoja akilia mwingine nae analia, ukimkataza mmoja kitu mwngn anaanza kukifanya, kula wale wote kwa pmj, kubebwa, wabebwe wote kwa pmj, loooh!
Hapo una kazi aisee. ..ila komaa nao tu hivyo hivyo ni baraka pia
 
Duuh nilikuwa hata sijui mwee, so ukishazaa kwa operation ndo utaendelea kuzaa kwa operation tu?
unanitisha ndugu yangu cpend kabsa opresheni
 
Mkuu kama mtoto hashibi maziwa ya mama na yupo under 6 months of birth, bado asipewe hiyo kitu??
 
Mkuu kama mtoto hashibi maziwa ya mama na yupo under 6 months of birth, bado asipewe hiyo kitu??
Kwa ushauri wa daktari wa watoto mzoefu anaweza kupewa hasa watoto wa kiume kuna wanaojua kukamua hasa. ..lakini hata kama atapewa hicho chakula bado ni muhimu kupata maziwa ya mama
 
Nilipo pata binti yangu ilikuwa changamoto sana sababu mm na Mama wote ndiyo ilikuwa mtoto wetu wa kwanza na tulikuwa mbali sana na wazazi wetu

Lkn kijela jela mtoto alikua!
 
Kuna mdau Kauliza juu ya mtoto kuamka asubuhi kanyolewa nywele, mjibu tafadhali, utatusaidia wengi, maana nami nimekumbwa na hilo kwa mwanangu
 
Safi sana nimeipenda hii
 
Nafikiri hii mada ingehamishiwa JF Doctors ili Madoctor wakaiona na kuichangia kiutaalamu pia.

Swali: Kuna watoto huzaliwa lakini vichwa vinakuwa havijaunga vizuri (hili sio neno la kiutaalamu ila ni mazoea tunavyosema mtaani). Sasa wazazi ama walezi huwa tunachuma majani fulani kisha mama mzazi wa mtoto anayatafuna na kuweka kwenye utosi kila siku mpaka hapo atakapoona kichwa kimefunga.

Sasa hii hutokana na nini?
Ni kweli yale majani husaidia?
Kiutaalamu tunaweza kuitibu vipi?
Kiutaalamu tunaweza kuizuia vipi?

Najua wengi tumeshakutana nayo na hata kuifanya pia. Karibuni madoctor mtuelimishe.

C.C. md4doctor2000, measkron, Riwa, King'asti na madr wengine...
 
Wengine huwa wanaomba kufanyiwa operation wanaogopa uchungu, wengine wanaogopa machine itaharibika eti teh
Mmh hivi kuna ukweli hapo? kwa mara ya kwanza nimesikia juzi kwa lara 1 kwenye ile mada yake ya wema. Na mara ya pili ndo hii naisikia kwako.
Hebu Eve nipe uzoefu wako baada ya kujifungua, nipe kwa private kama hapa soo
 
Juma l8lilopita nimesafiri mkoani kikazi, nilikaa siti jirani na dada mmoja ana mtoto bado mchanga, aisee anampa chipsi mayai mtoto hataki, kakabana katoto anakandakanda chipsi anasokomeza chipsi yaan hadi hasira …nikamuuliza swali huyo mtoto ni wakoooo au? kajibu wa kwangu, nikamwambia haumtendei haki kbs, kwa bahati nzuri akina mama wakaingilia kati kumpa elimu juu ya malezi sahihi
 
Wengine huwa wanaomba kufanyiwa operation wanaogopa uchungu, wengine wanaogopa machine itaharibika eti teh
Mmh ...inawezekana kwakuwa kwa nchi kama China siku hizi operation ndio fasheni
 
Mmh hivi kuna ukweli hapo? kwa mara ya kwanza nimesikia juzi kwa lara 1 kwenye ile mada yake ya wema. Na mara ya pili ndo hii naisikia kwako.
Hebu Eve nipe uzoefu wako baada ya kujifungua, nipe kwa private kama hapa soo
Ni kweli, aliyekuwa g/f wangu wa mwanzo alisimamia sana point hiyo(atajifungua kwa njia ya upasuaji) kwasababu tu anaogopa eti maumbile yake yataharibika ikiwa atajifungua kwa njia ya kawaida, kila mtu alishika zake baada ya msimamo wake kuwa mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…