Naingilia mada bila ruhusaMmh hivi kuna ukweli hapo? kwa mara ya kwanza nimesikia juzi kwa lara 1 kwenye ile mada yake ya wema. Na mara ya pili ndo hii naisikia kwako.
Hebu Eve nipe uzoefu wako baada ya kujifungua, nipe kwa private kama hapa soo
Tatizo kubwa ni kwamba siku hizi mabinti wengi hawana elimu ya uzazi na malezi na pia hata hao wanaokuwa tayari kuipata hukutana na wakunga au watoa elimu vimeoJuma l8lilopita nimesafiri mkoani kikazi, nilikaa siti jirani na dada mmoja ana mtoto bado mchanga, aisee anampa chipsi mayai mtoto hataki, kakabana katoto anakandakanda chipsi anasokomeza chipsi yaan hadi hasira …nikamuuliza swali huyo mtoto ni wakoooo au? kajibu wa kwangu, nikamwambia haumtendei haki kbs, kwa bahati nzuri akina mama wakaingilia kati kumpa elimu juu ya malezi sahihi
Huo ni uongo, mashine ni super elastic inarudi vizuri tuMmh hivi kuna ukweli hapo? kwa mara ya kwanza nimesikia juzi kwa lara 1 kwenye ile mada yake ya wema. Na mara ya pili ndo hii naisikia kwako.
Hebu Eve nipe uzoefu wako baada ya kujifungua, nipe kwa private kama hapa soo
Wengine wanadanganyana waliwa tigo wanatoa nnya hivo wanawahi operation tehMmh ...inawezekana kwakuwa kwa nchi kama China siku hizi operation ndio fasheni
Thanks Eve, manake nilitaka kujishangaa, kwamba hii cumulative experience yangu haijanisaidia kitu kweli!!??Huo ni uongo, mashine ni super elastic inarudi vizuri tu
I wish wadada wote wangejua madhara ya hii kituWengine wanadanganyana waliwa tigo wanatoa nnya hivo wanawahi operation teh
Zinapatikana wapi hizi Nyani Ngabu? Bei yake je?Kwa vile tufaha huwa halidondoki mbali na mti wake, binti Ngabu alipozaliwa ilibidi nifunike soketi zote za umeme ambazo hazitumiki ili kuepusha binti kuzichokonoa na kurushwa na umeme.
Vifuniko vya hizo soketi wala si bei ghali sana hususan ukizilinganisha na gharama ya madhara ya kutokuzifunika.
Kwa hiyo wazazi kumbukeni hilo pia.
Hahaaaa mkuu sijachanganya, nataka dada mchungaji Heaven Sent asaidie kuhubiria wadada huko kanisani mkuuMmh mito angalia vizuri umechanganya ID ujue
hii ni kwa watoto kuanzia miezi mingapi maana kitunguu uwa kinamakali yake watumiaji wanafahamuInakiponda na kumpaka kwenye nyayo, viganjani na utosini na kitovuni pia
mi na mtoto ana miezi 2 anasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara wanaitaga mchango ameshatumia dawa za kienyeji na dawa za hospital pia kama mafuta ya samaki hofu yangu ni juu ya haya mafuta samaki wanavyodai wataalamu husababisha kifafa kwa watoto na kingine amebadili utalatibu wake wa kulala anaweza lala mchana zaidi ya masaa 8 na uck 5 yalio baki ni kukesha uck nawezaje kumzoesha kulala uck kuliko mchana ananichosha sana kila cku kutoboaUnampaka kidogo sana tena kwa kuchovya kidole chako tuu wengine hulia nonstop tangu siku anaingia nyumbani toka hospital
hizi kaafur mait na haltiti zinapatikana kwenye maduka ya dawa za kiarabu au mavi ya tembo niko serengeti kupata ni rahisiMtoto anaelia sana nyakati za usiku hali ya kuwa haumwi
Haltiti
Kaafur mait
Mavi ya tembo
Changanya dawa hizo changanya na mafuta ya zaitun kisha mpake kiasi kidogo utosini, tatizo litakwisha
I wish wadada wote wangejua madhara ya hii kitu
dada mchungaji Heaven Sent upo? tusaidie kuwahubiria wadada madhara ya hii kitu bana
My kaka tutatoka nje ya uzi ujue, huku tudeal tu na watoto kwanza, tusubirie uzi husikaHahaaaa mkuu sijachanganya, nataka dada mchungaji Heaven Sent asaidie kuhubiria wadada huko kanisani mkuu
Ila basi ngoja nikapaedit vizuri pasilete impression kama uliyofikiria wewe, teh teh
Sangoma hili kwangu ni maji marefu naomba onana na wataalam sahihi wa watoto lakini jaribumi na mtoto ana miezi 2 anasumbuliwa na tumbo la mara kwa mara wanaitaga mchango ameshatumia dawa za kienyeji na dawa za hospital pia kama mafuta ya samaki hofu yangu ni juu ya haya mafuta samaki wanavyodai wataalamu husababisha kifafa kwa watoto na kingine amebadili utalatibu wake wa kulala anaweza lala mchana zaidi ya masaa 8 na uck 5 yalio baki ni kukesha uck nawezaje kumzoesha kulala uck kuliko mchana ananichosha sana kila cku kutoboa
shukrani sana bro nitaendelea kutafuta msaada nikipata majibu nitarejesha kwa faida ya wengine piaSangoma hili kwangu ni maji marefu naomba onana na wataalam sahihi wa watoto lakini jaribu
-mafuta ya mzeituni
-mafuta ya nazi
Usimchanganyie mtoto madawa mengi kwa umri huo
Nisingeshauri sana mavi ya tembo! Kuna post nilishawahi kuweka hapa kuhusu hayo mavi ngoja nitaitafuta! Sometimes yanabeba mambo mengine kwenye ulimwengu wa rohohizi kaafur mait na haltiti zinapatikana kwenye maduka ya dawa za kiarabu au mavi ya tembo niko serengeti kupata ni rahisi
ubarikiwe sana bro Mungu akuzidishie roho ya wemaNisingeshauri sana mavi ya tembo! Kuna post nilishawahi kuweka hapa kuhusu hayo mavi ngoja nitaitafuta! Sometimes yanabeba mambo mengine kwenye ulimwengu wa roho