Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

Barackachess

Senior Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
156
Reaction score
122
Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao?

Taifa International Online School kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya Elimu nchini tunapenda kukufahamisha ewe mzazi, Mlezi, Au mwanafunzi ya kwamba ule mtihani wa kujipima kwa njia ya mtandao yani ONLINE EXAM Utafanyika kuanzia siku ya Tarehe 14, 16, 17, 18 ya mwezi wa kumi na mbili. kuanzia saa 2 ahsubuhi na kuendelea.

Mwanafunzi atanya mtihani akiwa nyumbani au sehemu yoyote tulivu kwa kutumia simu au kompyuta yenye internet kwa usimamizi madhubuti wa kisasa wa teknolojia yetu ambayo humzuia mwanafunzi kufanya udanganyifu wa aina yotote ile afanyapo mtihani.

Tunao walimu wazoefu katika kufundisha, Utungaji wa maswali ya kumpima mwanafunzi na kumjenga na hata usahishaji makini utakao msaidia mwanafunzi katika safari yake ya maisha ya elimu.

Mitihani hii haina tofauti na mitihani ya kawaida kwan inafuhata taratibu zote za utungaji mitihani inayotolewa na baraza la mitihani Tanzania (Necta)

Maswali kama Shorts notes, Essay, Matching Items yatakuwepo ndani ya mitihani yetu ili kumpima mwanafunzi ipasavyo.

Wanafunzi watakao fanya vizuri wa watapatiwa zawadi mbalimbali zikiwemo pesa taslim pamoja na vifaa vya electronic kama vile Tablets na Laptops.

MASOMO YATAKAYO SHINDANISHWA NI PAMOJA NA
1.BIOLOGY,
2.Chemisty,
3. History,
4.Kiswahili,
5.ENGLISH LANGUAGE,
6.GEOGRAPHY.
7. Civics
8. PHYSICS
PAMOJA NA MATHEMATICS (Wanafunzi wafanyao mathematics wanashauliwa kuwa na Computer ili kufanya mtihani huu tofauti na masomo mengine yanayoweza kufanyika kupitia simu)

Zawadi zitatolewa kulingana na somo husika, Mwanafunzi anaweza kuchagua kufanya somo moja tu au kufanya masomo yote na kila somo litakuwa na zawadi yake ya kujitegemea.

Kwa somo la Biology mwanafunzi atakae pata alama kuanzia 95% na kuendelea atapatiwa TSH 400,000/= lakini hii haitoshi mwanafunzi atakae ongoza wenzake wote yani mshindi wa kwanza atapatiwa TSH 350,000/= mshindi wa pili 250,000/= na mshindi wa tatu 200,000/=

Mwanafunzi atakae bahatika kuwa mshindi wa 1 na akapata alama zaidi ya 95% atapatiwa
jumla ya Tsh 750,000/= pamoja na computer mpakato (Laptop)

Lengo la mitihani hii ni kumfanya mwanafunzi kupenda kujisomea , Kujipima , Na kujiandaa vyema na mitihani ya taifa lakini pia kumpa motisha kwa kumzawadia afanyapo vizuri na pia kumfanya aweze kuwa na matumizi mazuri ya mitandao

Ili uweze kufanya mitihani hii unapaswa kuwa ni mwanafunzi wa shule yoyote inayotambulika kisheria au resisters au QT. Muhusika ambaye si mwanafunzi hataruhusiwa kufanya mitihani hii.

Usajili wa kufanya mitihani hii ni TSH 1,000/= form ya usajili inapatikana kupitia tovuti yetu ya www.taifaschool.net mwisho wa kujisajili ni tarehe 11 mwezi wa 12. 2022. na maelekezo ya kufanya mitihani hii yatatolewa bure kwa vitendo siku ya tarehe 10.12.2022 hadi tarehe 13.12.2022 . na masahihisho ya kila mtihani yatafanywa kwa pamoja siku ya tarehe 27.12.2022

Malipo yanafanywa kupitia MOBILE MONEY TRANSACTION kama vile MPESA , TIGO PESA , AIRTEL MONEY , ZYPESA, HALOPESA na TTCL au unaweza kulipa moja kwa moja kupitia bank ya STANDARD CHARTED account namba 0100319624400 kwa maelezo zaid piga simu namba 0652428842.

KARIBU TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL, SHULE YETU, *TAIFA LETU

KUJISAJILI: TAIFA EXAM
 
Kazi safi
 
Yupo likizo badala ya kumfundisha biashara, ufugaji na kilimo bado awaze mitihani.
Sasa umaskini utaisha vipi?
Tuige mema ya wahindi na waarabu au hata wapemba.
 
Ni tatizo kubwa kwa watanzania wengi. Kukaririsha watoto badala ua kuwafundisha. Likizo ni wakati wa kupumzika. Wataalam walioweka likizo hawakuweka kwa bahati mbaya. Mbona nchi zilizoendelea hakuna huu upuuzi na wahitamu wake ndiyo mabingwa wa kila fani?
 
Ndo app yako mkuu umeitengeneza unaipigia promo
Ndio kaka ni tovuti yangu, Lengo ni kuhakikisha tulioko mtaani tunajiajiri na kuajiri wengine (Walimu) kwa kutumia akili zetu ili kujiongezea kipata. Lakini pia lengo jingine kubwa ni kutoa huduma BORA kwa wengine na kwa gharama nafuu zitakaozo tuwezesha kuendesha mifumo yetu vyema, Naomba tuendelee ku supportiana na mwaka wa pili huu kwenye biashara hii.
 
Back
Top Bottom